Serikali iwe makini wanaofundisha watoto kupigana na kutumia silaha sijui wanajiandaa na nini

Ona mpumbavu MWINGINE huyu...
 
Mbona Yuda mpaka leo mnamuita msaliti.Kwa nini mumuite msaliti.Kumbe aliyesalitiwa angeweza kujitetea
Tunaita Ivo na hakuna aliyemtetea Yesu kumuua au kumuadhibu Yuda....ila dhamira yake mwenyewe alijiua.na before hajamsaliti Yesu alijua ila alijua ni lazima atumike Yuda
 
Na ndio mwalimu James,akamuua mtoto maskini wa miaka 7,Sistux aliyepiga kelele darasani,angemuachia Mungu,amnyamazishe huyu mtoto

Baada ya mateso,na kuomba kikombe cha mauti kimuepuke,lakini hakikumuepuka.Yaonyesha hakupenda kikombe cha mauti kimkute lakini ikawa hana budi.
Mathew 26:39-46
Ni kweli alijua Yale mateso yatakuwa makali na Kwa Sababu alikuwa katika mwili aliongea Ivo but hujamalizia alisema mapenzi ya Mungu yatimie.but all in all hakuomba wamtetee wanadamu
 
KIla mmoja apige tizz na ikiwezekana chuma! acha wajiandae tuendako si kwema
 
Naunga mkono hoja haraka sana,hii ni hatari kuliko hata ushoga.
 
Mazoezi ya kuvita na visu? Hapana unajiandaa kumchinja nani? Ukristo sio dini ya kupenda kupigana bali ni dini inayo sisitiza upendo kwa watu wote
Upendo wa Mwalimu James,kumuua mtoto wa miaka 7,maskini Sixtus,wa darasa la kwanza.
 
Tunaita Ivo na hakuna aliyemtetea Yesu kumuua au kumuadhibu Yuda....ila dhamira yake mwenyewe alijiua.na before hajamsaliti Yesu alijua ila alijua ni lazima atumike Yuda
Kwa nini Yuda anaitwa msaliti,badala ya kupewa hongera,na kusifiwa.Na hakuna mkristo anayemwitwa mwanawe Yuda Eskariote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…