Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Yule mwalimu James aliyempasua kichwa,mwanafunzi wa darasa la kwanza,sixtus,kwa kusema alipiga kelele darasani,unadhani ni jambo jepesi?Tukio la juzi wanafunz kumchoma kisu mwalimu wao na ni shule ya kiislam ile unadhani ni jepesi?
Huyu mwalimu James,aliyemuuwa mtoto wa darasa la kwanza,mwenye miaka saba,anayeitwa Sixtus,anamtetea Yesu?Tunamtetea Allah
Unayo sema kama ni kweli kwanini usiende wazo kilipo kituo cha polisi ukalipoti unaleta ukuda wako hapa?Msikiti wa Tegeta Kibaoni huku nyuma kama unaenda Tegeta nyuki uchunguzwe. Nasema tena uchunguzwe.
Na huyu teacher James,alijuaje pressure point,hadi akamdedisha mwanafunzi wa miaka 7,maskini Sixtus?Kijana alijuaje pressure point hadi akamdedisha ticha...[emoji848][emoji848]
Nenda polisi kalipoti ushenzi na umbea hatutaki hapaMnajifunza nini huko misikitini? Mnaanzaje kujifunza ngumi na karate kwenye nyumba mlizo jenga kwa ajili ya ibada na mashule kwa ajili ya masomo? Kwani ni mlizisajili kama kambi za jeshi zile? Au vyuo vya mafunzo ya kupigana? Mnajiandaa na nini nyie ndugu?
Wenye fitina nchii ni wavaa misalaba ukitaka kuamini mkutano wa jana temeke mvaa msalaba alisema kanisa katoliki tu ndilo lilo leta uhuru nchi hii kama sio fitina nini?Siasa imeingizwa kidini na kibaguzi tanzania. Kuna vuguvugu linatokota kwa kasi naliona. Na watanzania tulivyo na vichwa vyepesi kubebwa kama upepo, huko tunapokwenda ni giza.
1) Maaskofu na mapari wana fitinishwa na masheikh.
2) Masheikh nao wana fitinishwa na mapadri na maaskofu.
3) Waislamu wana fitinishwa na wakristo.
4) Wakristo wana fitinishwa na waislamu.
5) Watanzania bara wana fitinishwa na Wazanzibari.
6) Wazanzibari wana fitinishwa na watanzania bara.
7) Ubaguzi wa rangi na makabila unashika kasi.
8) Vyama vya siasa vinatoa vipeperushi kuwasemea Mapadri na Masheikh.
9) Wananchi ndio wanatumiwa kama kuni kuchochea moto.
10) Wanasiasa, wanaharakati, wanasheria n.k wanachochea moto.
Ni hatari tupu tunapokwenda! Mw. Nyerere aliona mbali kwenye ile speech yake ya "Mimi Mzanzibari/Mimi mtanganyika/Mimi Kabila Fulani".
Juzi mwalimu James,kamuua mtoto wa miaka 7,sixtus,lakini ile habari waislamu,hawakuendeleza,wala kumsema mwalimu kwa dini yake,wala mwanafunzi aliyeuliwa kwa kusemwa alipiga kelele,kwamba muuaji na mpiga kelele darasani kafundishwa na dini yake.Kanisa katoliki ni kama Coca cola..
Wakala wa Vatican hapa Tanzania
Na Vatican ni Italy...
Naona wako mbele Sana kuvuruga kila kitu...Maaskofu na Padri Slaa wako mwembe Yanga kumtukana Samia na kuchochea uasi...
Na hapa JF kila baada ya masaa mawili utaona threads za chuki zinaanza kama hii
Unapomteleaga sadaka za kuteketeza huwa anakua na hamu ya nyama choma!?..hawezi kushika mnyama na kujichomea mwenyewe?..anakutoza fungu la kumi kukufilisi masikini uliyehaha kusaka kwa jasho na damu,yeye hajaui pa kupata hela,Hana kazi!?Mnamteteaje Mungu? Kama mnaamini Mungu ana nguvu zote je Hana nguvu za kujitetea? Aumbe mbingu na nchi ashindwe kujitetea kweli? Mimi naamini Mungu wangu anazo nguvu sana haitaji kutetewa na mimi, ila mimi ndio nahitaji kutetewa na yeye.
