paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
Hahahaa umesababisha nyuzi yangu iondolewe jukwaaniLeo nyuzi za corona zimeshamiri nasubr serikali ipige marufuku mazungumzo yoyote ya Corona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa umesababisha nyuzi yangu iondolewe jukwaaniLeo nyuzi za corona zimeshamiri nasubr serikali ipige marufuku mazungumzo yoyote ya Corona
🤣🤣🤣🤣Hahahaa umesababisha nyuzi yangu iondolewe jukwaani
Mkuu, unafurahia tena🤣🤣🤣🤣
Corona ipo juu. Juzi tarehe 4 nimezika kaka yangu kwa tatizo la mafua makali na kushindwa kupumua.Leo nyuzi za corona zimeshamiri nasubr serikali ipige marufuku mazungumzo yoyote ya Corona
Mkuu unafahamu kitu inaitwa pathognomoni signs?Umejuaje kuwa ni kweli corona? au tu kwa sababu kuna corona basi hayo magonjwa mengine yamestop kusababisha vifo? point yangu ni hili suala la kuhusisha vifo vya watu na corona pasina ushahidi kisa tu kuna corona basi kwahiyo kila kifo ni corona ila wanaficha,sasa huo nao si utakuwa ni ukichaa.
Huna ushahidi una haja gani ya kuhusisha hivyo vifo na corona?ili iweje hasa?
Lugha gani hii?Lishe bole mazoezi walau tunaweza kuhukabili
Proximity ya hivyo vifo umeizingatia ? Maana ni January tu mtu anapoteza watu wawili , haikuwah kuwa hivyoKama kusingekuwa na kinachoitwa corona basi pengine hivyo vifo hata usingekuja kuvizungumzia hapa ila kwa sababu kuna corona basi hayo matatizo ya kupumua na kuwekewa mashine za kuwasaidia kupumua yanaonekana kama ni mambo mapya yaliyokuja kipindi hiki cha corona.
Bado najiuliza WHY?Hivi unaamini kama leo Magufuli akisema kuna Korona wale wote waliokuwa wanapambana kusema hakuna watabadili kauli na kusema IPO? . Hakuna Mtanzania anaweza kupigania haki yake SASA hivi hata wapinzani nawashauri wafanye kazi nyingine hii ming'ombe ni ya kuiacha mpaka ishike adabu.
Mwaka juzi mwezi wa kumi na mbili kabla ya corona nilipoteza watu wangu wa karibu ndani ya wiki moja tu,yani walifuatana hatujampuzika msiba wa kwanza anafuata mwengine.Proximity ya hivyo vifo umeizingatia ? Maana ni January tu mtu anapoteza watu wawili , haikuwah kuwa hivyo
Pathogmonic(of a sign or symptom) specifically characteristic or indicative of a particular disease or condition.Mkuu unafahamu kitu inaitwa pathognomoni signs?
Ok ngoja wajeMagufuli kumuelewa ni ngumu kidogo ila yupo sahihi.