Serikali mnataka tufanye kazi gani?

Mkuu mi taka sijui ulinzi talipa its normal hi ya leo ni kama walipanga kunimaliza tuu mpaka sasa sijui naanzia wapi maana hata Kodi sitolipa hapa kabisa aiseeee....

Watu wana shindwa deal na big fish huko juu wanakuja kutusaula sisi watto wa mama ntilie..
 
Kama kijana mtafutaji.

Jitahidi sana kujizuia kulalamika, Just FIGHT. Hakuna anae taka wewe upate, hata hiyo serikali inatamani uendelee kua mnyonge ili ikutawale.

Take life as a game, wakila kete hii tafuta nyingine sukuma ili ukale na za kwao.

Ila malalamiko yoyote yale HAYATAKUFIKISHA POPOTE NA HAKUNA ATAE KUONEA HURUMA
 
Mkuu senerio yangu mimi bado ujaijua ila ni issue moja ya uonevu na njama tuu na wanajua hapa wananikamua tuu...
 
Nimechukua some point ova.
 
Nalalamika nabado na fight..
Unajua why nalalamika...

Kuna watu hapa lazima wataskia hii kitu wanaweza nitafutia way nzuri ya kurudisha maokoto yangu mkuu hii ni personal. Maaana waliokuja kuna wengine tunaishi nao sasa kuna kauli moja wansema... Kichwa kinawaza pesaau kifo...

Anything happen its oky now sina kitu cha kupotza
 
Hayo maelezo mahususi yanawahusu chawa kwa ustawi wao na bosi zao tu ila sii kwa mlalahoi mlala njaa,mnyonge adanganywae na chawa na kukaushwa damu na chawa hadi na bosi wake chawa.
achana nadhana zisizo na athari yoyote kwenye maisha yako gentleman,

utachelewa kuyafikia malengo yako sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…