saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
hiyo ni ibara ya huko kwenu, kima weKifungu 4(2) kwamba Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari inatakiwa iende Dubai kuomba ridhaa, Dubai wakikataa kutoa idhini ndio basi. Yaani nchi huru ikaombe ridhaa Dubai? Tena kwa Mali zake? Lingine, kama mkataba huu ni mzuri, kwa Nini bandari za Zanzibar zisiwemo? Kwani wao hawataki kunufaika?
Kweli zezeta hukumu haihusu kilichomo kwenye IGA ila procedure, umemjibu vizuriKwani mahakama ndio iliweka saini kwenye ule mkataba wa hovyo?
Haiwezekani ujinga ufanye wewe, halafu marekebisho ukafanyiwe na mwingine, kumbe wewe ni zezeta?
Say Yes!.
Umesoma hukumu vizuri au umekurupuka tu kutoka usingizini nyie Mapakawe bwege hakuna mtu wa kukuelewesha hapa duniani. Mahakama ndio inatafsiri sheria kujua km jambo fulani liko sawa mbele ya sheria au la.
Brother sikupati hewani na pm umeifunga. Please contact me ASAP
Hili swala naona kila idara I nataka mgao by force by fire, hawa wameshiba, mahakama wameshiba, bunge na waandishi wa habari halikadhalika na TLS na ZLS nao wamejaza vitumbo, lahaula, kweli DP ni cha woteeee😁😁🙏
Umedandia mada.kama hujui walienda kwa sababu gani basi mimi sikwambii wewe baki na low iq yako
na ndicho kilichotokeaWatu walikuwa wanaenda kuiumbua mahakama zetu [emoji1]
Ova
Kama haiko wazi mmejuaje ?Sii kweli, kuna mikataba mibovu mara 100 zaidi ya huu ila hatuijui kwasababu haiko wazi!
Watu hao watakuwa ni wajinga, mkataba umewekwa humu na saini za waliosaini zipo!, umeona saini ya Rais Samia?.
Duh...!. Kumbe na wewe uko kwenye kundi hili la hao wajinga?!. Umeona sahihi ya Rais Samia kwenye hiyo IGA?.
P
Imeenda wapi, imeuzwa sh ngapi?Nyie potezeni muda wakati Bandari ishaondoka
Kwani kusema haujaiba inatodha kuaminika kuwa haujaibaKashajibu kwamba hawezi kuuza nchi wakati akiwahutubia TLS...
Unategemea jibu jingine tofauti na hilo?
Kuna vitu vingi tuu watu humu wanavijua lakini hawavisemi kwa kufuata kanuni hii Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa?Kama haiko wazi mmejuaje ?
Weka hiyo clip yenye hayo maneno na isipungue 2 minWewe ndiyo utakuwa na shida maana Padri Slaa kasema wazi dawa ni kuipindua serikali unata vyombo vya usalama vifanyaje?
AMANI ni zao la HAQ HAUI!Hawa hawana maarifa.Wanaotaka kuvuruga amani,wasichekewe.
Wewe mkenya, kwenu kaja mama Samia kutuliza mambo huko, usisahau hilo.AMANI ni zao la HAQ HAUI! View attachment 2718225