Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi


Lugola nae ameambiwa "akimaliza kuhesabu hizo siku amtaarifu" Kigogo.
 
Atume ujumbe kwenye Twitter kuwa ajisalimishe polisi, atajipeleka
 
Hapo kwa mstaafu huwa nilishawaza hivyo

Na kwa Kukazia zaidi huyo Mstaafu ni lazima tu atakuwa anatokea Kikosi Maalum cha Ulinzi wa Rais ( PSU ) au atakuwa alikuwa ni Mmoja wa Wakurugenzi wa Idara zao ( siyo zile za juu kabisa ) au pia alishawahi kuwa Mmoja wa ' Principle ' wa Vyuo vyao vilivyopo maeneo Makuu matatu nchini Tanzania ( Bara na Visiwani )
 
Kigogo 2014 hatari huyu jamaa,nikiwa kama mbobezi katika maswala ya investigation,detects 1,anapataje siri za ndani?,detects 2,yupo ndani ya nchi au nje ya nchi?, detects 3,katika waheshimiwa ni yupi ambaye hutoa nasaha zinazoweza kuunganisha dots,aidha zaidi kabla ya tukio au kabla ndg kigogo ajaspreadouts infos?,detects 4, son of kigogo ndiye anaendesha jukwaa kwa sasa je ndiye yeye mwenyewe au ni katika kubadilisha maskani mapya yenye usalama zaidi kwake maana kwa detects ndogo anaonekana kama adress zake zaidi zinasoma kenya./ hii inaonyesha yupo infos feeder anayesambaza msg kwake.shida ni endapo kama feeders atakuwa anatumia line ya marehemu...!
 
Reactions: 30P
Hawa mataga si walisema hawafatilii mambo ya mitandaoni?kama vipi jiwe ashushe malaika wake wafungie mitandao.
 
Uhakika wa kushinda vita sharti umjue adui yako, serikali mpaka saizi haijafanikisha hilo na mpaka sasa kigogo yupo kwenye kundi la wasiojulikana.

Possibility ya kuwin hapo ipo kwa kigogo kwasababu anaelewa madhaifu ya adui yake pamoja na mipango yote wansyopanga dhidi yake. Na usikute katika hiyo mipango naye wanamshirikisha bila wao kujua, hiyo ni kwasababu ya kutojua yupi adui yako sa kivipi utegemee ushindi kwa situation hiyo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…