Serikali ya CCM mmeamua kutusaliti wananchi, Tunaenda kukumbwa na njaa kubwa hali ni mbaya

Serikali ya CCM mmeamua kutusaliti wananchi, Tunaenda kukumbwa na njaa kubwa hali ni mbaya

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
Serikali ya CCM chini ya Rais Samia Imeamua kwa makusudi kutuacha watanzania na kuangali maslai yao

Hali ni mbaya sana mtaani vyakula bei hazishikiki

Vyakula vinavushwa mipakani na kwenda nje ya nchi sisi hatupati

imefika hatua sasaivi mabwenyenye wananunua mzigo bado upo shambani wanavuna na kupeleka nje ya nchi, Kilimanjaro kuna njaa lakini mahindi yanapitia hapohapo kwenda kenya

Sasaivi unga wa sembe kilo moja 2000 hii haijawai kutokea kabisa

mchele 2400 kilo

Serikali ipo kimya tu wao wanahela za kula

CCM imeamua kutusaliti, sasaivi sokoni hatuoni mahindi yanatoka kwenye stock yanawekwa kwenye maroli yanavuka boda

tukisema hivi wanaona kama tunatania maana wao hali ya mtaani hawaijui

Sawa bwana
 
Kumbuka kwamba kama wewe unavyofanya biasha upate faida, kilimo nacho ni biashara. Elewa kwamba sasa ni fursa ya mkulima kupata faida. Zingatia mkulima siyo punda wa taifa. Kama unaona vipi acha kupiga soga hapo mjini nenda kajilimie chakula chako.
Tatizo wakulima wengi wa hali ya chini waliuza mazao yao kwa bei ya chini kwa walanguzi/ wafanyabiashara kipindi cha mwanzo cha mavuno bei ikiwa chini, kwahiyo hawakupata faida kubwa kama inavyofikiriwa, katika hali ya kawaida mkulima wa mahindi Mkuranga ndani ndani au Sengerema huko anawezaje kupeleka mahindi Kenya?! Sasa mavuno yalikua hafifu na waliuza kwa bei nafuu, halafu nataka nikukumbushe tu kwamba katika kadhia hii atakaeumia ni huyo huyo mkulima wa kawaida maana kashauza mazao yote then vyakula vinapanda bei,by November/December hatokua na hela ya kununua hiyo kilo ya unga au mchele alioulima mwenyewe, wafanyakazi na wafanyabiashara watanunua kwa bei yoyote familia zitapona
 
Lambeni tu mkuu maana kuna jitu linalaza mimacho utafikri limewekewamo! Ji zamu yenu hii. Nasikia kuna trillion 1.2 mmelamba tena!
Unajua kusoma? Soma vizuri hapa 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220716-114415.png
    Screenshot_20220716-114415.png
    105.8 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220716-114542.png
    Screenshot_20220716-114542.png
    98.4 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220716-114619.png
    Screenshot_20220716-114619.png
    79.8 KB · Views: 4
Serikali ya CCM chini ya Rais Samia Imeamua kwa makusudi kutuacha watanzania na kuangali maslai yao

Hali ni mbaya sana mtaani vyakula bei hazishikiki

Vyakula vinavushwa mipakani na kwenda nje ya nchi sisi hatupati

imefika hatua sasaivi mabwenyenye wananunua mzigo bado upo shambani wanavuna na kupeleka nje ya nchi, Kilimanjaro kuna njaa lakini mahindi yanapitia hapohapo kwenda kenya

Sasaivi unga wa sembe kilo moja 2000 hii haijawai kutokea kabisa

mchele 2400 kilo

Serikali ipo kimya tu wao wanahela za kula

CCM imeamua kutusaliti, sasaivi sokoni hatuoni mahindi yanatoka kwenye stock yanawekwa kwenye maroli yanavuka boda

tukisema hivi wanaona kama tunatania maana wao hali ya mtaani hawaijui

Sawa bwana

Unakosea sana. Kwa nini unataka mkulima awe mtumwa wako ??? % kubwa ya wakulima hawajawahi kunufaika na Kilimo miaka nenda/rudi sasa Mungu amewaona wamepata nafuu ya bei wewe unalalama. Basi na wewe kalime ....
 
Habari ndio hiyo !! Hakuna manamba wao hapa !! Waje tuwape mashamba ya kulima kwa masharti yetu !!
 
