Uchaguzi 2020 Sasa ni dhahiri ubunge Kigamboni itakuwa Makonda (CCM) vs Yericko Nyerere (CHADEMA)

Huyo makonda hakuna mtu wa anampa kura - kwanza kafanya nini cha mno hadi azawadiwe ubunge na wana kigamboni? akagombee kwao ubashiteni huku hatumtaki atuache na shida zetu.
Kataa kubali hakuna mtu maarufu Dar kama makonda usidanganywe na maneno ya mitandaoni hata Magu akigombania na Makonda Dar hashindi
 
Kama ni kukabwa hawa jamaa wamekabwa. Yaani huyu muuza vitabu apambane na Paul?
 
bwa sheee sasa ina maana huyu wa sasa ndiyo kwishiney aka benchi la ufundi?

CCM muogopeni Mungu..
 
bwa sheee sasa ina maana huyu wa sasa ndiyo kwishiney aka benchi la ufundi?

CCM muogopeni Mungu..
Miaka 10 inamtosha atapangiwa majukumu mengine...... CCM ni chama kikubwa!
 
Maarufu wa nini?
Ni kichaa mwenye watu wanaomsikiliza ukitaka kujua huyu ni mtu wa aina gani hata aseme la ajabu kiasi gani asilimia 90 watafanya ... kumuwekea Yeriko narudia tena ni kumuacha ashinde bila kipingamizi ...Yeriko na Bashite ni mbingu na ardhi kwenye siasa
 
Awe Bashite awe Makonda huwezo kumuwekea Yeriko .Jamaa ana watu hata mtoto mdogo wa chekechea anamjua Makonda... Yeriko hataweza hanawanaomjua Dar wala hana resources za kushindana na Makonda ... msema kweli mpenzi wa Mungu
Yericko ni Nyerere usisahau hilo bwashee!
 
Nimekuelewa bwashee!
 
Ingekua siasa ni academic research ningesema Bashite hana alijualo kumzidi Yeriko... Bashite ana msingi Dar ni ngumu hata kama angekutana na halima mdee leo hii mnamuwekea Yeriko ?
 
Majibu ya swal yalikuwa mafupi sana,Ni makonda au bashite?Nukta.
Awe Bashite awe Makonda huwezo kumuwekea Yeriko .Jamaa ana watu hata mtoto mdogo wa chekechea anamjua Makonda... Yeriko hataweza hanawanaomjua Dar wala hana resources za kushindana na Makonda ... msema kweli mpenzi wa Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…