Acha dharauN mpumbavu pekee anayeamini nchi hii ina "RAHISI"
Unaenda nje kutafuta pesa wakat unaowaongoza wanakufa njaa sasa hizo pesa zinaenda wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha dharauN mpumbavu pekee anayeamini nchi hii ina "RAHISI"
Unaenda nje kutafuta pesa wakat unaowaongoza wanakufa njaa sasa hizo pesa zinaenda wapi
Watanzania ni walalamishi sana , Dkt Magufuli alizuia na kufunga mipaka mlilalamika na kumlaumu. Tuzoee tu soko huriaSerikali ya CCM chini ya Rais Samia Imeamua kwa makusudi kutuacha watanzania na kuangali maslai yao
Hali ni mbaya sana mtaani vyakula bei hazishikiki
Vyakula vinavushwa mipakani na kwenda nje ya nchi sisi hatupati
imefika hatua sasaivi mabwenyenye wananunua mzigo bado upo shambani wanavuna na kupeleka nje ya nchi, Kilimanjaro kuna njaa lakini mahindi yanapitia hapohapo kwenda kenya
Sasaivi unga wa sembe kilo moja 2000 hii haijawai kutokea kabisa
mchele 2400 kilo
Serikali ipo kimya tu wao wanahela za kula
CCM imeamua kutusaliti, sasaivi sokoni hatuoni mahindi yanatoka kwenye stock yanawekwa kwenye maroli yanavuka boda
tukisema hivi wanaona kama tunatania maana wao hali ya mtaani hawaijui
Sawa bwana
Hao wakulima ndio huwa wakwanza kulia njaa mambo yanapobumbulukaKumbuka kwamba kama wewe unavyofanya biasha upate faida, kilimo nacho ni biashara. Elewa kwamba sasa ni fursa ya mkulima kupata faida. Zingatia mkulima siyo punda wa taifa. Kama unaona vipi acha kupiga soga hapo mjini nenda kajilimie chakula chako.
Acha kuongopa dogo! Hebu weka takwimu hapaMay 2020 unga wa mahindi kilo moja ilikuwa 2500. Unasemaje haijawahi kutokea?
Pale iringa yale mavihenge mawili yamechukuliwa na mkenya amejaza mahindi mle na anakobokoa kisha anapaki unga kwenda kuuza kwao!Biashara ya mazao ni kitu cha aina yake waziri bashe kaa ofisini lakini nauhakika haujui lolote huku field nini kinaendelea maana hata uhakiki wa wakulima wenu hamjafanya ndio maana wageni hununua mashamba kama wazawa na kuanza kuchapa jembe kama kawaida lazima muwe na mipango ya kueleweka
Nani asiekujua chawa?Upumbavu wenu wasimulieni wake zenu..
Ukitaka bei rahisi kalime,au Lima harafu waambie serikali wafunge mipaka..
Ila kwetu awamu ya 6,kilimo ni biashara kama hardware and the likes..
Awamu ya 6 sio wapumbavu kama awamu ya 5,tumeingiza bil.954 hatuwezi acha zipotee tunataka zilete tija kwa kilimo kuchangia 10% ya Pato la Taifa..
Ushenzi wenu mtafanya mkijapata madaraka na kuwaongoza wajinga
Ufumbuzi wa hilo ni kufunga mipaka na/au kuzuia wanaouza nje?Wanaouza mazao wakati huu wala mkulima hahusiki kabisa tena ni mapesa toka nje yaliyoingia kununua mazao na kuweka stock mazao kwa mfano kijiji cha gwarama kule kakonko. Wanyarwanda wamejenga magodown kupitia wafanyabiashara wa pale na kila mwaka huweka tani nyingi mno za mazao wakati kama huu husafirisha, haya pale nyakanazi kuna tajiri wa burundi anaitwa kamangaza ana magodown pale kupitia wazawa na hununua mahindi mengi sana na mtama, na huanza kusafirisha kwenye uadimu hali kadhalika wafanyabiashara wakenya huingiza pesa nyingi sana kule chunya na songea nakuweka store tani nyingi sana za mazao, kwahiyo tunaposema mfunge mipaka tunamaana mnufaika kwa sasa sio mkulima kama mnavojidanganya, mavuno yangekua mengi ni sawa lakini mnakaza vichwa huko serikalini wakati hamna hata taarifa za kutosha
Serikali ya CCM chini ya Rais Samia Imeamua kwa makusudi kutuacha watanzania na kuangali maslai yao
Hali ni mbaya sana mtaani vyakula bei hazishikiki
Vyakula vinavushwa mipakani na kwenda nje ya nchi sisi hatupati
imefika hatua sasaivi mabwenyenye wananunua mzigo bado upo shambani wanavuna na kupeleka nje ya nchi, Kilimanjaro kuna njaa lakini mahindi yanapitia hapohapo kwenda kenya