Yeye kaongeza mshahara kwa watumishi,washauri wake hawamshauri kuhusu wananchi wa kawaida.Time will tell,huyu mama ni hatari.
Tunayoyapitia sisi,yeye hawezi kujua,maana anapita na ving'ora na muda mwingi yuko nje ya nchi kwa bajeti ya serikali.
 
Tatizo wakulima wengi wa hali ya chini waliuza mazao yao kwa bei ya chini kwa walanguzi/ wafanyabiashara kipindi cha mwanzo cha mavuno bei ikiwa chini, kwahiyo hawakupata faida kubwa kama inavyofikiriwa, katika hali ya kawaida mkulima wa mahindi Mkuranga ndani ndani au Sengerema huko anawezaje kupeleka mahindi Kenya?! Sasa mavuno yalikua hafifu na waliuza kwa bei nafuu, halafu nataka nikukumbushe tu kwamba katika kadhia hii atakaeumia ni huyo huyo mkulima wa kawaida maana kashauza mazao yote then vyakula vinapanda bei,by November/December hatokua na hela ya kununua hiyo kilo ya unga au mchele alioulima mwenyewe, wafanyakazi na wafanyabiashara watanunua kwa bei yoyote familia zitapona

Kama mkulima ameuza chakula chote kwa bei ndogo hilo ni tatizo lake. Sisi tusichotaka ni yeye kuzuiwa kuuza atakapo kwa faida au bei yoyote aitakayo.
 
Wacheni mama aupige mwingi, chuki zenu mkazikwe nazo Chato kwani mama Nyuki ndie kasababisha Vita ya yukreini na Hali ya hewa mbaya?
Mna chuki Sana nyie sukumagang hamjui biashara huria na mama ameifungua nchi wakulima waliteseka Sana miaka sita Sasa wauze watajirike wasizuiwe...
Hatuna njaa nchi hii tuna akiba ya mazao miaka yote mama Nyuki atakayokaa madarakani

Let me tell you binafsi nitakufa sijui njaa ni kitu gani hilo nina uhakika hata bei zipande vipi will never affect me, kushauri mambo yaliopo kwenye biashara ya mazao then mhisi watu wana wivu na Samia hapana sio sawa, lakini twendeni mnavotaka kikubwa mimi na familia yangu hatujui njaa yatosha.
 
Unafahamu Hali ya uzalishaji hizo nyakati unazotaja?

Hapo sio hali ya uzalishaji bali ni sera. Usitake kuchomekea ni hali. Hali hata iwe ngumu vipi, watu wakilima kibiashara watazalisha tu.
 
Kumbuka kwamba kama wewe unavyofanya biasha upate faida, kilimo nacho ni biashara. Elewa kwamba sasa ni fursa ya mkulima kupata faida. Zingatia mkulima siyo punda wa taifa. Kama unaona vipi acha kupiga soga hapo mjini nenda kajilimie chakula chako.
Wakulima wetu elimu ndogo watauza hadi mbegu na akiba yao wanahitaji kusimamiwa,m toa mada ana hoja ya msingi
 
Let them sell 'everything and clear the stock fast'. This yr huenda mvua zikaanza mapema, misimu yote miwili masika na vuli zikawa na mvua ya kutosha na huenda mwakani bei ya nafaka ikadoda.
Mkulima asiyepiga pesa mwaka huu, msimu ujao itakula kwake...
 
Wapo baadhi ya wakulima wamejanjaruka na wanafanya kila wawezalo ili kupata faida na kilimo chao. Serikali ikianza kufunga mipaka itawaumiza hata hao wachache.
Ndugu Yoda nakubaliana na wewe,lakini wakulima hao ni wachache sana sana ndugu yangu.
Nina uzoefu mkubwa sana wa biashara ya mazao kwa miaka 18 sasa.
 
Wakulima wetu elimu ndogo watauza hadi mbegu na akiba yao wanahitaji kusimamiwa,m toa mada ana hoja ya msingi
Lazima watu waelewe tunapozungumzia mkulima wa Tanzania, tunazungumzia mkulima wa hekari 5 kushuka chini,ambao ndio asilimia kubwa sana.
Kila mwaka tunakutana nayo hii hali.
Unakuta msimu uliopita mkulima kalima ekari zake 4 kapata gunia zake 60 za mahindi,lakini ukifika msimu mwingine wa kulima, unakuta hana chakula,hana mbegu wala uwezo wa kununua mbegu hana.
Serikali inalijua hili!!??
Inamsaidiaje huyu mkulima!!??
 
