Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Taarifa iliyotolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali, ndugu Gerson Msigwa inasema kuwa serikali kuadhimisha mwaka mmoja wa serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan toka alivyoingia madarakani 19/03/2021 kufuatia kifo cha Rais John Magufuli.
Katika maadhimisho hayo kutakuwa na shughuli mbalimbali zitakazofanywa na Mawaziri na watendaji wakuu wa serikali ikiwemo pia kutembelea miradi ya maendeleo.
Katika maadhimisho hayo kutakuwa na shughuli mbalimbali zitakazofanywa na Mawaziri na watendaji wakuu wa serikali ikiwemo pia kutembelea miradi ya maendeleo.