Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
yani kujikinga na korona hadi uambiwe na rais hayo machanjo tunasikilizia kwanza waliojichanja yamewapalua ama la sio sisi tuwe wa kufanyiwa experiment mbona huko ulaya wamechanjwa na bado wanavaa barakoa tumsapoti rais move anayofanya ni nzuri au nasema uongo ndugu zanguuuuu
Utavaa barakoa wakati umeambiwa corona hamna??, what for?? Kuhusu chanjo wenzako walifanya utafiti ikawa inafanya kazi sasa kama unaona kuna ishu unaingia lab una support ama unapinga ukiwa na valid reasons