Sauti yako ina kutafsiri kama mtu wa namna gani?

Uduguu weka, kwanza ulienda wapi?
Huku mambo leleleeee 😹😹😹
Nilienda kuswampaa mitaani.
Naona uzii umelalukaa Co poaa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Weka bhana nataka nisikie sauti nyororo ya kumfanya nyoka atoke pangoni..!! 😹😹😹

Tena Max atuwekee space tuwe tunajimwaga humu, kuna muda kuna watu wanatakiwa kujibiwa live..!! 🀣
Umeona ee ugomvi wa live unanogaπŸ˜„πŸ˜„
 
Rekodi sauti kwa simu yako then itume kupitia attach files
Naogopa kuna watu tumesoma nao chuo watanijua humu 🀣🀣🀣

Enzi zangu wakati nasoma diploma ya kuvuna asali nilikuwa mnoko mno, kila mtu alinijua jamani mimi πŸ˜ͺ

Mara paap, sauti imefika kwenye mafaili ya samia, ntaficha wapi sura yangu πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…