Serikali iwe makini wanaofundisha watoto kupigana na kutumia silaha sijui wanajiandaa na nini

Shule nyingi???
unahakika na ulichokiandika
Unajua umeandika kitu veri sirias...
Naomba ututajie idadi ya shule AMBAZO UNAUHAKIKA zinafundisha haya mambo (bila kuzitaja majina)
 
Tumia akili,huyu mwalimu alimpiga kichwani,taarifa ya hospitali,mwanafunzi,!maskini Sixtus(labda angekuja kuwa daktari bingwa),alivuja damu kichwani.Fikiria kipigo cha namna gani huyu mwalimu James,alimpiga mtoto mdogo wa miaka 7.Kama mwalimu angekuwa muislamu mngesema ni gaidi,au mwanafunzi aliyeuliwa angekuwa muislamu,mngemsema vibaya pia.Hapa mwalimu James na maskni mtoto Sixtus,wote ni wakristu.Hakuna muislamu aliyeleta uzi wa kukashifu dini za hawa.Wala kuwasema vibaya.Kuweni na akili wagalatia,nani kawa'l'oga?
 
Ndio ukweli,Padre alishika silaha akawamininia rusasi,waliopo kanisani,na mpaka leo hajaitwa gaidi wala kushtakiwa.
 
Hatutaki utumwa Tanganyika.
.Ndio maana inatakiwa uwe mtu wa mazoezi,ili usifanywe mtumwa.Na mazoezi hayafanyiki barabarani,!kama ilivyotokea mwanza,waliogongwa,wakifanya mazoezi barabarani,wakafariki na wengine kuumia.Na huwenda hawa wakawa wagalatia.Walioumia wapone na wawe wazima.Ameen
 
mbona nyie hamzifungi Sunday School japo mnachowafanyia na kuwafundisha watoto sio mlichojisajilia ?
 
Kujifunza kujihami dhidi ya wahuni sio kosa kisheria

nyie endeleeni kufundishana kulawitiana acheni wenzenu wajifunze kujilinda dhidi ya wahalifu
Zanzibar na ukanda wa Pwani ya Tanzania ndiyo kuna biashara kubwa ya kulawitiana.
 
AMBAO hawana DINI ,NAHISI NDIO WATU WENYE FURAHA SANA DUNIANI
 
Samahani mkuu, sikujua kama upo kwa maslahi ya alah na din ya hak....🤣
 
Maisha bila Yesu hayaendi soma Yohana 3:16.
Haya ndio maisha yenye YESU ?KILA SIKU KUBAGUANA?KUFITINISHANA?WATU KIBAO HUMU NDANI WANATETEA DINI ZAO..WAISLAM WANATETEANA HATA KWA UPUMBAVU..WAKRISTO PIA HIVYOHIVYO...YAANI DINI NDIO KIPAUMBELE KULIKO UKWELI,KULIKO UPENDO BAINA YETU..
UNALIKUTA JITU LINASHUPAZA SHINGO..KUTETEA DINI YAKE HUKU NI LIFISADI,LILEVI LICHAWI..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…