Sasa hivi kuishi na mwanamke imekuwa kama ugonjwa wa kansa kwetu wanaume

Kwa nn uishi na kansa???? Hivi ile kampeni ya wavulana kataka ndoa huisikii???!!!!
Au mada ikiwa na neno mwanamke inavutia na kupata wachangiaji!!!!????
Wavulana elekezeni nguvu zenu kwenye kutafuta pesa
Ngoja nikupe like maana zako nimezipata mpaka zimekaa na kumwagika.

Hata hivyo maoni yako ni best
 
Angel sasa hivi majukwaa ya kusema yamekuwa mengi tofauti na wazee wetu.
Mimi hadi nawaonea huruma baba na babu zetu walikufa na maumivu yao hawakupata pa kusemea.

Walao sisi tuna sababu ya kushukuru teknolojia tumepata pa kusemea mapitio yetu dhidi yenu.

Maisha ya mwanaume ni magumu mno, shukuru sana , shukuru tena kwa kuzaliwa mwanamke angel
 
Nakubali, Ila seriously kuna wanaume wana roho nyepesi mnoo. Nowadays wanaume wenye kubeba uanaume ni wachacheee
Kila mmoja ashukuru kuzaliwa jinsia aliozaliwa. Kila kitu kina mazuri na mabaya, kina raha na karaha, kina furaha na dhiki...nk
 
"mwanamke haifai kuchepuka hata kimwili anajidhalilisha" ndo jibu.
mengne ulosema ni wajibu wa wote
 
bora umetusemea wanaume. Tunapitia meng mno wanaume, mwanamke anaweza kukuona unakaz unavaa vizuri akajua pesa ipo tu.
Kumbe ata amna.

Tena kama wenzetu wanaozama maduaran kuchimba dhahabu ukiwaona utadhan hawana moyo
 
Nakubali, Ila seriously kuna wanaume wana roho nyepesi mnoo. Nowadays wanaume wenye kubeba uanaume ni wachacheee
Kila mmoja ashukuru kuzaliwa jinsia aliozaliwa. Kila kitu kina mazuri na mabaya, kina raha na karaha, kina furaha na dhiki...nk
unajua dada angu kuna mtu mwingne akiwa na stress akimweleza mtu kidogo mzgo kichwan hupungua.

Sasa hao unaosema wanabeba uanaume wao hawalalamik sana.
Wengi wao wanakufa mapema kwa stress zmewazidia
Au wanachukuaga hatua mbaya mwishon either kujiondoa uhai ama kumdhuru mtu, mpaka mnabak kushangaa imekuwaje na alikuwa sawa tu.
 
Kwanza kwanini uoe? Sifanyi huo ujinga. Na kama nikifanya nitafanya nikiwa mzee.
 
huyo kayatimba hatapata chochote ukweni. Kakosea kumpga kwan ataonekana yey ndo kazingua bora angetafta namna mwanamke awe na makosa hapo angerudishiwa hata nusu ya mahari aliyo itoa
 
Sawa
 

Vijana nani kawaambia mkimbilie wanawake kabla ya kuweka mambo vizuri. Hakuna kosa kubwa kwa kijana wa TZ kama kuoa haraka
 
Mwanamme unaanzaje kufa kwa maumivu au stress. Nyie ndio mlitakiwa muwe ngangari. Halafu si huwa mnakimbiaga nyumba nyie, mnaturudia saa 8 za usiku au hata alfajiri. Sasa hizo stress mnazitoa wapi ati. Mna vimichepuko kila kona, ati mnakimbia wake zenu. Halafu useme mnakufa kwa stress. Kufeni tu mtuache sie tuinjoy....Just kidding πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…