Tetesi: Serikali haina pesa. Hali ni mbaya ya kusua sua baadhi ya Donors waanza kulalamika

"Makosa yanatafutwa hata usipochomekea unaweza pigwa faini " ๐Ÿซฃ
Kuna siku trafiki wamenipiga faini bila kosa eti madereva wenzangu wananilalamikia. Nikauliza wanalalamika nini, nimewachomekea ama nimefanyaje, jamaa amekomaa tu madereva wanakulalamikia unaendesha vibaya.

Hapo sijaendesha vibaya wala kuchomekea mtu. Nilikua nimetanua sehemu inayoniruhusu kutanua bila tatizo.

Nikasema sawa, andika makosa unayoona yanakufaa, akasema poa. Akaandika moja nikaondoka.

Siku hizi trafiki hawezi kula hela yangu hata afanyeje, aniandikie tu nitalipa.
 
Huduma za kijamii kadai huko kwa matapeli mnaowatajirisha na mafungu ya kumi mmbuz nnyie
Fungu la kumi lisikuume kunguru wewe, hata lisipopelekwa haliwezi kuja kwako. Tafuta pesa acha wivu kwa watu wanaoeneza neno la Mungu, unataka wakale wapi? Eti mwasheria njaa, itakukomesha kweli ukikalia uchawa.
 
Fungu la kumi lisikuume kunguru wewe, hata lisipopelekwa haliwezi kuja kwako. Tafuta pesa acha wivu kwa watu wanaoeneza neno la Mungu, unataka wakale wapi? Eti mwasheria njaa, itakukomesha kweli ukikalia uchawa.
Huyo mpumbavu achana nae! Wanaohonga na kwenda kuvywa pombe hajawaona kaona waumini wanaotoa fungu la kumi!
 
K
Kumbe mwakani naweza nkapata mbususu OG kwa buku
 
Hujakosea kujichagulia jina "CHIZI" na kweli we ni chizi
 
Inaweza kuwa kurejea kwa mbinu za aw5 kwa hisani ya mwenezi๐Ÿคฃ
 
Vizuri. Serikali inaihitaji fedha yako.
 
Ni bora kuwa na Taarifa za kweli, Upotoshaji wa namna hii ndio unaofanya JF isiwe credible source ya taarifa, Fedha unazosemea zilipelekwa sehemu husika, katika elimu madarasa yalijengwa kwa ufanisi mkubwa, hakuna mkandarasi anayedai kwa sababu utaratibu unaotumika ni Force account
 
Punguani wewe, watu wanaongelea uchumi wa nchi wewe unarukia sadaka na mafungu ya kumi. Inakuuma siyo, anzisha kanisa.
Uchumi wa nchi umekua ndio maana mnashindana kuwatajirisha wwachungaji na manabii matapeli wajinga nyie, lipeni kodi sio pesa zote mnapeleka kwa matapeli, mngekuwa fungu la kumi mnawapa masikini ingesaidia kupunguza umasikini kwenye jamii,badala yake mlivyo makondoo mnawapa matapeli halafu mnaipa lawama serikali
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hata ujenzi wa barabara ya Sengerema mpaka Nyehunge tokea wazindue ujenzi na Prof Mbarawa mwezi wa sita mpaka leo Mkandarasi hajaingia site!
Pia barabara ya Kahama Kakola mgodi ulishatoa hela serkali Ikazichukua ni zaidi ya mwaka sasa ujenzi hamna!
Hizo barabara zote ulizotaja ni very strategic.....serikali hii ya Samia haijali...yaani samia hajali kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