Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba

Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba

Huyu aliyeua biashara nchi nzima anajengewa sanamu eneo LA maonyesho ya biashara? Rubbish,pumbafu sana
 
AI-L00.jpg
 
Fundi kapiga Hesabu zake zote na kasema Tsh Milioni 1 tu inatosha Kujenga Sanamu hivyo Krav Maga naomba nipeni hiyo Tsh 420 Milioni na Chenji ya Tsh 419 Milioni nitaenda Kuwakatia Bima Wazee nchini Tanzania na nyingine Kununua Dawa Hospitali ya Temeke.

Ushauri wangu tu ni kwamba Fundi wa Kujenga Sanamu hilo aambiwe ajenge yenye Sura ya Tabasamu na siyo ya Kununa / Kukasirika kwani inaweza ikawatisha Wafanyabiashara au Kuwakumbusha Machungu yao ya tokea mwaka 2015 mpaka mwaka 2021.
 
Sawa sana na wenye chuki binafsi shauri zao! Hiyo ni kumbukumbu nzuri kwa nchi yetu na kwa vizazi vijavyo. Kila la heri.
Haya madude ya kijinga tutayapiga grader siku Moja. Huyu mshenzi Mwendazake hastahili heshima ya namna yeyote kwa namna aluvyoharibu nchi yetu.
 
Back
Top Bottom