Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ona huyu!!! Basi ruhusuni kila mtu aagize chanjo yake mwenyewe. Au mruhusu private hosipitals wauze chanjo kwa anayetaka. Hii minzi ya kijani hovyo sana na haijui hata isimamie nini na iseme nini. Ni kwamba mnaumizwa sana na yanayotendeka ila mmeapa kufa na haramu.Mtu wa kwanza kabisa anauetakiwa kutunza afya yako ni wewe mwenyewe
Nani kasema imejiondoa?... kwa hiyo serikali imejiondoa kwenye suala la korona? Kwamba haihusiki na lolote as far as COVID-19 is concerned?
Baba aliwahi kumshangaa spika anavaa barakoa. Spika kwa kumheshimu baba akaivua... yale mafisi yanayomwabudu huyu binadamu unategemea yatajali nini?Kwamba serikali ituambie naweni mikono kila wakati.
Kwamba serikali ituambie vaeni barakoa...
Kwani kazi ya Serikali ni nini? Nani anayeruhusiwa kutolea matamko yahusuyo majanga, vita, nk?Kwamba serikali ituambie naweni mikono kila wakati.
Kwamba serikali ituambie vaeni barakoa...
Tunachagua viongozi wa nini ikiwa nchi inapatwa na mabalaa hawasemi?
Ni upumbavu.
Endelea kubishana bwashee!Acheni kutetea ujinga, haiwasaidia chochote zaidi ya kujidhalilisha nakuhitaji sifa za kijinga kutoka kwa wenye mamlaka.
Broo uko serious kweli na unayoyanena? Acha basi kutudhalilisha. Basi tukubaliane kila mtu aende bungeni akadai maji safi na salama kwasababu kiu ya maji ni suala la mtu binafsi.Yaani mbunge nimemchagua ili anifundishe namna ya kuepuka magonjwa?
Wewe Bavicha bure kabisa!
Imefanya nini?Nani kasema imejiondoa?
Mbona wameshasema sana
Usiache kupiga nyungu🤗
Huyo jamaa Lumumba mzee wa buku 7 ameutupa utu wake kabisa anaona kinachoendelea ni poa tu. A poor wasted spermIt seems hujui hata wajibu wa viongozi uliowachagua.
Idiot.
Mbona unajitekenya na kucheka mwenyewe!!Nani kasema imejiondoa?
Bora hata ingenyamaza isiseme kitu. Kiongozi wake anakataza wasaidizi wake na misukule ya MATAGA wasivae barakoa, na wao wanamsikiliza halafu wanakuja kutuambukiza huku mtaani!Kwamba serikali ituambie naweni mikono kila wakati....
Sasa kaa hapo hapo umsubiri mbunge wako Mdee akuletee barakoa!Broo uko serious kweli na unayoyanena? Acha basi kutudhalilisha. Basi tukubaliane kila mtu aende bungeni akadai maji safi na salama kwasababu kiu ya maji ni suala la mtu binafsi.
Kumbe wewe shida yako chanjo eee.Ona huyu!!! Basi ruhusuni kila mtu aagize chanjo yake mwenyewe. Au mruhusu private hosipitals wauze chanjo kwa anayetaka. Hii minzi ya kijani hovyo sana na haijui hata isimamie nini na iseme nini. Ni kwamba mnaumizwa sana na yanayotendeka ila mmeapa kufa na haramu.
Ona huyu!!! Basi ruhusuni kila mtu aagize chanjo yake mwenyewe. Au mruhusu private hosipitals wauze chanjo kwa anayetaka. Hii minzi ya kijani hovyo sana na haijui hata isimamie nini na iseme nini. Ni kwamba mnaumizwa sana na yanayotendeka ila mmeapa kufa na haramu.