#COVID19 Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona
yani kujikinga na korona hadi uambiwe na rais hayo machanjo tunasikilizia kwanza waliojichanja yamewapalua ama la sio sisi tuwe wa kufanyiwa experiment mbona huko ulaya wamechanjwa na bado wanavaa barakoa tumsapoti rais move anayofanya ni nzuri au nasema uongo ndugu zanguuuuu

Utavaa barakoa wakati umeambiwa corona hamna??, what for?? Kuhusu chanjo wenzako walifanya utafiti ikawa inafanya kazi sasa kama unaona kuna ishu unaingia lab una support ama unapinga ukiwa na valid reasons
 
Atleast hata kipindi kile walikataza mikusanyiko,kuvaa barakoa,kunawa kila mahali,kwenye madaladala level seat hahaha saivi ndo hawasemi kitu wataanzia wapi wakati walisema hamna corona aiseee na wakapaaaamba kuwa wameweza wanaonaa aibuuuu. Huuu sio muda wa kuona aibu hali ishakua mbaya

Swali muhimu la kujiuliza mpaka tukaruhusu wanafunzi mechi za mpira na kila mikusanyiko ile corona tuliishindaje?Je na hii mpya tunaweza kuishinda vipi?
 
Wacheni Kutegemea mtu nae ni mtu kama Nyie
Hata akitoka aseme haitasaidia kwani hamuoni hatari hii ni kubwa?? Tujisaidie wenyewe akitoka pengine ndio aseme Mungu ametenda muujiza utafanyaje??

Mkuu wewe una smartphones unaweza ku access information popote pale, umewafikiria wale ambao hawana access to information kauli za Corona hamna tanzania zinawa affect vipi?
 
Swali muhimu la kujiuliza mpaka tukaruhusu wanafunzi mechi za mpira na kila mikusanyiko ile corona tuliishindaje?Je na hii mpya tunaweza kuishinda vipi?
[14]BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.
 
Mkuu wewe una smartphones unaweza ku access information popote pale, umewafikiria wale ambao hawana access to information kauli za Corona hamna tanzania zinawa affect vipi?
Hawa ndio wanakufa hovyo huko na kwasababu si maarufu, habari zao hazisambai.
 
Acheni ujinga jamani!

Huko walikofanya yote hakuna vifo? Huu ugonjwa hakuna njia yeyote iliyoonesha kufanikiwa sasa unataka uambiweje?

Hili litapita
 
Hakuna anayekufa hovyo,
Acha kutia watu ofu,.
Mtaani kwangu ndani ya siku 7 last week wameondoka watu 5 wote kwa changamoto za kupumua. Hao ninao wafahamu na walikuwa bukheri wa afya, je huko tusipokuwa na access na info Hali ikoje?
Bora tutiane hofu ili tupone kuliko kunyamaza watu waendelee kudondoka kimya kimya.
 
Kwanza nitoe pole kwa wote waliofikwa na misiba ya wapendwa wao. Wapumzike kwa amani.

Kwa hakika sasa vifo vimeongezeka, hapa nazungumzia watu wenye nyadhifa mbalimbali serikalini, achilia mbali wananchi wa kawaida ambao habari zao hazitangazwi. Kama hawa viongozi hawafi kwa corona, je ni nini kinachowaua tena kwa mfululizo namna hii?

Kama sio corona basi hali ya hospitali na huduma zetu za afya nchini ni dhaifu mno tofauti kabisa na jinsi hii serikali inavyojinasibu kuboresha miondumbinu ya afya. Kama watu wanaopewa first class treatment on everything wanapoteza maisha hivi basi raia wa kawaida don't stand a chance.

Kama ni corona, serikali ifanye jitihada za makusudi na za haraka za kuongeza vifaa tiba na kuhimiza tahadhari juu ya huu ugonjwa kuokoa maisha ya watu.
Inaitwa "acute pneumonia".
 
IMG_20210218_075840.jpg
 
Acheni ujinga jamani!

Huko walikofanya yote hakuna vifo? Huu ugonjwa hakuna njia yeyote iliyoonesha kufanikiwa sasa unataka uambiweje?

