Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
😍Taarifa iliyotolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali, ndugu Gerson Msigwa inasema kuwa serikali kuadhimisha mwaka mmoja wa serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan toka alivyoingia madarakani 19/03/2021 kufuatia kifo cha Rais John Magufuli.
Katika maadhimisho hayo kutakuwa na shughuli mbalimbali zitakazofanywa na Mawaziri na watendaji wakuu wa serikali ikiwemo pia kutembelea miradi ya maendeleo.
View attachment 2134444
Kusifu na kuabudu kama kawa
Tumewashiwa taa za bendera ya TZ huko sijui tumebadilishana nao nini? Au wanataka nini kwetu huku in exchange?Kwanza Dubai katuletea nini huyu mama yetu.
Mkuu hujaskia kama kuna Trn 17... point kadhaa toka Dubai?Kwanza Dubai katuletea nini huyu mama yetu.
Mnaogopa demokrasia na uhuru wa habari, huyo mama yenu ni mediocrity hastahili hizo ni sofa za kijinga tuTaarifa iliyotolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali, ndugu Gerson Msigwa inasema kuwa serikali kuadhimisha mwaka mmoja wa serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan toka alivyoingia madarakani 19/03/2021 kufuatia kifo cha Rais John Magufuli.
Katika maadhimisho hayo kutakuwa na shughuli mbalimbali zitakazofanywa na Mawaziri na watendaji wakuu wa serikali ikiwemo pia kutembelea miradi ya maendeleo.
View attachment 2134444