ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Nimeumia kusikia hividada fatilia tu wanandoa weng mwanaume hutangulia mbele za haki.
- Na kama mke wangu hunisumbui siwezi kukimbia kaya nikarudi usiku sana. Tunahitaj faraja yenu na aman ya moyo
Mapenzi ni betting....Mtoa mada, kutoa mahari ni agizo la Mungu kwa mwanaume anaetaka kuoa, hivyo kutoa mahari ni lazima.
Ila wadada hapa mnazungumziaje, mwanaume unajipinda unamhudumia girlfriend wako, aliekuzungusha miezi 9 kabla ya kumpata, kumbe anachepuka na mtu ambae alimtongoza ndani ya wiki 2 tu akamla..unamlipia apartment, bills, unamuonesha effort, upendo, bora achepuke na aliehonga zaidi au alieonesha upendo zaidi, anachepuka na mwanaume ambae hajawahu mfanyia hata robo ya uliofanya
Uhalisia wa mahusiano ukiutafakari sometimes unauma Kelsea Seran binti kiziwi naa Shadeeya
Pia wanasahau hata wao wana matatizo kibao wasijione malaika. Muhimu ni kuvumiliana ila kwa atakaeona hawezi ajitoe mbona rahisi tu shida ni wanakaza mafuvu.Kulalamika imeshawahi kusaidia nini? Wakati umefika sasa mtafute alternative nyingine. Hakuna kiumbe kitakacho badilika au chenye mpango wa kubadilika maisha ni haya haya
Haya mabo ni magumu jamani, wanaume kwanini unaenda kulala na mwanamke wa nnje wakati mkeo ndani anakufulia,kupikia,kulea watoto,na wengine hadi majukumu ya kipesa anachangia, kwanini unamcheat??Mtoa mada, kutoa mahari ni agizo la Mungu kwa mwanaume anaetaka kuoa, hivyo kutoa mahari ni lazima.
Ila wadada hapa mnazungumziaje, mwanaume unajipinda unamhudumia girlfriend wako, aliekuzungusha miezi 9 kabla ya kumpata, kumbe anachepuka na mtu ambae alimtongoza ndani ya wiki 2 tu akamla..unamlipia apartment, bills, unamuonesha effort, upendo, bora achepuke na aliehonga zaidi au alieonesha upendo zaidi, anachepuka na mwanaume ambae hajawahu mfanyia hata robo ya uliofanya
Uhalisia wa mahusiano ukiutafakari sometimes unauma Kelsea Seran binti kiziwi naa Shadeeya
Sababu niHaya mabo ni magumu jamani, wanaume kwanini unaenda kulala na mwanamke wa nnje wakati mkeo ndani anakufulia,kupikia,kulea watoto,na wengine hadi majukumu ya kipesa anachangia, kwanini unamcheat??
Exactly!so nature ya binadam ni kutamani ambacho hana.
Wengine hawana huruma wanawakorogea watoto uji wa chumvi maamaeMwanamke haifai kuchepuka hata kimaumbile anajidhalilisha tu.
Na hayo matukio ninayoyasema mimi sio lazim iwe kuchepuka tu...matukio yapo mengi.
Kwenye maisha ya ndoa kuna mambo mengi, ni vile tunavumilia tu. Nakupa mfano mmoja....mwanamme ana kazi nzuri tu lakini anaamka hafanyi maarifa yyt ya kuacha kodi ya meza...unamuuliza anakwambia fanyeni maarifa π na anajua kaacha wtt wadogo wanahitaji kula atleast mara 3 kwa siku. Hapo sasa mwanamke ujitolee kwenye akiba yako kama unayo kwa sbb sisi si ndio tuna huruma na uzazi na wanaume wanajua hilo kwamba hapa hata nisipoacha kodi ya meza huyu mwanamke atatoa tu maana ana huruma na uzazi wake. Hapo bado mwanamke hujakutana na visanga vya wakwe na mawifi wenye kukuchukia tu bila sababu. Huo nimekupa mfano mmoja tu......kwenye ndoa wanawake tunavumilia weeee.mmmweeh π
Basi tu Ni vile tumepewa mioyo ya kubeba mambo
πππ nimecheka sana aiseeeJitu jeuri kiburi si kiburi.