Serikali ya CCM chini ya Rais Samia Imeamua kwa makusudi kutuacha watanzania na kuangali maslai yao

Hali ni mbaya sana mtaani vyakula bei hazishikiki

Vyakula vinavushwa mipakani na kwenda nje ya nchi sisi hatupati

imefika hatua sasaivi mabwenyenye wananunua mzigo bado upo shambani wanavuna na kupeleka nje ya nchi, Kilimanjaro kuna njaa lakini mahindi yanapitia hapohapo kwenda kenya

Sasaivi unga wa sembe kilo moja 2000 hii haijawai kutokea kabisa

mchele 2400 kilo

Serikali ipo kimya tu wao wanahela za kula

CCM imeamua kutusaliti, sasaivi sokoni hatuoni mahindi yanatoka kwenye stock yanawekwa kwenye maroli yanavuka boda

tukisema hivi wanaona kama tunatania maana wao hali ya mtaani hawaijui

Sawa bwana
Acha wakulima wafaidi jasho lao wauze kwa bei wanayotaka,we umeona bei ya vyakula tu? mbona bei ya kilakitu kimepanda husemi
 
Kama unafikiri ni rahisi nenda kalime na wewe, wacha watu wapige pesa ni jasho lao
 
Chakula kipo cha kutosha katika maghala ya serikali kwa hiyo punguza hofu waache wakulima nao wapige pesa!
 
Wanaouza mazao wakati huu wala mkulima hahusiki kabisa tena ni mapesa toka nje yaliyoingia kununua mazao na kuweka stock mazao kwa mfano kijiji cha gwarama kule kakonko. Wanyarwanda wamejenga magodown kupitia wafanyabiashara wa pale na kila mwaka huweka tani nyingi mno za mazao wakati kama huu husafirisha, haya pale nyakanazi kuna tajiri wa burundi anaitwa kamangaza ana magodown pale kupitia wazawa na hununua mahindi mengi sana na mtama, na huanza kusafirisha kwenye uadimu hali kadhalika wafanyabiashara wakenya huingiza pesa nyingi sana kule chunya na songea nakuweka store tani nyingi sana za mazao, kwahiyo tunaposema mfunge mipaka tunamaana mnufaika kwa sasa sio mkulima kama mnavojidanganya, mavuno yangekua mengi ni sawa lakini mnakaza vichwa huko serikalini wakati hamna hata taarifa za kutosha
Wakulima wadogo tumetengeneza fedha sana kipindi hiki. Huwezi amini gunia la mchele la kilo 100 lilouzwa mwaka jana sh. 120,000 sasa hivi linauzwa sh. 200,000. Kweli kila mtu ashinde mechi za nyumbani kwake. Tunaomba Rais wetu Mama Samia usiingie kwenye mtego wa kufunga mipaka kwenye issue za mazao ya chakula. Kama wanaona chakula kitauzwa nje chote, waje sasa hivi tuwauzie kwa bei tunayowauzia Wakenya. Kazi iendelee!!!
 
Mkuu hawa wanaojifanya wakulima humu JF ni madalali na wafanyabiashara wa mazao ambao serikali ikibana usafirishaji wa mazao biashara yao ya kulangua mazao kutoka kwa wakulima kwa bei chee na kuuza kenya itakuwa imetumbukia nyongo. Lakini ulichoeleza ndiyo uhalisia, mkulima hajawahi kufaidika na bei ya mazao kuwa juu zaidi ya madalali na walanguzi wa mazao wanaojiita wafanyabiashara ambao wamekuwa wakibana mizani na kujaza lumbesa kuzidi kumnyonya mkulima.
Wengi tu humu jukwaani mnashabikia kitu ambacho hamjawahi practice. Nendeni mkalime muone adha ya Kilimo. Mtuache nasi tupate faida mwaka huu ili tufanye makubwa kwenye maisha yetu. Jana tu, hapa Uyole -Mbeya nimewauzia kutoka shambani Wakenya viazi gunia 1 sh. 90,000. Yaani mwaka huu wakulima walau tutanufaika. Mama yetu Samia weka pamba masikoni kwa kweli.
 
Back
Top Bottom