Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka akabwe nani? Kodi zingine anakabwa nani? Kulipa Kodi sio optimal ,lipa Kodi dai huduma...Pesa hiyo ndio umkabe raia kila sehemu,miamala tozo,tena sasa wameanza kukata hadi kwenye malipo ya luku na dawasa,yan kila sehemu umminye raia na bado life mbovu,nenda nchi zilizoendelea wananchi wanalipa kodi sio tozo za ajabu ajabu na bado wanapata elimu bora,afya bora kwenye taasisi za serikali hamna rushwa,mnafosi kukata raia matozo then hapo hapo akiumwa panadol tu inabidi anunue
Kama unapambana ndio vizuri huko huko kwenye kipato chako lipa kodiMimi mwanaume napambana kutafuta pesa kihalali sitegemei miteremko. Endelea kupelekewa moto bila shaka humu ndani washajua wewe ni gasho
Duh!... Umeamua kutabiri kabisaKuhusu Tanzanite Huyo waziri wenu atakachofanikiwa ni kurudisha foleni barabara ya Ali Hassan Mwinyi lakini hela hapati....mark my words...
Hilo daraja litakuwa la kupigia picha na kutumiwa na watu wa jogging wakina Maulid Kitenge et al...
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Hakuna tochi wala traffic?Hii barabara ya express way huwa hakuna vizuizi ni kujiachia tu, nafikiri mtu halazimishwi kulioia kwani ya bure itaendelea kuwepo
kwanza hakuna chama cha kukiondoa ccm madarakani labda ifikapo 2090!! hilo pigia mstari kichwani.Watanzania wenzangu, ifikie wakati tuungane na kukiondoa hiki kirusi kinachoitwa ccm! Haiwezekani fedha zilizotumika kujengea hayo madaraja, zimetokana na kodi zetu! Au mikopo ambayo tutatakiwa kuilipa na vizazi vyetu!
Halafu leo tunatakiwa kulipia! 2025 tuwaondoe madarakani hawa mafisadi. Kodi zenyewe wakipata kwa sehemu kubwa, wanazitumia kwa manufaa yao tu. Haileti mantiki hatavkidogo! Kwa sababu hayo magari yanayopita kwenye hayo madaraja, tayari yana msululu wa kodi za kila aina!
Bahati mbaya hii serikali ya sasa haina ubunifu wowote ule! Isipokuwa ni kukamua tu wananchi kupitia kodi na mitozo inayo jirudia!
Wakere Wananchi kisha jitokeze Kuwahurumia ili uzidi kupata Sifa, Wakupende na mwaka 2025 iwe rahisi Kwako Kukumbukwa na Kuchaguliwa kuongoza tena Watanzania.Hii itasimamishwa mara moja na nyote mutashangilia kwa nguvu🤣
Za Jirani au za Ulaya, America na Asia?Nchi za wenzetu haya mambo ni ya kawaida sana...
Ulaya na AmerikaZa Jirani au za Ulaya, America na Asia?
Ushamba tu. Sijui kisa ni lizuri kwa kibongobongo?Kuhusu Tanzanite Huyo waziri wenu atakachofanikiwa ni kurudisha foleni barabara ya Ali Hassan Mwinyi lakini hela hapati....mark my words...
Hilo daraja litakuwa la kupigia picha na kutumiwa na watu wa jogging wakina Maulid Kitenge et al...
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app