#COVID19 Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona
Acheni kutetea ujinga, haiwasaidia chochote zaidi ya kujidhalilisha nakuhitaji sifa za kijinga kutoka kwa wenye mamlaka.
 
Mtu wa kwanza kabisa anauetakiwa kutunza afya yako ni wewe mwenyewe
Ona huyu!!! Basi ruhusuni kila mtu aagize chanjo yake mwenyewe. Au mruhusu private hosipitals wauze chanjo kwa anayetaka. Hii minzi ya kijani hovyo sana na haijui hata isimamie nini na iseme nini. Ni kwamba mnaumizwa sana na yanayotendeka ila mmeapa kufa na haramu.
 
Kwamba serikali ituambie naweni mikono kila wakati.

Kwamba serikali ituambie vaeni barakoa...
Baba aliwahi kumshangaa spika anavaa barakoa. Spika kwa kumheshimu baba akaivua... yale mafisi yanayomwabudu huyu binadamu unategemea yatajali nini?

Kelele kwa baba ni awaambie wanaomwabudu wajitahadhari ili waepushe matatizo kwa wasiomwabudu.
 
Kwamba serikali ituambie naweni mikono kila wakati.

Kwamba serikali ituambie vaeni barakoa...
Kwani kazi ya Serikali ni nini? Nani anayeruhusiwa kutolea matamko yahusuyo majanga, vita, nk?

Au kazi ya serikali ni kutembelea tu Ma V8?
 
Kwa vifo vinavyoendelea naomba niseme hii nchi ina viongozi wanaoongozwa na nguvu za giza.....huwezi kuwa katika hivi..haiwezekani watu wanaangamia umekaa kimya kabisa.

Kama kutatokea nafasi Rais anapaswa kushitakiwa amekosea sana. Hakuna kitu cha thamani kwa mwanadamu kama uhai.
 
Ni wajibu wa serikali kutoa elimu juu ya mambo ambayo kwa namna moja au nyingine yanaweza kuhatarisha maisha ya wananchi wake. Vilevile sio wananchi wote wana uelewa wa kutosha juu namna bora ya kujikinga na Hii pandemic So it seems hata wewe hufaaam vyema wajibu wa serikali
 
Yaani mbunge nimemchagua ili anifundishe namna ya kuepuka magonjwa?

Wewe Bavicha bure kabisa!
Broo uko serious kweli na unayoyanena? Acha basi kutudhalilisha. Basi tukubaliane kila mtu aende bungeni akadai maji safi na salama kwasababu kiu ya maji ni suala la mtu binafsi.
 
Kwamba serikali ituambie naweni mikono kila wakati....
Bora hata ingenyamaza isiseme kitu. Kiongozi wake anakataza wasaidizi wake na misukule ya MATAGA wasivae barakoa, na wao wanamsikiliza halafu wanakuja kutuambukiza huku mtaani!
 
Broo uko serious kweli na unayoyanena? Acha basi kutudhalilisha. Basi tukubaliane kila mtu aende bungeni akadai maji safi na salama kwasababu kiu ya maji ni suala la mtu binafsi.
Sasa kaa hapo hapo umsubiri mbunge wako Mdee akuletee barakoa!
 
Ona huyu!!! Basi ruhusuni kila mtu aagize chanjo yake mwenyewe. Au mruhusu private hosipitals wauze chanjo kwa anayetaka. Hii minzi ya kijani hovyo sana na haijui hata isimamie nini na iseme nini. Ni kwamba mnaumizwa sana na yanayotendeka ila mmeapa kufa na haramu.
Kumbe wewe shida yako chanjo eee.

Serikali imeweka wazi kwamba haijaridhika na mchakato wa chanjo na imetoa msimamo hawataagiza wala kutumia hizo chanjo kwa sasa.

Hujaona uwajibikaji wa serikali hapo?
 
Ona huyu!!! Basi ruhusuni kila mtu aagize chanjo yake mwenyewe. Au mruhusu private hosipitals wauze chanjo kwa anayetaka. Hii minzi ya kijani hovyo sana na haijui hata isimamie nini na iseme nini. Ni kwamba mnaumizwa sana na yanayotendeka ila mmeapa kufa na haramu.

Nachokiona hapa enyi watu mnaosema mko bungeni hii kitu muda sio mrefu itawabishia hodi ndio mtajua. Prof. wawili SUA wameondoka kwa ndani ya siku mbili ni mke na mme hapo utasema ni nini? La msingi afya yako ndio mtaji wako.

Pamoja na kuchukua tahadhari tusali sana maana Tanzania tunapitia kipindi kigumu mno
 
Wewe kwenye familia yako umeawaachia kila mtu na lwake yaani aamue anavyotaka au unasimama kidete kuhakikisha kila mtu yuko salama na haleti maradhi ndani ya nyumba kutoka huko aendako?

Ukiweza kujibu hili then fikiria ungekuwa baba wa familia kuubwa iitwayo Taifa, ungefanyaje?
 
Back
Top Bottom