Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Pesa ninayopata hata kama haikdhi mahitaji yangu naipata kwasababu nimeifanyia kazi kwa kusoma kwa bidii shuleni na vyuoni. Na Sasa ni Mtumishi wa Serikali mwenye utii wa kazi. Imagine saa 11 alfajiri nimeishamaliza kujiandaa tayari kwenda kazini na Ofisi ni mwendo wa dakika Tano tu.Fedha za damu ulizopewa na Samia zinakusumbua ipo siku zitaishia kwenye matibabu ya Mama Yako Ocean Road Hospital
wamfunge kwa kosa lipi. Tusikubali. waTanganyika tusikubali uonevu huu wa wazi! Bora tugawane mbao !!!!Upinzani ni hulka ya mwanadamu. Kamwe hauwezi kufa. Miaka hiyo nilipokuwa mwanafunzi niliwahi kufundishwa hivi; Man is a political animal.
Ikitokea wakamfunga kwa hila, basi hao wakoloni weusi watambue fika watatokea akina Lissu wengine wa kutosha tu wa kuwakosoa.
upinzani ni spirit inayokaaa ndani ya mtu...think a little deepIwapo wakimtia hatiani,basi upinzani ndio kwisha nchi hii!Mtu atapanda jukwaani kuongea Nini?Akiteleza kidogo akatamka maneno wasiyoyapenda serikali basi anafunguliwa kesi ya Uhaini na rejea itakuwa kesi ya Lissu!
Sidhani kama itakuwa hivyo kwa upinzani iwapo atahukimiwa kifo/kifungo.Hali hiyo itazidisha chuki,sumu,hasira na kuzaa mbinu nyingine zaidi za mapambano ya moja kwa moja.Muda utatoa majibu.Iwapo wakimtia hatiani,basi upinzani ndio kwisha nchi hii!Mtu atapanda jukwaani kuongea Nini?Akiteleza kidogo akatamka maneno wasiyoyapenda serikali basi anafunguliwa kesi ya Uhaini na rejea itakuwa kesi ya Lissu!
Hapo siyo mwisho kuna Court of Appeal full bench jopo la Majaji 7.Iwapo wakimtia hatiani,basi upinzani ndio kwisha nchi hii!Mtu atapanda jukwaani kuongea Nini?Akiteleza kidogo akatamka maneno wasiyoyapenda serikali basi anafunguliwa kesi ya Uhaini na rejea itakuwa kesi ya Lissu!
YBWYBok.
cheap is now cost, right?
Mkuu, ''upinzani'' siyo vyama na mikutano. ''Upinzani'' ni kuridhika/kutoridhika kwa wananchi juu ya uongozi wa nchi, yaani yale yaliyo kwenye maisha na mioyo ya raia. Vyama na majukwa ya siasa ni mdomo tu wa kuongelea yaliyopo kwenye mioyo ya wananchi. Yes, wanaweza kuua upinzani wa kwenye majukwaa, lakini wananchi wakatumia njia nyingine ku-react. Tena hii kesi wakijifanya kumkuta na hatia ndiyo itawaweka pabaya zaidi. Najua wanaweza kufanya hivyo kwa sababu wamelewa madaraka chakari na hawajui walifanyalo lakini wanaipeleka nchi sehmu mbaya kabisa.Iwapo wakimtia hatiani,basi upinzani ndio kwisha nchi hii!Mtu atapanda jukwaani kuongea Nini?Akiteleza kidogo akatamka maneno wasiyoyapenda serikali basi anafunguliwa kesi ya Uhaini na rejea itakuwa kesi ya Lissu!
Wewe panya wa kike hebu tuondolee upumbavu wako qmmkWe tulia hakuna unachojua
Hizi ni hisia zako. Sheria inataka uonyeshe bila kuacha punde ya shaka muungano wa yaliyotokea na Lissu. Infact case ya kuonyesha kuwa vurugu za 29/10 zilisababishwa na Samia and co ni rahisi zaidi ku-prooveAlijaribu kuzuia uchagu,zi kwa kuchoma vituo vya kupigia kura, kukata vidole wapiga kura.,kuchoma vituo vya mafuta, haya yote yamesababishwa na maneno ya tundu lisu
Kama itakuwa hivyo watafunga wangapi.Iwapo wakimtia hatiani,basi upinzani ndio kwisha nchi hii!Mtu atapanda jukwaani kuongea Nini?Akiteleza kidogo akatamka maneno wasiyoyapenda serikali basi anafunguliwa kesi ya Uhaini na rejea itakuwa kesi ya Lissu!
Vituo vya kupigia kura gani sasa wakati kura wanapiga walimu ? Kuna haja gani ya kupoteza pesa si bora muwape walimu wasahihishe tu majumbani kwao huko na sio kutuletea sinema za kichoko miaka hii kila mtu anajua upuuzi unaomfanyiaMashoga nenden mkawasaidie kina katuga kesho shenzi nyinyi nguruwe wa kizimkazi
Hao ni mashabiki mazuzu yaliyovuta moshi wa laana ya jitu linaitwa mwengeHizi ni hisia zako. Sheria inataka uonyeshe bila kuacha punde ya shaka muungano wa yaliyotokea na Lissu. Infact case ya kuonyesha kuwa vurugu za 29/10 zilisababishwa na Samia and co ni rahisi zaidi ku-proove
Walioshtakiwa kwa Uhaini wa october 29 ni kina Niffer na wengine na karibu wote walishaachiwa.Hizi ni hisia zako. Sheria inataka uonyeshe bila kuacha punde ya shaka muungano wa yaliyotokea na Lissu. Infact case ya kuonyesha kuwa vurugu za 29/10 zilisababishwa na Samia and co ni rahisi zaidi ku-proove
Mabwege km wewe ni yale yanashabikia ila siku akipatikana na hatia akashughulikiwa huna msaada wowote. Mlishabikia Nchimbi juzi tu leo hakuna mnachoweza kumsaidia. Ni kwa kuwa Lissu ni mpumbavu angekuwa na maarifa asingefanya upuuzi anaoufanya, hakuna cha mwamba ni kwamba amepanic anaomba huruma ya jamii na ya majaji, ni km anatoa rushwa aache usengerema siyo kila mtu ni zuzu!
Kama ukikaa ndani ya mtu na hauna sehemu ya kuuonesha,huo sio upinzaniupinzani ni spirit inayokaaa ndani ya mtu...think a little deep
you better watch your back gentleman 🐒YBWYB
Mzee unamwambia Mpumbavu aache Upumbavu?Punguza upumbavu kichwani mwako. Yaani ufungue kesi ya Uhaini leo huku ukitegemea ushahidi wa miezi mitano baadae!? Ina maana mpaka unaifungua kesi ulikuwa huna ushahidi!?
Uhaini wa hayo maneno ni yapi kwa mujibu wa Sheria za nchi?Huu ushahidi unatosha kumnyonga Lisu