Hivi ninyi mmeweka mkataba wa kibiashara na huyu jamaa anaitwa korona, au!??? Mbona HIV hamsemi!??? Tokeni huko na unafiki wenu!
Wewe ungekuwa Rais wa JMT ungechukua hatua gani?
Anajibu yote.ni wewe na Imani yako tu kwake binafsi Sina Shaka nae
All well and good in paper. Kwahiyo wafanyabiashara wote wanaonunua mazao mikoani, wakulima wanaotegemea soko la Dar wote wanafungiwa.1.Ningehakikisha watu wanakua na awareness kuwa ugonjwa huu upo.
2.At least partially lockdown, at least watu wa mkoa mmoja wasiende mkoa mwingine mpaka hali itakapotengamaa.
3.Ningefunga mipaka au ningeweka strict restrictions kwenye hio mipaka
Kibaya ni pale anapoambiwa ukweli af anakuja nq sweeping statement kwamba wametumwa na MABEBERU??? yani kama toto dogoKwa mshikaji bora umuue lakini sio kuadmit kuwa kuna hii kitu. Maana kwa yeye anaona hii ndio the biggest achievement yake, sasa akirudi akubali kua kuna hiyo kitu ni kukubali udhaifu.
Kwa mshikaji ni bora wote tufe hata akiwemo yeye lakini sio akiri kua ameshindwa ama hii kitu ipo. Bora afe.
Hizi ndio akiri za viongozi wa kiafrika.
kwanini kila siku unataka upewe takwimu za Corona na sio malaria?
Lini utakuja kuulizia takwimu za wagonjwa wa Kansa?.
una agenda gani na CORONA?
All well and good in paper. Kwahiyo wafanyabiashara wote wanaonunua mazao mikoani, wakulima wanaotegemea soko la Dar wote wanafungiwa.
Angalia familia zao, extended families, jamii zao zitakavyotaabika.
Tuchukue hatua binafsi. Tuwaelimishe ndugu, marafiki, jamaa zetu."Binadamu ana uwezo wa ku-adapt and survive?"
Takwimu za kuonyesha uelekeo huo waja ziko wapi?
Kwa nini jitihada kubwa mno ya kuhalalisha kutokuchukua hatua yoyote dhidi ya ugonjwa huu ni option bora zaidi kwa mijamaa ya chama fulani?
Unamkufuru MUNGU.
Kulinda maisha, kiuchumi, kiafya, vipato vyao familia zao, their mental health, indeed ni wajibu wa serikali yoyote.Taratibu? Pana dharura panapo maamuzi sahihi pana maisha mengi ya kuokolewa. Wajibu nambari moja wa serikali ni kulinda maisha ya watu.
Kushindwa au kutoonyesha jitihada za kutosha katika kuyalinda maisha ya watu kwa sababu yoyote ile ni kujikosesha uhalali wa kuwapo madarakani wewe mwenyewe.
Tuna ugonjwa unauwa. Tukubali hilo na tukubaliane kuukabili. Wataalamu wa afya wapo. Hakuna aliye bora kuwazidi wataalamu wa afya katika hilo.
Tatizo liko wapi hapo?
Ndiyo democracy yenyewe.Mi huwa simkubali jiwe kwa mambo yake, lakini nakupongeza wewe unajibu maswali vizuri kwa lengo la kuelimishana mpaka mada imekuwa nzuri.
Japo sipo pamoja na wewe
Nobody is perfect, kila mtu ana madhaifu yake. Hata wewe ungekuwa Rais kuna sehemu ungekosea.Sioni chochote alichokifanya zaidi ya kuwadhulumu wakulima, wafanyabiashara na wafanyakazi haki zao za mabilioni kama siyo matrilioni, kauwa Watanzania wengi wasio na hatia yoyote ile pia kawabambikia kesi Watanzania chungu nzima na kuwapora vijisenti vyao kwa kisingizio cha kuwatoza faini za kesi FAKE. Ni janga la Taifa huyo na ndiyo sababu Watanzania wengi wanamchukia sana hata kumuombea mabaya.
Hakuna rekodi ya wagonjwa wala vifo vinavyotokana na Corona Tanzania.Hizo data zako kwamba kati ya watu 100 anakufa tu mtu mmoja umezitoa wapi?Corona ipo, ila haiuwi kivile. Kati ya watu 100 mmoja atakufa. Kuna zaidi ya 99% survival rate.
Ukiwatia hofu watu, ukiwafungia ( lockdown), wengi watakufa kwa hofu, chakula kuilisha familia, polisi, stress, depression, lonelyness. (Death rate inaweza kufika 90%).
Nobody is perfect, kila mtu ana madhaifu yake. Hata wewe ungekuwa Rais kuna sehemu ungekosea.
Kulinda maisha, kiuchumi, kiafya, vipato vyao familia zao, their mental health, indeed ni wajibu wa serikali yoyote.
Unajua Maralia inaua zaidi. Ila mbona hatuipi umuhimu kama Corona?