Picha, any footage akiwa anachoma au kukata watu vidole?Alijaribu kuzuia uchagu,zi kwa kuchoma vituo vya kupigia kura, kukata vidole wapiga kura.,kuchoma vituo vya mafuta, haya yote yamesababishwa na maneno ya tundu lisu
Vipi umepeleka huo ushahidi mahakamani? Umepokelewa?Kwa hiyo huoni kosa kwenye hayo maneno?
Mtu anayekwambia waziwazi kwamba kwenye uhaini options ni mbili tu kifo ama kuachiwa huru unasema anaomba huruma?Mabwege km wewe ni yale yanashabikia ila siku akipatikana na hatia akashughulikiwa huna msaada wowote. Mlishabikia Nchimbi juzi tu leo hakuna mnachoweza kumsaidia. Ni kwa kuwa Lissu ni mpumbavu angekuwa na maarifa asingefanya upuuzi anaoufanya, hakuna cha mwamba ni kwamba amepanic anaomba huruma ya jamii na ya majaji, ni km anatoa rushwa aache usengerema siyo kila mtu ni zuzu!
Mbona kama unataka kulia?!Mabwege km wewe ni yale yanashabikia ila siku akipatikana na hatia akashughulikiwa huna msaada wowote. Mlishabikia Nchimbi juzi tu leo hakuna mnachoweza kumsaidia. Ni kwa kuwa Lissu ni mpumbavu angekuwa na maarifa asingefanya upuuzi anaoufanya, hakuna cha mwamba ni kwamba amepanic anaomba huruma ya jamii na ya majaji, ni km anatoa rushwa aache usengerema siyo kila mtu ni zuzu!
Punguza upumbavu kichwani mwako. Yaani ufungue kesi ya Uhaini leo huku ukitegemea ushahidi wa miezi mitano baadae!? Ina maana mpaka unaifungua kesi ulikuwa huna ushahidi!?Alijaribu kuzuia uchagu,zi kwa kuchoma vituo vya kupigia kura, kukata vidole wapiga kura.,kuchoma vituo vya mafuta, haya yote yamesababishwa na maneno ya tundu lisu
ok. mwalimuCheap is expensive
TAL Angelika huruma angeiomba kwa Raisi. Hoja ya TAL kutaka huruma haiingii akilini kwa namna alivyoipeleka kesi.Mabwege km wewe ni yale yanashabikia ila siku akipatikana na hatia akashughulikiwa huna msaada wowote. Mlishabikia Nchimbi juzi tu leo hakuna mnachoweza kumsaidia. Ni kwa kuwa Lissu ni mpumbavu angekuwa na maarifa asingefanya upuuzi anaoufanya, hakuna cha mwamba ni kwamba amepanic anaomba huruma ya jamii na ya majaji, ni km anatoa rushwa aache usengerema siyo kila mtu ni zuzu!
Tumia lugha unayo weza kuimuduok. mwalimu
Mbaya zaidi... Kawaambia Majaji hati ya mashtaka Kuna maneno yametolewa ili kubadili maana ...yaani Yale maneno Yana vidoti Kisha sentensi inaendelea..Hakuna ground za uhaini kwenye hii kesi
Hadi tumefika hatua ya hitimisho, hakuna kielelezo hata kimoja Cha upande wa mashtaka kilichopokelewa kama sehemu ya ushahidi wa Uhaini
Ni meneno tupu bila evidence
Unakumbuka tarehe ya kukamatwa TAL na kufunguliwa mashtaka ya uhaini?Alijaribu kuzuia uchagu,zi kwa kuchoma vituo vya kupigia kura, kukata vidole wapiga kura.,kuchoma vituo vya mafuta, haya yote yamesababishwa na maneno ya tundu lisu
Rubbish...Mabwege km wewe ni yale yanashabikia ila siku akipatikana na hatia akashughulikiwa huna msaada wowote. Mlishabikia Nchimbi juzi tu leo hakuna mnachoweza kumsaidia. Ni kwa kuwa Lissu ni mpumbavu angekuwa na maarifa asingefanya upuuzi anaoufanya, hakuna cha mwamba ni kwamba amepanic anaomba huruma ya jamii na ya majaji, ni km anatoa rushwa aache usengerema siyo kila mtu ni zuzu!
Kesi ilifunguliwa kwa ushahidi wa maneno, baada ya vurugu kutokea kweli,na ushahidi wa vitendo umeongezeka, kuna kosa kuongezeka kwa ushahidi, wakati kesi inaendelea?Punguza upumbavu kichwani mwako. Yaani ufungue kesi ya Uhaini leo huku ukitegemea ushahidi wa miezi mitano baadae!? Ina maana mpaka unaifungua kesi ulikuwa huna ushahidi!?
WEwe maku chawa, endelea kulamba mataqo ya mtawala kilaza!Mabwege km wewe ni yale yanashabikia ila siku akipatikana na hatia akashughulikiwa huna msaada wowote. Mlishabikia Nchimbi juzi tu leo hakuna mnachoweza kumsaidia. Ni kwa kuwa Lissu ni mpumbavu angekuwa na maarifa asingefanya upuuzi anaoufanya, hakuna cha mwamba ni kwamba amepanic anaomba huruma ya jamii na ya majaji, ni km anatoa rushwa aache usengerema siyo kila mtu ni zuzu!
Nitafurahi sana mtakapoleta posts kama hizi pale atakapohukumiwa kunyongwa hadi kufa.Hii serikali ya Samia ilidhani yatatokea yale ya Mbowe kuwa unaambiwa una kesi ya kujibu kisha unanyoosha mikono na kukimbilia ikulu!
Mwamba kasema yupo tayari kufa na hakuna kesi ndogo kwenye kesi ya uhaini. Kasema wazi ni ama una hatia unyongwe au hauna hatia uachiliwe. Hakuna cha mbadala!
Pia mwamba kaweka hadharani kila kitu sasa sijui majaji wataegemea wapi kumkuta na hatia! Kila kitu kaweka wazi.
Nimeupenda sana msimamo wa Lissu na kwa mara ya kwanza kwa sisi wengibe tunaenda kushuhudia hukumu kamili ikisomwa kwenye kesi ya uhaini tena dhidi ya mpigania demokrasia. Kwa hakika tunaisubiri kwa hamu hii siku.
Ni ama mahakama idharaulike jumla mpaka ngazi za kimataifa au iheshimike kwa kutenda haki.
Hongera sana Mwamba Lissu hakika kupitia wewe Tanzania mpya inazaliwa!
Mabwege ni wewe unayegongwa kwenye makorido ya Lumumba na bado subirin tarehe ya Hukumu ndio mtaelewa vizuri kesi kwishaaa.Mabwege km wewe ni yale yanashabikia ila siku akipatikana na hatia akashughulikiwa huna msaada wowote. Mlishabikia Nchimbi juzi tu leo hakuna mnachoweza kumsaidia. Ni kwa kuwa Lissu ni mpumbavu angekuwa na maarifa asingefanya upuuzi anaoufanya, hakuna cha mwamba ni kwamba amepanic anaomba huruma ya jamii na ya majaji, ni km anatoa rushwa aache usengerema siyo kila mtu ni zuzu!
*****ok.
cheap is now cost, right?
Lissu HAWEZI kukutwa na hatia.Iwapo wakimtia hatiani,basi upinzani ndio kwisha nchi hii!Mtu atapanda jukwaani kuongea Nini?Akiteleza kidogo akatamka maneno wasiyoyapenda serikali basi anafunguliwa kesi ya Uhaini na rejea itakuwa kesi ya Lissu!