Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Mpya jamaa anataka tulipie hadi king'amuzi,jamaa wanakomesha!Kazi ipo kuna wakati itafika tutalipia hata hii hewa ya bure ya Mwenyezi Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpya jamaa anataka tulipie hadi king'amuzi,jamaa wanakomesha!Kazi ipo kuna wakati itafika tutalipia hata hii hewa ya bure ya Mwenyezi Mungu
Madini na gesi hawaoni Kama ni source ya mapato.Mpya jamaa anataka tulipie hadi king'amuzi,jamaa wanakomesha!
!watajengaHii ya Kibaha-Mlandizi-Morogoro express way ni ipi? Au ndio watajenga? [emoji2] [emoji2]
Mkuu kuwaga mwelewa na wewe! Maneno tunayoongeaga kwenye Mchezo wa Bao yana maana sana kuliko Maneno ya Mwigulu!Blah blah blah.
Kama ujenzi wa barabara ya Moro kutoka Kimara mpaka Kibaha 19 km imechukua miaka mitano na bado haijaisha.
Reli ya SGR DAR MORO less than 200 km ulianza 2017 November mpaka Leo bado treni hazijaanza..
Unategemea Kibaha Chz Moro 158 km itaisha awamu hii ya tano?
Mwigulu ameongea maneno tu Kama watu wanavyoongea wakicheza bao.
Waswahili wanasema hayo ni maneno hata kwenye khanga yapo.
Eti 'et al. .'Kuhusu Tanzanite Huyo waziri wenu atakachofanikiwa ni kurudisha foleni barabara ya Ali Hassan Mwinyi lakini hela hapati....mark my words...
Hilo daraja litakuwa la kupigia picha na kutumiwa na watu wa jogging wakina Maulid Kitenge et al...
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Serikali inatafuta Kodi wewe unasema ghafla..ghafla ndio maana yake nini?But huo mpango unakuaje uje ghafla,unajua nyerere bridge tulifahamu ni la kulipia toka kitu kipo under construction,iweje Tanzanite na kibaha highway ghafla tu mtu kakaa kwake na mkewe aamue ziwe za kulipia,tupunguze kupinga kila kitu na tupunguze kuunga mkono kila kitu hata kama mmepuyanga,wewe kila siku tunawacheka wakenya kule kulipia express way kwenye ule uzi,huku unakuja kuunga mkono!wewe jamaa .....
Na wewe kuwa Chawa upakwe oil kama unatamaniSifa ya machawa wanapakwa oil
Upuuzi tuu, pesa yenyewe ni mkopo halafu unajifutua kama kifutu... Kwanza kwenye hizo Trilioni 41 za bajeti hivi unajua kwamba ni around 6 Trilioni tuu inayoenda moja kwa moja kutatua kero za jamii??Hilo halina shida na wala sio jambo geni kwa sababu hata daraja Nyerere kigamboni magari yanayo pita pale yanalipia.
Ila kwa barabara ya Dar~kibaha~mlandizi~chalinze, ikijengwa barabara yenye hadhi pia hakuna shida watu watalipia tu, Serikali itakusanya mapato ya kutosha.
Nchi haiwezi kujengwa kwa maneno bila kukusanya kodi/tozo,
fedha zetu na za wawekezaji ndio zitakazo lijenga Taifa letu.
tusidanganyike ni misaada, tusipende vya buree tutalemaaa .
Hata Mimi nilihitaji kujua express way ya kibaha mlandizi morogoro, na ya IGAWA - SONGWE TUNDUMA, Cz nijuavyo kuanzia IGAWA kwenda MBEYA TUNDUMA ni mashimo mtindo mmojaHii ya Kibaha-Mlandizi-Morogoro express way ni ipi? Au ndio watajenga? [emoji2] [emoji2]
Hizo maliasili zote si wamezigawa kwa ndugu zao Waarabu na Mabeberu kutoka Ulaya, China na Marekani iki tu kupata 10%Nchi ya ajabu sana hiii, tuna mbuga, madini, gas, bandari lakn sasa mwananchi anakamuliwa
Na wewe kuwa Chawa upakwe oil kama unatamani
Pesa hiyo ndio umkabe raia kila sehemu,miamala tozo,tena sasa wameanza kukata hadi kwenye malipo ya luku na dawasa,yan kila sehemu umminye raia na bado life mbovu,nenda nchi zilizoendelea wananchi wanalipa kodi sio tozo za ajabu ajabu na bado wanapata elimu bora,afya bora kwenye taasisi za serikali hamna rushwa,mnafosi kukata raia matozo then hapo hapo akiumwa panadol tu inabidi anunueSerikali inatafuta Kodi wewe unasema ghafla..ghafla ndio maana yake nini?
Mimi sijawahi sema expressway kwenye toll road ni mbaya maana ni options.
Yan mwigulu yeye njia yake ya kupata pesa ni kuwabana raia tu,raia huyo anaibiwa kwenye vifurushi vya simu n.k lakini hawana mpango wowote wa kushughulikia hiyo issue,wanakera!Madini na gesi hawaoni Kama ni source ya mapato.
Mimi nilisemaga asilimia 90 ya boda boda hawana leseni. Wakibanwa wachukue leseni @ 70,000 itakua zaidi ya bajeti ya wizara moja.
...Na Mimi najiuliza! Labda Wanajenga Mpya!!Hii ya Kibaha-Mlandizi-Morogoro express way ni ipi? Au ndio watajenga? [emoji2] [emoji2]