Wewe ungekuwa Rais wa JMT ungechukua hatua gani?
 
Nafikiri tunaogopa kukumbushiwa matumizi ya zile EURO, tulizosikia za awamu ile!
Sielewi kwanini hakuna elimu ya amsha amsha ya tahadhari kwa jamii.

Ila taratibu maji tiririka ndoo zimeanza kurudishwa. Sasa sijui kuna vimemo vya chini chini vy a Private&Confidential?!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Maji tiririka ni anasa huko vijijini.
 
Akatazwe kupanda madhabahuni na kuongea uwongo. Nyerere na Mkapa hawakuwahi kutumia madhabahu kama majukwaa ya kisiasa
 
Reactions: BAK
Sky, wewe ni Rais wa Tanzania ungefanya vipi? Tumeona Wakenya maskini walivyo onewa.
Ninakumbuka kipindu pindu kililipuka Tanzania nilikua mdogo. Kulikua na quarantaine kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine..

Watu wa afya walipita kila nyumba kuhakikisha kuwa kila nyumba Ina choo na kila mtu ana nawa kwa maji na sabuni akimaliza haja na kabla ya kula.

Kupitia COVID nimeelewa umuhimu wa kuwa na jamii inayojua kusoma na kuandika. Nchi za wenzetu kila mahali kuna sign post zinazoelimisha na kukumbusha jamii.

Ukiwa na high literacy levels, ni rahisi kuilemisha jamii kulinda afya zao.
 
Sky, you are right. Lakini mazingira yetu maisha yetu, hali halisi, ni tofauti.

Kuishi bila kipato kwa mwaka mzima sio mchezo. Wengi watakufa kwa kutopata kipato.
 
Sky, you are right. Lakini mazingira yetu maisha yetu, hali halisi, ni tofauti.

Kuishi bila kipato kwa mwaka mzima sio mchezo. Wengi watakufa kwa kutopata kipato.
Tunaweza kupambana na corona kwa kupunguza mikusanyiko isiyo ya lazima kama baa na restaurant. Watu wanunue bia na kunywea nyumbani.
Mama ntilie wauwe take away kwa Instagram. Au wawape nafasi wateja..

Kunawa mikono kila mara na kuvaa barakoa.
 
Tunaweza kupambana na corona kwa kupunguza mikusanyiko isiyo ya lazima kama baa na restaurant. Watu wanunue bia na kunywea nyumbani.
Mama ntilie wauwe take away kwa Instagram. Au wawape nafasi wateja..

Kunawa mikono kila mara na kuvaa barakoa.
All good ideas. Lakini angalia biashara zitazokufa. Watu wengi kupoteza ajira. Uchumi kushuka sana.
 
How do you expect enomic prosperity while you are facing high a high mortality rate?
How do you expect any prosperity at all,any progress where all people are dead with hunger. Maskini wa kutupwa. Kisa wamefungiwa kufanya biashara halali.
 
Muhimu tahadhari, ila kusimamisha uchumi wako, kipato chako, kuambiwa usitoke nje, kwa mwaka mmoja nani atakulisha? sio lazima kuiga kila kitu. Angalia mazingira yako.

Binadamu ana uwezo wa ku-adapt and survive. Herd immunity, tahadhari, vitasaidia.

"Binadamu ana uwezo wa ku-adapt and survive?"

Takwimu za kuonyesha uelekeo huo waja ziko wapi?

Kwa nini jitihada kubwa mno ya kuhalalisha kutokuchukua hatua yoyote dhidi ya ugonjwa huu ni option bora zaidi kwa mijamaa ya chama fulani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…