Sauti yako ina kutafsiri kama mtu wa namna gani?

Nyamwi255 [emoji7][emoji7] nimependaaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyie ndugu zangu wawili Lamomy na Dr. Mariposa watu wanasifia sauti zenu mbona sizioni jamani na nimeanza toka mwanzo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unapotea sana bhana, sijui tena kama mzuka wa jana utarudi tujilipue kwa mara nyingine ๐Ÿ˜†
 
Mbona nyie hamtumi?.wadada wameshaweka muongozo..au na nyie mabroo kama sisi mnaweka ngumu๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Hao ni wale wakaka wenye visauti vyepesi halafu vikali ndio maana wanajishtukia ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„, kuna mmoja jana aliweka bonge la base lina accent ya kichaga lakini lilikakaa kiume haswaaa aje huyo kaka sikumshika jina
 
Ee nimemkumbuka...
Ahahaaa hapo kwny visauti vyembamba..๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„hapa hawatakanyaga
 
Nyamwi255 [emoji7][emoji7] nimependaaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyie ndugu zangu wawili Lamomy na Dr. Mariposa watu wanasifia sauti zenu mbona sizioni jamani na nimeanza toka mwanzo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo Nyamwi255 ishi naye vizuri ila usimkorofishe tu ๐Ÿ˜„ ana black belt ya martial arts ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Kwa hiyo unashauri watu wasifurahi na kucheka cheka? Take life easy hommie!
 
Nyamwi255 [emoji7][emoji7] nimependaaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyie ndugu zangu wawili Lamomy na Dr. Mariposa watu wanasifia sauti zenu mbona sizioni jamani na nimeanza toka mwanzo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Zimeyeyuka sis
Wewe fanya mpango uweke yako niisikie sauti ya ndege mnana..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