Kiboko ya Mazwazwa
JF-Expert Member
- Feb 22, 2026
- 1,802
- 3,271
Mashoga nenden mkawasaidie kina katuga kesho shenzi nyinyi nguruwe wa kizimkaziAlijaribu kuzuia uchagu,zi kwa kuchoma vituo vya kupigia kura, kukata vidole wapiga kura.,kuchoma vituo vya mafuta, haya yote yamesababishwa na maneno ya tundu lisu
Machoko mapigwa miti yametelekeza eda, nenden mkawasaidie mawakili wenu fake Mahakama shenzi nyinyi nguruwe wa kizimkaziNitafurahi sana mtakapoleta posts kama hizi pale atakapohukumiwa kunyongwa hadi kufa.
Sahihi.Lissu ni zaidi ya Nyerere
Tangu mwanzo ilijulikana hii kesi ni ya kisiasaMbaya zaidi... Kawaambia Majaji hati ya mashtaka Kuna maneno yametolewa ili kubadili maana ...yaani Yale maneno Yana vidoti Kisha sentensi inaendelea..
Ina maana Majaji watajiuliza kama Kuna maneno yametolewa ni yapi ? Hapo ndipo ushahidi wa video ungehitajika ili wasikilize na wao ...ila Sasa video haipo
Nakubaliana nawewe 100%Lissu ni zaidi ya Nyerere
Kesho mawakili wa Serikali wakiongozwa na Wakili Mkuu wa Serikali Nassoro Katuga wanaanza kushusha nondo zao. Stay tuned!Machoko mapigwa miti yametelekeza eda, nenden mkawasaidie mawakili wenu fake Mahakama shenzi nyinyi nguruwe wa kizimkazi
Kumtia hatiani sio tu kunaibagaza nchi bali unaondoa trust ya mahakama kabisa kwa kuwa umma na ulimwengu tayari unahukumu mkononi na inaweza kuchochea hasira za watu zaidi. It is very open kuwa hakuna uhaini pale na Lissu amejua kuwa majaji watakumbilia kwenye sedition ndio maana amewahi kwenye hilo.Pia Lissu kuwa Gerezani kutaendelea kuharibu jina la Rais aliyo madarakani kwani Umma utamzungumzia zaidi Lissu.Jiulize kwa nini hadi wazee vijijini wanajua kuhusu hii kesi na hawajui kuwa kuna makamu wa rais mpya na Jina lake ndio usiulize hawajui chochote.Iwapo wakimtia hatiani,basi upinzani ndio kwisha nchi hii!Mtu atapanda jukwaani kuongea Nini?Akiteleza kidogo akatamka maneno wasiyoyapenda serikali basi anafunguliwa kesi ya Uhaini na rejea itakuwa kesi ya Lissu
Lissu hakuwahi kutamka hayo maneno uliyoandika hapo, mahakama inawataka ku prove beyond any doubts something which you can't.Alijaribu kuzuia uchagu,zi kwa kuchoma vituo vya kupigia kura, kukata vidole wapiga kura.,kuchoma vituo vya mafuta, haya yote yamesababishwa na maneno ya tundu lisu
Nina mashaka sana na jinsia yakoKesho mawakili wa Serikali wakiongozwa na Wakili Mkuu wa Serikali Nassoro Katuga wanaanza kushusha nondo zao. Stay tuned!
Mnyika, Golugwa Brenda Rupia na John Heche wote sasa hivi ni ndembendembe baada ya kuhojiwa na magwiji wa Sheria wakiongozwa na Wakili Mkuu wa Serikali Nassoro Katuga!
Kesho ni zamu ya Lissu kubagazwa hadi aombe poo!
Na nakuhakikishia Lissu ATANYONGWA HADI KUFA!
Umemjibu vizuri sana japo uliyemjibu ni nyumbu wa Lumumba hawezi kukuelewa hata kidogoLissu hakuwahi kutamka hayo maneno uliyoandika hapo, mahakama inawataka ku prove beyond any doubts something which you can't.
Sheria haitaki ramli, inataka majibu kamili, sio mnawaambia majaji wajiongeze kwa hizi hoja zenu za kuunga unga.
Upinzani ni hulka ya mwanadamu. Kamwe hauwezi kufa. Miaka hiyo nilipokuwa mwanafunzi niliwahi kufundishwa hivi; Man is a political animal.Iwapo wakimtia hatiani,basi upinzani ndio kwisha nchi hii!Mtu atapanda jukwaani kuongea Nini?Akiteleza kidogo akatamka maneno wasiyoyapenda serikali basi anafunguliwa kesi ya Uhaini na rejea itakuwa kesi ya Lissu!
Leo nikitamka "nitaipindua serikali ya ccm" utakuwa ni Uhaini!?Kesi ilifunguliwa kwa ushahidi wa maneno, baada ya vurugu kutokea kweli,na ushahidi wa vitendo umeongezeka, kuna kosa kuongezeka kwa ushahidi, wakati kesi inaendelea?
Basi ndio wataaribu zaidi yaani wataibuka wanaharakati kila mahali hii nchi..Iwapo wakimtia hatiani,basi upinzani ndio kwisha nchi hii!Mtu atapanda jukwaani kuongea Nini?Akiteleza kidogo akatamka maneno wasiyoyapenda serikali basi anafunguliwa kesi ya Uhaini na rejea itakuwa kesi ya Lissu!
Umesahau nyingine ile "kesi uchwara ya mgao wa mali Bara na Visiwani " ya wale machawa akina salum mwalimu na kuzuia chama kufanya kazi kwa muda mrefu.Tangu mwanzo ilijulikana hii kesi ni ya kisiasa
Na walifanya hivyo ili kuwaondoa CDM kwenye reli
Kumbuka walitumia option ya kwanza kumtaka Mwenyekiti mstaafu arudi tena, iliposhindikana ndiyo wakaja na option ya pili, Kesi ya uhaini
Mamlaka hazitaki Siasa za Lissu na Heche
Fedha za damu ulizopewa na Samia zinakusumbua ipo siku zitaishia kwenye matibabu ya Mama Yako Ocean Road HospitalKesho mawakili wa Serikali wakiongozwa na Wakili Mkuu wa Serikali Nassoro Katuga wanaanza kushusha nondo zao. Stay tuned!
Mnyika, Golugwa Brenda Rupia na John Heche wote sasa hivi ni ndembendembe baada ya kuhojiwa na magwiji wa Sheria wakiongozwa na Wakili Mkuu wa Serikali Nassoro Katuga!
Kesho ni zamu ya Lissu kubagazwa hadi aombe poo!
Na nakuhakikishia Lissu ATANYONGWA HADI KUFA!
Inaonekana kuna Ka kitu alikuwa kameandaliwa jamaa amekanusaMwamba kasema yupo tayari kufa na hakuna kesi ndogo kwenye kesi ya uhaini. Kasema wazi ni ama una hatia unyongwe au hauna hatia uachiliwe. Hakuna cha mbadala
Na serikali ikapinduliwa kweli, itakuwa ni uhainiLeo nikitamka "nitaipindua serikali ya ccm" utakuwa ni Uhaini!?