nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Eleza biashara halali iliyokufa kwasababu ya Magufuli.Kwanini wengine mnacomment kama hamkuwepo? Ama kweli twafanana kichwa lakini kilicho ndani ya hivyo vichwa ni tofauti. Lakini pamoja na yote ukiunguzwa kidole na mie nikiunguzwa, sote twahisi maumivu hata kama mwagugumia.