Sasa hivi kuishi na mwanamke imekuwa kama ugonjwa wa kansa kwetu wanaume

Ila na nyie wanaume wa sasa mnapenda sana kulalamika. Mkiona wazee wetu waliishi mpk kuzikana mnaona labda ilikuwa easy. Watu walipigwa matukio, ni just walijua tu vp na nini wanavumilia na nini wanafanya ili ndoa ziendeleee. Nowadays wanaume mnalia sanaaaaa. Halafu hivyo mnavotusema sasa...utadhani matatizo yote wanayo wanawake, wakati hata nyie sio malaika. Mnatupiga matukio mpk tunatoka vitambi kwa stress.
 
Kama umeshindwa kuishi na mwanamke tafuta mwanaume uishi nae. Mnapenda sana kulalamika utadhani mmelazimishwa.
Tena skuizi hii ndo imekuwa hbr ya mjini watu wanaishi geto moja wanajidai marafiki kumbe wanafirana, hawataki kuoa, wanafirana Kwa kupokezana eti ndo wanapunguza nyege mshindo maaamae,

Skuizi mapenzi ya jinsia moja yanafanywa sana Tena kisiri maaaamae
 
Kuliko kumpiga ni afadhali amrudishe tu kwao. Aking’ang’ana atapata kesi ya mauaji.
 
ni sawa dada angu ila kati ya ME na KE yupi akionekana nyumba ya wagen ataonekana kiwembe?
Na jamii itamwona hafai?
 
ni sawa dada angu ila kati ya ME na KE yupi akionekana nyumba ya wagen ataonekana kiwembe?
Na jamii itamwona hafai?
Mwanamke haifai kuchepuka hata kimaumbile anajidhalilisha tu.
Na hayo matukio ninayoyasema mimi sio lazim iwe kuchepuka tu...matukio yapo mengi.
Kwenye maisha ya ndoa kuna mambo mengi, ni vile tunavumilia tu. Nakupa mfano mmoja....mwanamme ana kazi nzuri tu lakini anaamka hafanyi maarifa yyt ya kuacha kodi ya meza...unamuuliza anakwambia fanyeni maarifa 😏 na anajua kaacha wtt wadogo wanahitaji kula atleast mara 3 kwa siku. Hapo sasa mwanamke ujitolee kwenye akiba yako kama unayo kwa sbb sisi si ndio tuna huruma na uzazi na wanaume wanajua hilo kwamba hapa hata nisipoacha kodi ya meza huyu mwanamke atatoa tu maana ana huruma na uzazi wake. Hapo bado mwanamke hujakutana na visanga vya wakwe na mawifi wenye kukuchukia tu bila sababu. Huo nimekupa mfano mmoja tu......kwenye ndoa wanawake tunavumilia weeee.mmmweeh πŸ™Œ
Basi tu Ni vile tumepewa mioyo ya kubeba mambo
 
Kuliko kumpiga ni afadhali amrudishe tu kwao. Aking’ang’ana atapata kesi ya mauaji.
hiyo ndiyo hatari inayomnyemelea huyo fala, mwanamke ana watoto wawili kila mmoja ana baba yake na hao baba wako hai, tena wapo na wanapeleka matunzo ya watoto kwa bibi mzaa mama waliko watoto, halafu jamaa anajibebea mke tu bila kuuliza hao watoto baba zao wako wapi, je mwanamke huyo akiamua kuwasiliana na ma ex wake si ataona wivu? Na hapo bado kuna kupasha viporo akikutana na waume zake kunako matukio ya watoto wao! Kuna matukio ya kukutanisha wazazi wenza, lazima huyo jamaa ataona wivu tu, ni mshenzi kuoa mke wa watu wengine
 
Duh!
 
Pole yake.
 
huyo jamaa huwa ni mtoro kwenye vikao vyetu wanaume, yan watoto wawili baba tifauti unaweka ndan na mahari milion daah

Kikao kijacho apigwe fain
kati ya hao watoto wawili, wa pili jamaa alizaa na huyo mwanamke bila kumlipia mahari na anadaiwa, kaambiwa atoe la sivyo hatachukua mtoto wake. Huyu mume wa tatu kwa kujiona ana mawe akatoa mahari kabisa wakati angeweza kujitwalia bure. Sasa ataipata freshi mahari hatarudishiwa endapo huyo mwanamke atatimiza takwa lake la kukimbia kipigo. Kwanza wameona ki holela juu juu tu, ndoa haina hati, hata akienda mahakamani kudai arudishiwe mahari atakula hasasa fala yule asijifunza tabia za wanawake wa sasa katika mahusiano ya kimapenzi na ndoa
 
Haya maisha ya kindoa yamebadilika sana, ukipata rafiki wa kike ni kumchakata tu na hata kuzaa naye kabisa, habari ya kumuoa ni mpaka ujiridhishe vya kutosha kwamba atadumu maisha yote bila kusaliti ndoa. Sio unaoa leo harakaharaka muda mfupi unasalitiwa na kuonekana ni mzebe huwajibiki kwenye ndoa. Ya nini kuumizwa na kuumia? Gonga hapa na pale, ukipata mtoto poa tu, misingo maza nayo ipo ya kujipoza haina kwere, ukiipata unajilia tu bila stress na bila kuweka kambi pamoja
 
Kwa nn uishi na kansa???? Hivi ile kampeni ya wavulana kataka ndoa huisikii???!!!!
Au mada ikiwa na neno mwanamke inavutia na kupata wachangiaji!!!!????
Wavulana elekezeni nguvu zenu kwenye kutafuta pesa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…