yani kujikinga na korona hadi uambiwe na rais hayo machanjo tunasikilizia kwanza waliojichanja yamewapalua ama la sio sisi tuwe wa kufanyiwa experiment mbona huko ulaya wamechanjwa na bado wanavaa barakoa tumsapoti rais move anayofanya ni nzuri au nasema uongo ndugu zanguuuuu
Atleast hata kipindi kile walikataza mikusanyiko,kuvaa barakoa,kunawa kila mahali,kwenye madaladala level seat hahaha saivi ndo hawasemi kitu wataanzia wapi wakati walisema hamna corona aiseee na wakapaaaamba kuwa wameweza wanaonaa aibuuuu. Huuu sio muda wa kuona aibu hali ishakua mbaya
Yote itaishia kulipia deni la taifa. Taifa Kama taifa tuko pabaya sana, dereva akikosea njia tu wasafiri wote hupotea, nasi tumepotea😭Tuuze nchi tugawane mahela
Wacheni Kutegemea mtu nae ni mtu kama Nyie
Hata akitoka aseme haitasaidia kwani hamuoni hatari hii ni kubwa?? Tujisaidie wenyewe akitoka pengine ndio aseme Mungu ametenda muujiza utafanyaje??
[14]BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.Swali muhimu la kujiuliza mpaka tukaruhusu wanafunzi mechi za mpira na kila mikusanyiko ile corona tuliishindaje?Je na hii mpya tunaweza kuishinda vipi?
Hawa ndio wanakufa hovyo huko na kwasababu si maarufu, habari zao hazisambai.Mkuu wewe una smartphones unaweza ku access information popote pale, umewafikiria wale ambao hawana access to information kauli za Corona hamna tanzania zinawa affect vipi?
Bwana humpigania anayejiongeza, mwenye juhudi. Alisema "nitafute kwa bidii, utaniona, agongae hufunguliwa".[14]BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.
Hakuna anayekufa hovyo,Hawa ndio wanakufa hovyo huko na kwasababu si maarufu, habari zao hazisambai.
Mtaani kwangu ndani ya siku 7 last week wameondoka watu 5 wote kwa changamoto za kupumua. Hao ninao wafahamu na walikuwa bukheri wa afya, je huko tusipokuwa na access na info Hali ikoje?Hakuna anayekufa hovyo,
Acha kutia watu ofu,.
Inaitwa "acute pneumonia".Kwanza nitoe pole kwa wote waliofikwa na misiba ya wapendwa wao. Wapumzike kwa amani.
Kwa hakika sasa vifo vimeongezeka, hapa nazungumzia watu wenye nyadhifa mbalimbali serikalini, achilia mbali wananchi wa kawaida ambao habari zao hazitangazwi. Kama hawa viongozi hawafi kwa corona, je ni nini kinachowaua tena kwa mfululizo namna hii?
Kama sio corona basi hali ya hospitali na huduma zetu za afya nchini ni dhaifu mno tofauti kabisa na jinsi hii serikali inavyojinasibu kuboresha miondumbinu ya afya. Kama watu wanaopewa first class treatment on everything wanapoteza maisha hivi basi raia wa kawaida don't stand a chance.
Kama ni corona, serikali ifanye jitihada za makusudi na za haraka za kuongeza vifaa tiba na kuhimiza tahadhari juu ya huu ugonjwa kuokoa maisha ya watu.
Acheni ujinga jamani!
Huko walikofanya yote hakuna vifo? Huu ugonjwa hakuna njia yeyote iliyoonesha kufanikiwa sasa unataka uambiweje?
Hili litapita
😈Mtaani kwangu ndani ya siku 7 last week wameondoka watu 5 wote kwa changamoto za kupumua. Hao ninao wafahamu na walikuwa bukheri wa afya, je huko tusipokuwa na access na info Hali ikoje?
Bora tutiane hofu ili tupone kuliko kunyamaza watu waendelee kudondoka kimya kimya.
Hatua ipi?Kwa hio unaona sawa kwa vile vifo vipo nchi nyingine then tusichukue hatua kukabiliana na covid?
This time kisanga...Atleast hata kipindi kile walikataza mikusanyiko,kuvaa barakoa,kunawa kila mahali,kwenye madaladala level seat hahaha saivi ndo hawasemi kitu wataanzia wapi wakati walisema hamna corona aiseee na wakapaaaamba kuwa wameweza wanaonaa aibuuuu. Huuu sio muda wa kuona aibu hali ishakua mbaya
Ushauri wangu vipimo vinunuliwe kila kata kuwepo kituo cha kupima maambukizi ili kila mwenye maambukizi ajifahamu mapema awezi kuanza matibabu mapema na kujitenga na ndugu, jamaa na marafki ili kuwalinda. Tunapoacha wenye maambukizi wabaki nayo mpaka wanazidiwa kabisa kwanza wanakuwa kwenye hatari zaidi ya kufa na pili wanakuwa wamewaambukiza wengi zaidi. Mwa mwisho, dawa zinazosaidia kukabiliana na maambukizi haya katika hatua ya mwanzo ziwekwe wazi na ziwe kwenye kundi la DAWA BARIDI ili kila raia aweze kuzipata kirahisi.Toka tu huko Machimboni mwaya....
Mtu aliyewaaminisha watanzania Corona haipo...
Juzi kati akawavimbia wazungu kuhusu chanjo....
Tusiangalie tutaonekaje mbele ya jumuia ya mataifa..
Bali tuangalie maisha ya watanzania yanavyowekwa rehani na mtu mmoja,
Lets face it, statement za mkuu Rais zinafanya more damage,sio kwenye image yetu wa tanzania bali kwetu sisi wenyewe kwa wenyewe maambukizi ya covid-19
Yeye ni msomi wa kiwango cha uprofesa; tafiti hupingwa na tafiti
Sio unaamka asubuhi na kuropoka,
Anyway tuwache hayo,
Janga ndio limeshatukuta,
What is the way foward? (michango yenuhapa inahitajika).
i just think president Magufuli atoke huko aliko auhudhurie mazishi ya makamu wa kwanza wa Rais Seif Hamad aliyefariki kwa Covid
Aseme Tanzania kuna Corona,tujikinge na atoe guidelines
Just to honour him, kifo chake ki save maisha ya watanzania wengine........
Au mnasemaje?
Becky
Ni kweli nchi yetu ina thamani mno... lengo kila mtu apewe chake ajikatae!!!Hakuna nchi inayofanania kithamani na Tanzania karibia na dunia mzima,
Tanzania inathamani kubwa.
Kwanini mnafikilia kuiuza au unataka tuinunue Kongo, Nchumbiji, au Ghana?.