Serikali: Walimu sasa kufanya mtihani wa kupima uwezo kabla ya kuajiriwa

Huo mtihani ungeanza na Hawa wanaokuja kuomba kura Kila baada ya miaka mitano
Sisi ndo tunawapigia kura kila after five years. Maana yake sisi wapiga kura ndo wenye shida kichwani siyo wanasiasa. Swala la kuiba kura, ni Jambo lingine
 
Walimu hawajishughulishi na chochote yeye atapeleka vyeti vyake vikaguliwe apangiwe kituo huko mfaranyaki basi.
 
Walimu hawajishughulishi na chochote yeye atapeleka vyeti vyake vikaguliwe apangiwe kituo huko mfaranyaki basi.
Nimeshangaa hili, wengi kwenye comments hawaelewi hata PSRS ni nini. Hata kama ajira yako haipitii PSRS, lakini kuijua tu na kufatilia ni jambo ambalo jepesi Sana.

Humu mada zipo nyingi za watu toka miaka hiyo wanaenda kufanya mitihani chuo cha Mwalimu nyerere na pale Duce ili tu wafaulu waingie serikalini. Ina maana hata hizo nyuzi hawasomi?

Kuna haja ya kufanya zaidi ya Mtihani kwa walimu. Weupe mno kichwani
 
Wakilie kitimoto km vijana wetu wanavyokalia huko Duce, Udom,Ud na sehemu zingine, intavyuu kwa maticha ni jambo la mbolea na litaleta matokeo chanya.
 
Kuna walimu ni chenga sana
 
Wengi husomea Ualimu kutokana na kupata ufaulu mdogo

Wanasomea ili waajiriwe

Wanasomea sababu hupata mkopo
 
Ikiwezekana wafanye mitihani ya theory na practical maana wamezidi
 
Huenda una tatizo lingine la ufahamu. Mtihani ni sehemu ya usaili

Sekretarieti ya ajira hutumia mitihani kuchuja mwanzoni, wanaobaki ndio wanaenda kwenye mahojiano ya ana kwa ana(oral interview)
Go back to school!
Kusoma umeshindwa hata kuibia guuguu umeshindwa!
Vivu wewe
 
Kenge wewe. Si kila kiandikwacho ni mtihani.
Mtihani una kanuni zake kama ilivyo kwa interview.
Interview inafuata Bloom's taxonomy ktk kutunga maswali?
Kwanza nakuinea Bloom's taxonomy unaijua wewe?
Achana na walimu wetu
 
Kwa nini asianze na alionao, ili aweze kuwanoa. Utitiri wa ufaulu dhaifu unaliangamiza taifa.
 
Athari za UPE ( Ualimu Pasipo Elimu) tunazipata mpaka leo.

Athari za Failures wengi kwenda kusomea ualimu tunazipata hadi leo.

Tunaozani ni wasomi wengi jinsi maamuzi yao yanavyoshangaza wengi ni kutokana Na aina ya walimu walowafundisha. [emoji848][emoji848]
 
Binafsi simuelewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…