Olly Bless
Member
- May 23, 2023
- 63
- 77
Mnamteteaje Mungu? Kama mnaamini Mungu ana nguvu zote je Hana nguvu za kujitetea? Aumbe mbingu na nchi ashindwe kujitetea kweli? Mimi naamini Mungu wangu anazo nguvu sana haitaji kutetewa na mimi, ila mimi ndio nahitaji kutetewa na yeye.Tunamtetea Allah
Ivi mazoezi ya karate na ugaid vina mahusiano gani nyie maccchoko? Watu wavivu wa mazoezi huwa mna maneno Sana kkenge nyie, acheni chuki za kidini wapuuz nyie, ivi mlisikia lini magaidi wamevamia sehemu kwa kutumia mapigano ya mkono (karate)?Vitengo vyetu vya usalama vifanye kazi kwa weledi msije shtuka wakati mmesha chelewa.
Shule nyingi zinafundisha watoto kupigana ngumi, Karate na kutumia silaha za jadi na baadhi wanatoa hata maelekezo ya silaha za moto huenda.
Sasa wanajiandaa na nini? Na maandalizi yao wapo very secret na mazoezi mengine wanafanyia maporini kabisa ,wanajiandaa na nini hawa?
Maana unaweza dhani hizi kauli za kina mwaipopo , na yule Sheikh wa Mwanza zinakuja kwa bahati mbaya kumbe wana uhakika wana kikosi kazi cha kupambana hivyo wanaanza choko choko.
NAWASILISHA
Wapuuz hao mkuuMkuu unahakika na hili? Je hakuna ule ukaguzi wa shule sikuhizi?
UzalendoJkt kwa mujibu wa sheria watoto wanaenda kufundishwa nini?
Michezo ya Ngumi na karate itafanya nini? Ama unafikiri mtu anaweza pindua Nchi kwa karate? Punguza kuangalia movie nyingi mkuu.Mnajifunza nini huko misikitini? Mnaanzaje kujifunza ngumi na karate kwenye nyumba mlizo jenga kwa ajili ya ibada na mashule kwa ajili ya masomo? Kwani ni mlizisajili kama kambi za jeshi zile? Au vyuo vya mafunzo ya kupigana? Mnajiandaa na nini nyie ndugu?
Ukiona mwenzako anajifunza ngumi na wewe anza kujifunza, siyo unakuja hapa unalialiaVitengo vyetu vya usalama vifanye kazi kwa weledi msije shtuka wakati mmesha chelewa.
Shule nyingi zinafundisha watoto kupigana ngumi, Karate na kutumia silaha za jadi na baadhi wanatoa hata maelekezo ya silaha za moto huenda.
Sasa wanajiandaa na nini? Na maandalizi yao wapo very secret na mazoezi mengine wanafanyia maporini kabisa ,wanajiandaa na nini hawa?
Maana unaweza dhani hizi kauli za kina mwaipopo , na yule Sheikh wa Mwanza zinakuja kwa bahati mbaya kumbe wana uhakika wana kikosi kazi cha kupambana hivyo wanaanza choko choko.
NAWASILISHA
Hilo ni kwaajil ya kujenga Taifa na ni taasis ya serikali!! Hao wengine labda ni kwaajil ya kua extremists au jihadistJkt kwa mujibu wa sheria watoto wanaenda kufundishwa nini?
Wanajiandaa na DP World kuilinda na kuitetea kwa nguvu zote,na ndiyo maana wameanzia mashuleni.Vitengo vyetu vya usalama vifanye kazi kwa weledi msije shtuka wakati mmesha chelewa.
Shule nyingi zinafundisha watoto kupigana ngumi, Karate na kutumia silaha za jadi na baadhi wanatoa hata maelekezo ya silaha za moto huenda.
Sasa wanajiandaa na nini? Na maandalizi yao wapo very secret na mazoezi mengine wanafanyia maporini kabisa ,wanajiandaa na nini hawa?
Maana unaweza dhani hizi kauli za kina mwaipopo , na yule Sheikh wa Mwanza zinakuja kwa bahati mbaya kumbe wana uhakika wana kikosi kazi cha kupambana hivyo wanaanza choko choko.
NAWASILISHA
Ahhahh, kaka hii nchi Ina maffala wengituanze na wanaoenda gym halafu tufute mchezo wa ngumi maana hatujui wanajiandaa na nini pia.
Umeona mkuu, wagalatia Wassng SanaJkt kwa mujibu wa sheria watoto wanaenda kufundishwa nini?
Mwaka 1996 tulikuwa tujifunza karate kanisa la katoliki MorogoroMnajifunza nini huko misikitini? Mnaanzaje kujifunza ngumi na karate kwenye nyumba mlizo jenga kwa ajili ya ibada na mashule kwa ajili ya masomo? Kwani ni mlizisajili kama kambi za jeshi zile? Au vyuo vya mafunzo ya kupigana? Mnajiandaa na nini nyie ndugu?
Chadema ifutwe kabisa cSiasa imeingizwa kidini na kibaguzi tanzania. Kuna vuguvugu linatokota kwa kasi naliona. Na watanzania tulivyo na vichwa vyepesi kubebwa kama upepo, huko tunapokwenda ni giza.
1) Maaskofu na mapari wana fitinishwa na masheikh.
2) Masheikh nao wana fitinishwa na mapadri na maaskofu.
3) Waislamu wana fitinishwa na wakristo.
4) Wakristo wana fitinishwa na waislamu.
5) Watanzania bara wana fitinishwa na Wazanzibari.
6) Wazanzibari wana fitinishwa na watanzania bara.
7) Ubaguzi wa rangi na makabila unashika kasi.
8) Vyama vya siasa vinatoa vipeperushi kuwasemea Mapadri na Masheikh.
9) Wananchi ndio wanatumiwa kama kuni kuchochea moto.
10) Wanasiasa, wanaharakati, wanasheria n.k wanachochea moto.
Ni hatari tupu tunapokwenda! Mw. Nyerere aliona mbali kwenye ile speech yake ya "Mimi Mzanzibari/Mimi mtanganyika/Mimi Kabila Fulani".
Kanisa katoliki ni wavuruga amani ya nchiKanisa katoliki ni kama Coca cola..
Wakala wa Vatican hapa Tanzania
Na Vatican ni Italy...
Naona wako mbele Sana kuvuruga kila kitu...Maaskofu na Padri Slaa wako mwembe Yanga kumtukana Samia na kuchochea uasi...
Na hapa JF kila baada ya masaa mawili utaona threads za chuki zinaanza kama hii
Si mnasema ngumi ni ugaidKwahiyo akina Ibrah class na mandonga wakose pakula.
Either wewe sio muislamu au ni Muisamu mjinga usiojua dini yako kwa kiwango cha umbumbumbu wa hali ya juu! Ila nina shaka sana na la mwanzo katika haya mawili!Tunamtetea Allah
Huu ndio ukwelituanze na wanaoenda gym halafu tufute mchezo wa ngumi maana hatujui wanajiandaa na nini pia.
Huko kwenye boxing na gym,wameajiandaa na niniMnajifunza nini huko misikitini? Mnaanzaje kujifunza ngumi na karate kwenye nyumba mlizo jenga kwa ajili ya ibada na mashule kwa ajili ya masomo? Kwani ni mlizisajili kama kambi za jeshi zile? Au vyuo vya mafunzo ya kupigana? Mnajiandaa na nini nyie ndugu?
Pumbafuvu kama umeona wanajifunza kwa nini usilipoto polisi?Vitengo vyetu vya usalama vifanye kazi kwa weledi msije shtuka wakati mmesha chelewa.