Ujuaji mwingi plus halikoseagi.
Yani unaishi na jitu ukiliangalia likiwa limelala unatamani ukalitupe mtoni.
Khaaaa...km ndio umeacha sembe tu na chumvi, unataka afanyeje....akadange!?Wengine hawana huruma wanawakorogea watoto uji wa chumvi maamae
mwanaume ni mwanaume tu, yanatusibu mengi.Nimeumia kusikia hivi
ukiona mwanaume amekua hvo jua umezingua pahara.Haya mabo ni magumu jamani, wanaume kwanini unaenda kulala na mwanamke wa nnje wakati mkeo ndani anakufulia,kupikia,kulea watoto,na wengine hadi majukumu ya kipesa anachangia, kwanini unamcheat??
hahahahaha nimeimagine had nmecheka kinoma.Jitu jeuri kiburi si kiburi.
Ujuaji mwingi plus halikoseagi.
Yani unaishi na jitu ukiliangalia likiwa limelala unatamani ukalitupe mtoni.
Poleni sanamwanaume ni mwanaume tu, yanatusibu mengi.
Basi ukiona mwanamke amecheat ujue na wewe umezingua mahala.ukiona mwanaume amekua hvo jua umezingua pahara.
UJEURI,
Uropokaji AU kumfokea,
KIBURI,
HUAMBILIKI,
UNATAKA KUMTAWALA MWANAUME, na mwanaume by nature hapendi kutawaliwa na mwanamke, razima akimbie.
- mwanaume ata awe kiwembe vip kwa mkewe anampenda mno.
Ila zingua tu umnyime aman ndani, matokeo utayaona
kumbuka nyie wanawake mnafatwa mda wote, hata kama mmeo hajazingua, utatongozwa tu.Basi ukiona mwanamke amecheat ujue na wewe umezingua mahala.
Take the l na utulie tuli! punguzeni malalamiko wanaume jamani
Tatizo umalaya umezidi sana. Unakuta mwanamke katembea na watu wengi kabla ya kuolewa unafikiri atatosheka na wewe na kukaa na kutulia kweli. Pili tamaa ya kupenda vitu vya dunia hii ni kubwa sana kama vile bibi yetu Eva alivyomsikiliza shetani.. Pia kuangalia porno kunahadhiri sana. Na haya yote yanasababisha talaka kuwa nyingi siku hizi. Jibu tu ni kwamba wote tuwe na hofu ya Mungu.Kutokana na mambo mengi ambayo yanatokea duniani kuhusu wanawake
Mda mwingine hivi vitabu vya dini tunavitukana lakini ukichunguza vizuri vilikuwa vina haki ya kuwanyima uhuru hawa viumbe na hata mababu zetu walivyokuwa wana watenga yaani kuwashusha kabisa thamani yao walikuwa wana haki
Mwanamke akiamua kuaribu dunia nakuambia shetani akasome na
Aliyekuja kuaribu dunia ni aliyeleta 50/50 jamani
SASA hivi ukiwa umeoa ukiondoka tu nyumbani kwako kwenda kutafutia familia bi mdogo wako anaingia au hata mke wako akitoka tu nje unaanza kuomba dua zote yaani wamekuwa cheap sana zamani ilikuwa ngumu mno kutongoza mwanamke hasa mke wa mtu lakini sasa hivi yaani imekuwa rahisi mno kama form 6 kufanya mtiani wa darasa la kwanza
Alafu siku hizi najiuliza kwanini tunaendelea kutoa pesa za mahari wakati ni 50/50 tofauti na 50/50 tukizaa watoto hawasaidii wanaume tu peke yao wanatusaidia wote pia hawa wanawake wa siku hizi kuwatolea mahari imekuwa matumizi mabaya ya pesa kwa sababu
kuna lisenge halitowi yote haya lenyewe linakula tu
Na kuna uwezekano tukawa tunalea watoto wao kwa kufikiri ni wetu π€£π ππ
Eti uki nicheat na mimi na kucheat umekuwa upinzani wakati anaishi kwako anakula pesa zako
Kila kitu anakifanya kwa jasho lako
Alafu bado anapinzana na wewe
Tutauana jamani
ππππ