Sapraiziiii: Yanga yamsajili Selemani Mwalimu siku mbili baada ya kunukuliwa akisema ataichezea Simba Msimu wa 2026/27

Mda si mrefu watakuja kujitetea kwamba Amegoma kusaini,,
Chondechonde viongozi msituchonganishe na mwalimu,, tunajua mzigo mlioweka mezani ni mdogo kulinganisha na uliowekwa na mtani,
 
Kosa ambalo other players wamefanya, ndilo SELEMAN MWALIMU kafanya....sioni future yake pale YANGA....
Mzee kwani amenunuliwa kabisa au kanunuliwa kimkopo?
Kama kimkopo si wydad bado wanaweza kumhitaji!
 
Si mambumbumbu FC

Kifupi wawaombe radhi Mashabiki wao kuwashangilisha mchezaji wa YANGA 🦘
 
Mashabiki wenzangu wa simba hii picha ni AI. Msiiamini hata kidogo. Siku ile kwa macho yetu tulishuhudia ile clip. Selemani Mwalimu ni mchezaji wetu halali.

cocastic, Kalpana, Kipenzi Changu, na wengineo naombeni mniunge mkono kwenye jambo hili.
Nenda kwenye kurasa za Yanga ,kule hakuandikwagi uongo,isitoshe pesa zenu bado ziko Bank.
Huyu mchezaji nyie mlimkopa tu kule Wydad, Wydad ndio wanammiliki sio nyie.
 
Yanga chukueni na Iñno Jospin Loemba Mtakuwa mmesaidia sana club ya simba
 
Hivyo hapa lile jopo lenu wana 5imba wote tunawapa 50 kwa 50 katika kuwalaumu. 😂😂
 
Yanga kuchukua fungaji lao bora la msimu uliopita na bado wanabeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…