Hili litapita

Kwa hio unaona sawa kwa vile vifo vipo nchi nyingine then tusichukue hatua kukabiliana na covid?
 
Mtaani kwangu ndani ya siku 7 last week wameondoka watu 5 wote kwa changamoto za kupumua. Hao ninao wafahamu na walikuwa bukheri wa afya, je huko tusipokuwa na access na info Hali ikoje?
Bora tutiane hofu ili tupone kuliko kunyamaza watu waendelee kudondoka kimya kimya.
😈
 
Kwa hio unaona sawa kwa vile vifo vipo nchi nyingine then tusichukue hatua kukabiliana na covid?
Hatua ipi?

Hakuna hatua yeyote iliyooonesha kuondoa corona, achana na nchi za kiafrika maana wao walikuwa wanaigiza wanachukua hatua, bali angalia kule marekani na ulaya pamoja na hatua kali umeona vifo vyao?

Sasa kama hali ni ile unataka sisi tufanyaje?
 
Atleast hata kipindi kile walikataza mikusanyiko,kuvaa barakoa,kunawa kila mahali,kwenye madaladala level seat hahaha saivi ndo hawasemi kitu wataanzia wapi wakati walisema hamna corona aiseee na wakapaaaamba kuwa wameweza wanaonaa aibuuuu. Huuu sio muda wa kuona aibu hali ishakua mbaya
This time kisanga...
 
Toka tu huko Machimboni mwaya....

Mtu aliyewaaminisha watanzania Corona haipo...

Juzi kati akawavimbia wazungu kuhusu chanjo....

Tusiangalie tutaonekaje mbele ya jumuia ya mataifa..

Bali tuangalie maisha ya watanzania yanavyowekwa rehani na mtu mmoja,

Lets face it, statement za mkuu Rais zinafanya more damage,sio kwenye image yetu wa tanzania bali kwetu sisi wenyewe kwa wenyewe maambukizi ya covid-19

Yeye ni msomi wa kiwango cha uprofesa; tafiti hupingwa na tafiti

Sio unaamka asubuhi na kuropoka,

Anyway tuwache hayo,

Janga ndio limeshatukuta,

What is the way foward? (michango yenuhapa inahitajika).

i just think president Magufuli atoke huko aliko auhudhurie mazishi ya makamu wa kwanza wa Rais Seif Hamad aliyefariki kwa Covid

Aseme Tanzania kuna Corona,tujikinge na atoe guidelines

Just to honour him, kifo chake ki save maisha ya watanzania wengine........

Au mnasemaje?

Becky
Ushauri wangu vipimo vinunuliwe kila kata kuwepo kituo cha kupima maambukizi ili kila mwenye maambukizi ajifahamu mapema awezi kuanza matibabu mapema na kujitenga na ndugu, jamaa na marafki ili kuwalinda. Tunapoacha wenye maambukizi wabaki nayo mpaka wanazidiwa kabisa kwanza wanakuwa kwenye hatari zaidi ya kufa na pili wanakuwa wamewaambukiza wengi zaidi. Mwa mwisho, dawa zinazosaidia kukabiliana na maambukizi haya katika hatua ya mwanzo ziwekwe wazi na ziwe kwenye kundi la DAWA BARIDI ili kila raia aweze kuzipata kirahisi.
 
Hakuna nchi inayofanania kithamani na Tanzania karibia na dunia mzima,
Tanzania inathamani kubwa.

Kwanini mnafikilia kuiuza au unataka tuinunue Kongo, Nchumbiji, au Ghana?.
Ni kweli nchi yetu ina thamani mno... lengo kila mtu apewe chake ajikatae!!!

Sasa mbn tunaongozwa na watu wa majalalani??
 
Tumebakiza Masaa machache sana kabla Jiwe hajawa kwenye sickbed,uzuri alishasema "Mimi nikifa naomba nizikwe Chato"

Kwahiyo mapenzi ya Mungu yakishatimizwa tutakachofanya sisi ni kumpeleka kijijini kwao chato na kumdump kama tulivyomdamp yule mzee mnene mjinga wa Lupaso
 
Back
Top Bottom