Tumia akili basi kufikiri mkuu...Na huyu teacher James,alijuaje pressure point,hadi akamdedisha mwanafunzi wa miaka 7,maskini Sixtus?
Jana mvaa msalaba alisema pale temeke kuwa walianzisha polisi haiwezi kuzuiya ikumbukwe wavaa msalaba ndio waliochocheamauaji ya kimbali rwanda mwaka 94 kisha kuhamia uhamishoni ndio maana kagame ingawa ni mvaa msalaba lakini anawanyoosha makanisa mengine kayafutia usajiriKanisa katoliki ni kama Coca cola..
Wakala wa Vatican hapa Tanzania
Na Vatican ni Italy...
Naona wako mbele Sana kuvuruga kila kitu...Maaskofu na Padri Slaa wako mwembe Yanga kumtukana Samia na kuchochea uasi...
Na hapa JF kila baada ya masaa mawili utaona threads za chuki zinaanza kama hii
Aaahaaaaaatuanze na wanaoenda gym halafu tufute mchezo wa ngumi maana hatujui wanajiandaa na nini pia.
Kifo cha mtoto mgalatia maskini ,Sixtus wa miaka 7,aliyeuliwa na mwalimu James ni sababu hiyo.Kwahiyo unataka kumaanisha kifo cha patron Mudy ni kwasababu hiyo[emoji848]
Na ndio mwalimu James,akamuua mtoto maskini wa miaka 7,Sistux aliyepiga kelele darasani,angemuachia Mungu,amnyamazishe huyu mtoto.Mnamteteaje Mungu? Kama mnaamini Mungu ana nguvu zote je Hana nguvu za kujitetea? Aumbe mbingu na nchi ashindwe kujitetea kweli? Mimi naamini Mungu wangu anazo nguvu sana haitaji kutetewa na mimi, ila mimi ndio nahitaji kutetewa na yeye.
Huu ndio ukweli.Gaidi awe mkristo au muislamu,asiwe na dini,!alivyamia lini kwa kupigana na Karate.Basi wachina ni magaidi wanajifunza karate.Ivi mazoezi ya karate na ugaid vina mahusiano gani nyie maccchoko? Watu wavivu wa mazoezi huwa mna maneno Sana kkenge nyie, acheni chuki za kidini wapuuz nyie, ivi mlisikia lini magaidi wamevamia sehemu kwa kutumia mapigano ya mkono (karate)?
Baada ya mateso,na kuomba kikombe cha mauti kimuepuke,lakini hakikumuepuka.Yaonyesha hakupenda kikombe cha mauti kimkute lakini ikawa hana budi.Alikubali Sababu alikuwa on mission na hakutaka wafuasi wake wamtetee alikiface kifo mwenyewe na siku ya tatu alifufuka.na Bado mpaka Leo tunapowaambia watu wengine tunawaambia pasipo kutumia nguvu.why tumtetee wakati he is all powerful
Huu ndio ukweli.Michezo ya Ngumi na karate itafanya nini? Ama unafikiri mtu anaweza pindua Nchi kwa karate? Punguza kuangalia movie nyingi mkuu.
Ki Afya hii Michezo ni mizuri sana, kuliko kufa na kisukari ama magonjwa ya ajabu ajabu acha watu watoke jasho, kuna Sheria gani ya Nchi inakataza? Na kufanya mazoezi ni Ibada pia.
Mbona Yuda mpaka leo mnamuita msaliti.Kwa nini mumuite msaliti.Kumbe aliyesalitiwa angeweza kujiteteaAlikuwa anaendesha Mungu baba ambae yeye hajawahi kufa ila aliekufa na kufufuka ni Mungu mwana.any way tuishie hapa ninachoshangaa ni Mungu kutetewa na wanadamu that means Hana nguvu
Madaktari kila siku wanahimiza mazoezi,ili kuepusha maradhi,yasiyoambukiza kama sukari,presha nkUkiona mwenzako anajifunza ngumi na wewe anza kujifunza, siyo unakuja hapa unalialia
Wacha uoga wa kipumbavu.Hayo ni mazoezi,madaktari wanahimiza mazoezi,ili kuepuka maradhi ya kutoambukizwa kama presha,sukari nkHilo ni kwaajil ya kujenga Taifa na ni taasis ya serikali!! Hao wengine labda ni kwaajil ya kua extremists au jihadist