Sehemu gani nzuri ya ku-enjoy kwa mkoa wa Morogoro?

Yaan unaona kbs kila mtu anaclassy zake za bata aise..bora uende kule juu forest! Moro bata bado kwakweli!hata hao mademu wanaowasema wengi wako 1st yr nadhan madem wa 1stbyr unawajua mapigo yao..unamuona kbs huyu katoka Malinyi kaja SUA 1st yr
Mji wowote ambao chakula kiko kingi hakunaga mzunguko...
Au mji ambao uko karibu na jiji bas hakunaga hela...angalia shy,moro tabora imepoa haina hela..!

Mji wowote ambao chakula kiko kingi hakunaga mzunguko...
Au mji ambao uko karibu na jiji bas hakunaga hela...angalia shy,moro tabora imepoa haina hela..!
Haya wanojua viwanja vya kula bata chalinze watiririke
 
ukishalewa panakua hapajazubaa si unakua umewaka
 
Tatizo ni expectations zenu

Mnataia kuifanananisha Moro na new York City .

Yaani life mlilolizoea dar mlikute Moro haipo hivo aisee nadhani hata staili ya maisha dar huwezi ioata dodoma Wala arusha .

Kila sehemu Ina taste yake .

Sasa unakuta anauponda mji fulani still bado unaishi humo humo Sasa uhame[emoji1] kwani wamekufunga kamba !!!!

Unakuta mtu kwao huko bush kabisa hakufanani na Moro hata kidogo Ila mbwembwe Sasa utadhani kazaliwa Manhattan
 
Basi ww kilimanjaro huijui...umeandika tu uonekane umeandika..lol
Sasa Kama unatumia abbreviation sasa Mimi nitajuaje au unatumia terms za huko nyumba kwako Mimi nitajua

Kilimanjaro napajua vizuri Niko huku kule juu kabisa karibu na kituo na SGR kote hio mitaa naipata Hadi mitaa ya Yespa magereza . Hio ndio mitaa yangu .

Wewe pia utakua na lako Jambo tu
 
We mluguru tuliaa[emoji23][emoji23] kamkoa kenu kazuri ila katikati ya mji nyumba chafu chafu jumlisha hilo dongo lenu jekundu hapana. Matofali mnayojengea ndo mnanikera kabisaa... yaan mjin unakuta kajumba ka udongo pemben ya ghorofaaa... hapanaaaa. Si uungwanaa.. hali ha hewa nzuri ila majumba yenu hapana[emoji23][emoji23]
 

Wajanja tunatafuta hela kwingine tunakuja weka heshima Moro tulia hebu
 
Mi sio mluguru mkuu .

Wala sio mzawa wa mkoa wa Moro .
 
mbona nyumba za udogo zipo kariakoo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…