Survival for your fitness ......

Nakumbuka ule mchezo wa utotoni ulikuwa unaibwa ..Watoto wangu eee, mimi mama yenu....sina nguvu tena....ya kuua simba.......simba ni mkali...eee aliua baba.....etc Sasa pilikapilika inakuja baada ya mama kusema "Watoto wangu njoooni..."

Ndiyo hii pilikapilika tuliyonayo sasa, mwenye barakoa haya, asiyenayo sawa, mwenye nyugu haya.....
 
Hii corona ya sasa hivi lazima tu Jiwe atajitikeza akiwa na barakoa mpaka kwenye upara akisistiza watanzania tusiyaamini tena malimao na tangawizi bali chanjo kutoka kule kwa mabeberu
 
Chanjo INA faida gani kama una chanja na bado una ogopa kuchangama na hasiye chanja
 
We tulia kwenu, unataka uwe mgeni wa nani? Huko unakokutaja ndo mambo mabaya kwa korona afadhali na kweli...!
 
Umefiwa na watu wangapi mpaka sasa kwenye familia yenu, ukoo, mtaa, unapoabudu nk

Au unatamani kufiwa? Mungu akupe hayo unayoyatamani! Tuache Watanzania tunamlilia Mungu Kwa ajili ya Taifa letu na Watanzania wote tuwe salama mikononi mwa Jehovah!

Tauni ilikuwepo na walipomlilia Mungu aliwaponya. Yupo Nyoka wa Shaba ambaye ni Mungu wetu hakika hata sasa ametuponya. Maadui wanaotumiwa na shetani hawaamini wanachokiona Tanzania. Hakika Mungu ni mkubwaaa!
Mabibi na mabwana kupeana ulio ukweli hata kama ni mchungu vipi ni jambo la msingi sana..
 
Nimeona matamko ya Wamarekani, Waingereza na sasa wajapan. Juzi waangola wametuonesha kuwa na afrika siye hatukaribishwi na yeyote.
Isipokuwa Tanzania na Burundi nchi zote zimekubali kupokea chanjo ya Covid19....
Rwanda, South Africa, Kenya nk wamepata hayo matamko. Huu ni upepo utapita kama yalivyopita mengine. USIOGOPE WALA USIKUZE MAMBO. MUNGU HAPENDI! ISIJE HASIRA YAKE IKAWAKA JUU YAKO
 
Kwanza wengi hatuna nauli ya kwenda huko...alisikika kapuku akiongea
 
Hata mimi nimeshangaa!
 
Uzuri wa Corona haiui watoto bali inatufyekelea mbali sisi wazee watunga maamuzi - sawa wacha tufwe ili tutie adabu !! na uzuri mwingine wa corona inafwagia hadi maboss - tutaelewana tu mwisho wa safari hii.
 
Uzuri wa Corona haiui watoto bali inatufyekelea mbali sisi wazee watunga maamuzi - sawa wacha tufwe ili tutie adabu !! na uzuri mwingine wa corona inafwagia hadi maboss - tutaelewana tu mwisho wa safari hii.

Taabu yake kuna na wenye magonjwa mengine. Pia hata hivyo si wazee wote walihusika na utopolo huu.

Kama mtego wa panya wamenaswa wengi waliomo na wasiokuwamo.
 
Jamani Corona ipo na wala sio siri. Leo nimepatwa na huzuni sana. Jana ilikuwa nilipwe deni langu na mtu ninayemdai na yeye alinapa ahadi ya uhakika ya kunilipa jana.

Nikachukulia poa usiku nikamtex hakujibu. Leo najua naenda kukunja mshiko wangu nampigia simu inapokelewa na mdogo wake ananiambia mwenye simu amefariki alfajiri hapa natoka kuhifadhi mwili. Corona ipo jamani.
 
Mkuu jiandae kunyosha mkono wakat wa mazishi ili ukaongee neno moja🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…