Sasaivi unga wa sembe kilo moja 2000 hii haijawai kutokea kabisa
mchele 2400 kilo
Serikali ipo kimya tu wao wanahela za kula
CCM imeamua kutusaliti, sasaivi sokoni hatuoni mahindi yanatoka kwenye stock yanawekwa kwenye maroli yanavuka boda
tukisema hivi wanaona kama tunatania maana wao hali ya mtaani hawaijui
Sawa bwana
Usipige kelele sana wasije wakastuka na kufanya mipozo yao ya kuigiza.Serikali ya CCM chini ya Rais Samia Imeamua kwa makusudi kutuacha watanzania na kuangali maslai yao
Hali ni mbaya sana mtaani vyakula bei hazishikiki
Vyakula vinavushwa mipakani na kwenda nje ya nchi sisi hatupati
imefika hatua sasaivi mabwenyenye wananunua mzigo bado upo shambani wanavuna na kupeleka nje ya nchi, Kilimanjaro kuna njaa lakini mahindi yanapitia hapohapo kwenda kenya
Sasaivi unga wa sembe kilo moja 2000 hii haijawai kutokea kabisa
mchele 2400 kilo
Serikali ipo kimya tu wao wanahela za kula
CCM imeamua kutusaliti, sasaivi sokoni hatuoni mahindi yanatoka kwenye stock yanawekwa kwenye maroli yanavuka boda
tukisema hivi wanaona kama tunatania maana wao hali ya mtaani hawaijui
Sawa bwana
Ufumbuzi ni kukataza wakulima kuuza mazao yao kwa anayewapa bei ya juu zaidi? Au ni kuwakataza wasiuze kabisa mazao yao? Ifike mahali wakulima wawe treated kama watu wanaoweza kujiamulia wenyewe. Nani kakuambia wanaouza hawajajiwekea akiba? Kama itabidi wapate njaa ndiyo wajifunze basi na iwe hivyo.Pale iringa yale mavihenge mawili yamechukuliwa na mkenya amejaza mahindi mle na anakobokoa kisha anapaki unga kwenda kuuza kwao!
Wanaofikri mkulima ndio anafaidika hawana akili! Mkulima hakuna chochote anachofaidika. Wanaofaidika ni walanguzi wanaoenda kulangua mahindi kwa wakulima kisha wao huuza kwa profit kubwa kubwa!
Hata mahindi yakiuzwa debe kwa laki 1 hakuna chochote mkulima wa jembe la mkono hapa tz atafaidi!
Njaa ikianza wakwanza kulalamika watakuwa ni hao wakulima.
Hapana, si hivyo.Mkuu nenda na ww ukalime ili upate chakula. Zile enzi za kumbana mkulima kuuza mazao yake kwa bei ya faida umepita. Ww kalime chakula chako usisafirishe nje ili uuze hapa hapa kwa bei ndogo ili kuzuia njaa.
Tulishauri mwaka huu mavuno ni kidogo wafunge mipaka kwani hata soko la ndani tu linatosha wakashupaza vichwa vyao, mavuno yakiwa mengi watu wauze nje ni sawa lakini mwaka wenye mavuno kidogo nao wauze nje kipindi chote hapana, Burundi kuuza mahindi, maharage, mtama na muhogo ni uhujumu uchumi kwa sasa, uganda kazuia hakuna kuuza chochote nje isipokua ni ruhusa kununua, na kuingiza ndani, Rwanda kazuia kabisa hakuna kutoa hata kiazi, wizara ya kilimo ipo ipo tu imekalia siasa, hakuna usalama kama nchi haina chakula cha kutosha na mkumbuke dunia nzima mavuno kwa mwaka ulioisha yalikua hafifu sana, viongozi hawachukui maamuzi simply sababu wao na familia zao njaa haitowakumba.
Watu wasahaulifu sana...ila mkuu wakati wa Magufuli alikua anachukua hatua za haraka sana.May 2020 unga wa mahindi kilo moja ilikuwa 2500. Unasemaje haijawahi kutokea?
Hapana, si hivyo.
Nadhani hukuelewa alichomaanisha yeye. Hajakataa wakulima kuuza kwa faida kwa yeyote yule iwe ndani au nje ya nchi. Lakini hili halifanyiki holela tu. Hakuna serikali popote duniani inayoruhusu namna hiyo ya ufanya biashara.
Kama wakulima wenyewe wanaouza mazao yote, hata akiba ya chakula chao, njaa ikiingia nchini, hilo siyo janga?
Hapo 'ujamaa' umeingiaje kama siyo kupungukiwa akili kichwani.Sera mbovu za Ujamaa zimeharibu uchumi.
Kwa kuzuia mazao kuuzwa nje kwa bei ya faida? Kwann asingenunua kwa bei ya soko na kugawa kwa wenye njaa? HAKUWA SAWA. Imagine watu wote wasilime walalamike serikali izuie mazao kutoka.Watu wasahaulifu sana...ila mkuu wakati wa Magufuli alikua anachukua hatua za haraka sana.