Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanadhani ndio watafunika maovu yake kumbe wanajidanganya tu.Hawa watu wanataka kutengeneza personality cult ya Magufuli.
Huu ujinga ukomeshwe mara moja.
Mbona hatuna sanwmu la Mkapa anywhere nchini?
Hata yanga juzi kapombe wa Simba kawafungia yanga goliUsitake kutembea kwenye njia yangu kwa sababu ya furaha yako. Tengeneza furaha yako bila kutegemea watu/mtu.
Linaanza la Magufuli, la Mkapa linakuja pia.Hawa watu wanataka kutengeneza personality cult ya Magufuli.
Huu ujinga ukomeshwe mara moja.
Mbona hatuna sanwmu la Mkapa anywhere nchini?
Hahahhhha sio kweli mkuuAlivyokuwa anapenda sifa huyo mkuu wa tan trade angemteua na kumpa uwaziri
Akina kigogo waliapa kwenda kunya kwenye kaburi, nadhani wamesogezewa sehemu ya kunyeaKama ni kweli basi wasisahau sanamu hiyo iwe imezungukwa na malaika
Utawaweza wenye wivu! Hawa ni kama wachawi, wako tayari KUROGA MIMBA ingawa hajui hiyo mimba au hilo tumbo lina nini! Hiyo ndiyo tabia ya wenye wivu.We nawe hata sanamu unalionea wivu?
Kaaaah!
Ni biashara ipi halali iliuwawa na Magufuli?Huyu aliyeua biashara nchi nzima anajengewa sanamu eneo LA maonyesho ya biashara? Rubbish,pumbafu sana
mtu was hovyo kabisaNi biashara ipi halali iliuwawa na Magufuli?
Alikuwa kwenye orodha ya uteuzi ndiyo maana juzi kati hapo aliteuliwa kuwa BALOZI!Alivyokuwa anapenda sifa huyo mkuu wa tan trade angemteua na kumpa uwaziri
Kaliguse ubakwe hadharani.Hata kina Gaddafi walijenga masanamu yao kwa gharama ila yaliishia kuvunjwa tena kwa fedheha kubwa tu.
Hujajibu swali la awaliHuyo alikuwa
mtu was hovyo kabisa
Haya madude ya kijinga tutayapiga grader siku Moja. Huyu mshenzi Mwendazake hastahili heshima ya namna yeyote kwa namna aluvyoharibu nchi yetu.Sawa sana na wenye chuki binafsi shauri zao! Hiyo ni kumbukumbu nzuri kwa nchi yetu na kwa vizazi vijavyo. Kila la heri.
Kwanini wengine mnacomment kama hamkuwepo? Ama kweli twafanana kichwa lakini kilicho ndani ya hivyo vichwa ni tofauti. Lakini pamoja na yote ukiunguzwa kidole na mie nikiunguzwa, sote twahisi maumivu hata kama mwagugumia.Ni biashara ipi halali iliuwawa na Magufuli?
hivi chadema bado wapo? i thought walishakufa 2015.Hili ni anguko la CHADEMA na pigo kuu kwa Mabeberu