The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Hakuna kitu kama hicho,kule Kigamboni unalipia mpaka sasa kaharibiwa nani?Mama akija kushtuka mwigulu anamuharibia itakua tayari too late
Toll road ni jambo la kawaida tuu na ziko Nchi nyingi hapa Afrika kuanzia Kenya, Senegal, Africa Kusini nk