mshale21
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 2,126
- 5,068
Mchawi ni CCM!Tunalo tatizo la elimu nchini, hatuna madawati yakutosha, hatuna waalimu wa kutosha, hatuna vitendea kazi ikiwemo vitabu then yupo mtu amekaa wizarani huko amesoma sanaa na utamaduni anawaza kuidhinisha M420 kwa ajili ya sanamu kweli...
Huyu ndo anaeloga nchi, anawanga hadharan bila aibu!