Hakuna ujumbe hapo ni wingi wa sentensi, zinazopingana.Katika kitu ambacho hakitakiwi kufanyiwa masihara basi ni ulinzi wa Rais. Hii ni kawaida sana kwa nchi zote duniani toka enzi na enzi, sio Tanzania tuu. Na endapo likitokea la kutokea basi watu wa karibu kabisa na Rais ndiyo huwa prime blamees. Hamtaweza kuepuka lawama kwani usalama wa Rais uko mikononi mwenu na sio mikononi kwake...
WeziPole sana mkuu, sasa hivi unaendeleaje?
Mimi huku niliko wamenitumia ujumbe nina nafasi ya kujisajili kupata chanjo.
Kumbe Lissu alikua sawa kuacha Muhimbili na kwenda kutibiwa Nairobi Hospital.
Wezi kivipi?Wezi
Mchelea mwana kulia!? Hulia yeye?Corona ipo duniani na Tanzania siyo kisiwa.
Nchi kuwa na Corona siyo aibu, maana kirusi hakijui mipaka ya kisiasa...
Pamoto
AiseeKatika kitu ambacho hakitakiwi kufanyiwa masihara basi ni ulinzi wa Rais. Hii ni kawaida sana kwa nchi zote duniani toka enzi na enzi, sio Tanzania tuu. Na endapo likitokea la kutokea basi watu wa karibu kabisa na Rais ndiyo huwa prime blamees. Hamtaweza kuepuka lawama kwani usalama wa Rais uko mikononi mwenu na sio mikononi kwake...
Aisee!Nahisi kuna ka movement cha wafanyabiashara na mabeberu wanaotaka kuirudisha covid 19 kwa kasi ili wapige hela.
SIO KWA TANZANIA YA LEO, WATAKWAMA
Ila we Jamaa
Kwani kuna mtu kakuzuia kujikinga?Naandika kwa kifupi tu kuhusu huu ugonjwa hatari wa Covid 19 Corona.Dunia Nzima,Narudia Dunia Nzima inahangaika na vifo,kuuguza,kuagiza chanjo,kuchanja wananchi wake n.k Mie nauliza viongozi wahusika hasa Wizara ya Afya,Mganga Mkuu wa serikali Na Wengineo Hivi MwenyeziMungu Muumba wa kila kitu Duniani na Akhera,Muumba Mbingu na Ardhi, Katujaalia sie Watanzania TU Tusiwe na Huu Ugonjwa?Jibu ni HAPANA.Tunateketea Kimya Kimya.Sisi tunaishi katika sayari iitwayo Dunia (Earth) hivyo hatuna tofauti na binadamu wote wa nchi zingine.Ombi Langu kwenu Wahusika Tangazeni haraka Hatua Za Lazima Za Kujikinga na huu ugonjwa.Kutopeana mikono peke yake Hakutoshi.Jamani tuache upuuzi huu wa kuwaita wenzetu sijui mabeberu n.k.Leo Dunia Hii aliyoiumba Mtukufu wa Milele Mwenyezi Mungu ni kama kijiji.Tuanze Leo,Tusije Kuangamia.Nakuambieni Ahsanteni na Sio Shukrani,kwani neno Shukrani ni la Mtukufu Mwenyezi Mungu Pekee.
Kwani kuna mtu kakuzuia kujikinga?
Mbona mnaleta hoja kila siku za kijinga?
Mbona gest mnaenda kimya wenyewe bila condom au na condom?
Huwa kuna mtu akulazimisha?
Ukipata ukimwi ni shauli yako kwa kutotumia.
Kama umeweza kujua kuna ugonjwa kwani unakatazwa kubaa barakoa na kutumia visafiaha mikono?
Hivyo vitu viko madukani vimekosa wateja, sasa anza kuvitumia tupate biashara.
Mtu ak8kupa mikoni achana nae vau vaa gloves kaa distance uone kama kuna mtu atakuuliza.
Wewe unataka watu walazimishwe ili ufulahi?
Hayi ni mawazo yangu tu