Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba

Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba

Kwanini wengine mnacomment kama hamkuwepo? Ama kweli twafanana kichwa lakini kilicho ndani ya hivyo vichwa ni tofauti. Lakini pamoja na yote ukiunguzwa kidole na mie nikiunguzwa, sote twahisi maumivu hata kama mwagugumia.
Eleza biashara halali iliyokufa kwasababu ya Magufuli.
 
Fundi kapiga Hesabu zake zote na kasema Tsh Milioni 1 tu inatosha Kujenga Sanamu hivyo Krav Maga naomba nipeni hiyo Tsh 420 Milioni na Chenji ya Tsh 419 Milioni nitaenda Kuwakatia Bima Wazee nchini Tanzania na nyingine Kununua Dawa Hospitali ya Temeke.

Ushauri wangu tu ni kwamba Fundi wa Kujenga Sanamu hilo aambiwe ajenge yenye Sura ya Tabasamu na siyo ya Kununa / Kukasirika kwani inaweza ikawatisha Wafanyabiashara au Kuwakumbusha Machungu yao ya tokea mwaka 2015 mpaka mwaka 2021.
Nyoko wewe🤣🤣🤣
 
Mtakuwa mmemficha sana huko 77.
Kwakuwa alikuwa shujaa wa Afrika akajengewe ARUSHA
 
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imesaini hati ya makubaliano ya jumla ya shilingi milioni 420 ya ujenzi wa sanamu la Hayati John Pombe Magafuli, na ukarabati wa kumbi kubwa za kisasa kwenye maonyesho ya sabasaba ya 45.

Mkurugenzi wa TanTrade Rutageruka Sabi amesema kuwa, ujenzi wa sanamu hilo unalenga kuenzi kumbukumbu, jitihada na mchango wa Hayati Dkt Magufuli katika kuinua uchumi.

Hapo Wasukuma mmefurahii, .
 
Hivi Hawa makaburu weusi uchwara wanatuona sisi wananchi mapimbi ee
Yaani sanamu la kujenga litumie hiyo pesa kwani linanakshiwa gold?

Ifike mahali CCM muwe na uchungu na pesa za walipa kodi haiwezekani serikali yenu iwe inafanya matumizi mabovu kisa kutaka show off za kijinga

Haiwezekani huu uhuni haukubaliki yaani sanamu la million 420?

Aiseee!
 
La Nyerere na Mkapa Je ?

Je Mkwawa au Machifu waliofanya mengi kwa ajili ya nchi yetu ?

Hawa watu hata hawaoni aibu kutangazia watu haya mambo, hizo pesa hakuna kweli kazi ya kuzifanyia ?
 
N
Hii ndio n nchi yangu bana

Wanakijiji cha LIANGWENI songea vijijini hawana hata zahanati toka nchi ipate uhuru na zinahtajika milioni 120 tu kumalizia jengo lao na vifaa mwaka wa tano Sasa hakuna msaada

Lakn sanamu lisilo na tija linajengwa kwa milion 450
Ndo ivo mkuu ,tunamuenzi mhasisi wa middle economy 😄😄
 
Yaani kumkumbuka magufuli hadi tujengewe sanamu, pesa ya umma inapigwa kama haina mwenyewe....
Hawa watu siku zao zinahesabika haiwezekani watufanye wapuuzi kisa wameshika mpini makali yapo kwetu,
Upuuzi Kama huu tukidai katiba mpya wanajificha kwenye kivuli Cha tunajenga nchi,ukiwauliza miaka 60 waliokaa madarakani walikua wapi watafanya hata wakupoteze Kama Ben Saanane

Wapuuzi kabisa!
 
Hivi Hawa makaburu weusi uchwara wanatuona sisi wananchi mapimbi ee
Yaani sanamu la kujenga litumie hiyo pesa kwani linanakshiwa gold?

Ifike mahali CCM muwe na uchungu na pesa za walipa kodi haiwezekani serikali yenu iwe inafanya matumizi mabovu kisa kutaka show off za kijinga

Haiwezekani huu uhuni haukubaliki yaani sanamu la million 420?

Aiseee!
Ndo imepita bila kupingwa mkuu,unyonge aliotupa kayafa ndo umetufikisha hapa tulipo.420 mil just kinyago Cha mtu ambaye ametupa mapichapicha ya kutosha
 
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imesaini hati ya makubaliano ya jumla ya shilingi milioni 420 ya ujenzi wa sanamu la Hayati John Pombe Magafuli, na ukarabati wa kumbi kubwa za kisasa kwenye maonyesho ya sabasaba ya 45.

Mkurugenzi wa TanTrade Rutageruka Sabi amesema kuwa, ujenzi wa sanamu hilo unalenga kuenzi kumbukumbu, jitihada na mchango wa Hayati Dkt Magufuli katika kuinua uchumi.

Ajengewe hata sanamu ya mabilioni la muhimu huyu kichaa harudi milele.
 
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imesaini hati ya makubaliano ya jumla ya shilingi milioni 420 ya ujenzi wa sanamu la Hayati John Pombe Magafuli, na ukarabati wa kumbi kubwa za kisasa kwenye maonyesho ya sabasaba ya 45.

Mkurugenzi wa TanTrade Rutageruka Sabi amesema kuwa, ujenzi wa sanamu hilo unalenga kuenzi kumbukumbu, jitihada na mchango wa Hayati Dkt Magufuli katika kuinua uchumi.

BIG MISTAKE!!
 
Back
Top Bottom