Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba

Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba

Hii si sawa kabisa katika taifa lenye matatizo ya uchumi lukuki kama hili
 
Kama nimeelewa vizuri ni kuwa hizo fedha ni kwa ajili ya kazi mbalimbali ambazo ni matengenezo/maboresho ya mabanda yaliyopo hapo uwanjani na ujenzi wa hilo sanamu na si kwamba fedha zote hizo zinaenda kujenga sanamu, tusipotoshane.
 
Wewe wa nyuma ya keyboard huwezi kuzungumzia shujaa Gaddafi namna hiyo

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
Gadafi Leo awe Shujaa haaahaaaa mwendazake aliwaharibu akili
Gadafi alivuna alichopanda Kwa sababu alijijenga yeye badala ya kujenga taasisi imara alijiona Libya Kama Mali yake binafsi na alikua anafanya vitu na maendeleo Kama hisani Hivi Kwa wananchi huku yeye akivuna mabillion ya Dola robo ndio inawafikia wananchi huku chini
Kwa akili za kinyonge za watu Kama ninyi mlimwona wa maana Sana kumbe propaganda tu

Hata sishangai maana Kuna watu humu wanalipwa buku Saba Lumumba kuwatetea majizi ya mabillion humu Kwa ujira huo!
 
Fundi kapiga Hesabu zake zote na kasema Tsh Milioni 1 tu inatosha Kujenga Sanamu hivyo Krav Maga naomba nipeni hiyo Tsh 420 Milioni na Chenji ya Tsh 419 Milioni nitaenda Kuwakatia Bima Wazee nchini Tanzania na nyingine Kununua Dawa Hospitali ya Temeke.

Ushauri wangu tu ni kwamba Fundi wa Kujenga Sanamu hilo aambiwe ajenge yenye Sura ya Tabasamu na siyo ya Kununa / Kukasirika kwani inaweza ikawatisha Wafanyabiashara au Kuwakumbusha Machungu yao ya tokea mwaka 2015 mpaka mwaka 2021.
Pole sana

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Ibada ya sanamu,hua inaanzishwa kwa kisingizio cha kujenga mnara wa kumbu kumbu.https://www.jamiiforums.com/threads/mtuhumiwa-wa-ufisadi-amshukuru-magufuli-kwa-wema-huruma-na-msamaha-kwake-kuchonga-sanamu-ya-magufuli-kuiweka-sebuleni-kwake-kumshukuru-kila-siku.1637430/
 
What a waste of taxpayer's money! Tuna laana aiseeeee siyo bure
 
  • Ijengwe Home Sweet Home
  • Chettle
  • 😃😂😁😀😄😅😅
 
Tunalo tatizo la elimu nchini, hatuna madawati ya kutosha, hatuna waalimu wa kutosha, hatuna vitendea kazi ikiwemo vitabu then yupo mtu amekaa wizarani huko amesoma sanaa na utamaduni anawaza kuidhinisha M420 kwa ajili ya sanamu kweli.

Hii imegeuka kuwa nchi ya sanamu Kama vipaumbele vyetu kweli? Kwamba tumeingia kwenye imani za sanamu kwa mabilioni ya Kodi za wananchi? We can't be serious. Kwamba tunakatwa pesa kwenye vocha na miamala mingine ili hizo fedha zikajenga sanamu?

Kwamba Mkapa 420 milion, sijui Nani mwingine akitutoka 420Milion, Mawaziri wakuu 220 milion, makawa wa Rais tuwajengee sanamu za milioni 300, Mawaziri milioni 150, wakuu wa Mikoa milioni 100, wakuu wa Wilaya 50milion? Ni hivi ndivyo tumejipanga kuiendesha nchi?

Lakini pia hizo fedha mbona hazipo kwenye bajeti ya serikali? Unaweza ukatamani kumpiga mtu rungu la kichwa atambae kwa mambo haya yakijinga unayoyasikia kutoka kwa watu wanaolipwa fedha za umma.

Hakuna anayewaza kuhusu maskini wote wanawaza matumbo yao na Sasa wameanza kuweka na utaratibu wakuhudumiwa hata wanapotwaliwa. Shame shame shame nchi masikini kutumia fedha za umma kwa mambo ya kijinga
 
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imesaini hati ya makubaliano ya jumla ya shilingi milioni 420 ya ujenzi wa sanamu la Hayati John Pombe Magafuli, na ukarabati wa kumbi kubwa za kisasa kwenye maonyesho ya sabasaba ya 45.

Mkurugenzi wa TanTrade Rutageruka Sabi amesema kuwa, ujenzi wa sanamu hilo unalenga kuenzi kumbukumbu, jitihada na mchango wa Hayati Dkt Magufuli katika kuinua uchumi.

Korea nao wanayo masanamu ya Kim Il Sung kibao. Ni tabia ya madikteta kujienzi kwa masanamu.

Ila najua kuna wananzengo lazima wakalipake mavi kwa ushenzi aliofanya huyu mwendazakem.
 
Gadafi Leo awe Shujaa haaahaaaa mwendazake aliwaharibu akili
Gadafi alivuna alichopanda Kwa sababu alijijenga yeye badala ya kujenga taasisi imara alijiona Libya Kama Mali yake binafsi na alikua anafanya vitu na maendeleo Kama hisani Hivi Kwa wananchi huku yeye akivuna mabillion ya Dola robo ndio inawafikia wananchi huku chini
Kwa akili za kinyonge za watu Kama ninyi mlimwona wa maana Sana kumbe propaganda tu

Hata sishangai maana Kuna watu humu wanalipwa buku Saba Lumumba kuwatetea majizi ya mabillion humu Kwa ujira huo!
Kwa kweli bado una akili ya kitumwa. Hakuna kiongozi mzalendo kwa Libya kama Gaddafi. Uliza hali ya Libya kabla na baada ya Gaddafi kuuawa bila kusahau kabla ya kuchukua nchi
FB_IMG_1619114913230.jpg

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom