Ambayo iko very smart kwasababu kila jimbo linajitegemea. Ashum mtu katoka Shanghai kaenda Hangzhou huko. Kwa ule uchache wao jimbo linawezaje kuwahudumia hao wote. Wapo sahihi sana.Hokou system sio kwenye elimu tu ni huduma zote za kijamii mfano hospital n.k pamoja fursa za kazi, ajira mikopo n.k, mpaka uwe na kibali cha kuonyesha umekubaliwa kutoka jimbo moja kwenda lingine.
Kwa nini serikali ya China inazuia mitandao mikubwa ya kijamii ya kidunia ili raia wengi wa China wasione maisha ya Magharibi??Wamarekani wanaikubali sana RedNote wanasema sasa hivi wanaiona China tofauti na vyombo vyao vya habari vilivyokuwa vinawaambia.
Kuna dogo mmoja hivi youtuber wa kimarekani shabiki wa Cristiano Ronaldo amepata umaarufu mkubwa China alipoenda kufanya Live streaming na maoni ya marekani yanayo onesha ni watu gani waliokuwa wanafanyiwa censorship ya kipuuzi kati ya China ama US
Mind you marekani ilikuwa ikitenga 1.6 USD Billion kwa ajili tu ya Anti-China propaganda
Ukiambiwa uhuru na kazi ujuwe vizuri. Socialist ni siasa mbaya sana trust me. Hiyo ni siasa ya shetani ila Mungu ni democratic ukitaka nenda kwake na ukitaka nenda kwa shetani uhuru ni wako shetani ni tofauti hataki hata mmoja amuone Mungu yaani anataka wote mwende motoni na mbaya kuliko yote akikupa utajiri ukamuacha anakunyang'anya huyo ndio Yulusifa baba wa ujamaa.. ujamaa ukiwa tajiri sana wanakuchukulia huwezi kuwa na nguvu kuliko serikali ndio maana matajiri wa china kula kinyongo secunde tuControl ya raia iliyoko China ni kiwango cha kambi za mateso.
1. Ni taifa pekee kubwa duniani linalotumia time zone moja.
2. Ni taifa ambalo raia kutembelea jimbo lingine inabidi kupewa kibali na serikali, tofauti na hapo utakamatwa au hutapata baadhi ya huduma za kijamii.
3. Ni mojawapo ya mataifa yaliyozuia kabisa mitandao ya kijamii isiyo ya kichina. China hakuna WhatsApp, Twitter, Facebook, YouTube n.k
4. Dini zote lazima zifuate maelekezo ya serikali ya CCP na zijiepushe kutukuza mambo au tamaduni zisizoendana na tamaduni za kichina katika dini zao.
5.Kuna mada hata za historia ukizizungumzia katika umma ni kosa la jinai kama vile mauaji ya Tiananmen Square n.k
Wasione nini ? Unafananisha China na North Korea amaKwa nini serikali ya China inazuia mitandao mikubwa ya kijamii ya kidunia ili raia wengi wa China wasione maisha ya Magharibi??
Uongo gan mi hapa nipo shenzhen na nautumia WhatsApp na nimchina kanidowloadia hebu uliza mtu anaetoka dar anaefanya biashara china kama hajakuambia saplaya wake kama anayo WhatsApp. Shida ni kuwa wachina wenyewe hawazipend mitandao za kimgharibi wao wechat ndio zaid. Na hizo sheria unazosema sio kila jimbo . Nimekuambia ukiwa shenzhen Shanghai Beijing na Macau au Hong Kong mitandao yote inapatikana. Ila wachina wenyewe hawshobokei mambo ya western kama sisi kaka. Hutaki unaacha. Kama huna WhatsApp na upo china njoo inbox nikuelekeze namna ya kudowload acha kuish kwa kukariri chiefAcha uongo mitandao yote ya kijamii ya kiMagharibi imezuiwa isipatikane kwa raia wa kawaida China kupitia "great firewall of China", labda utumie VPN ambapo ni kosa kishera, hata hivyo baadhi ya viongozi wachache wa juu wa serikali ya China wanaruhusiwa na wanaweza kutumia hiyo mitandao iliyozuiliwa kwa raia wa kawaida.
Wewe kwanza tuambie Ben yupo wapi ? Wewe ndie shetani mkuuUkiambiwa uhuru na kazi ujuwe vizuri. Socialist ni siasa mbaya sana trust me. Hiyo ni siasa ya shetani ila Mungu ni democratic ukitaka nenda kwake na ukitaka nenda kwa shetani uhuru ni wako shetani ni tofauti hataki hata mmoja amuone Mungu yaani anataka wote mwende motoni na mbaya kuliko yote akikupa utajiri ukamuacha anakunyang'anya huyo ndio Yulusifa baba wa ujamaa.. ujamaa ukiwa tajiri sana wanakuchukulia huwezi kuwa na nguvu kuliko serikali ndio maana matajiri wa china kula kinyongo secunde tu
Demokrasia ya aian gani?Mauaji ya Tiananmen Square yalikuwa dhidi ya wanafunzi wapigania demokrasia
Hizi ni propaganda na kuna sasa wamarekani na watu kutoka ulaya wameanza kuzunguka china na kuwambia wenzao kuwa wanayoambiwa na serikali na vyombo vyao si kweli. Wanawambia kuwa wamegundua china iko mbele ya muda kuliko kwao na ndicho serikali zao hazitaki raia wajue.Control ya raia iliyoko China ni kiwango cha kambi za mateso.
1. Ni taifa pekee kubwa duniani linalotumia time zone moja.
2. Ni taifa ambalo raia kutembelea jimbo lingine inabidi kupewa kibali na serikali, tofauti na hapo utakamatwa au hutapata baadhi ya huduma za kijamii.
3. Ni mojawapo ya mataifa yaliyozuia kabisa mitandao ya kijamii isiyo ya kichina. China hakuna WhatsApp, Twitter, Facebook, YouTube n.k
4. Dini zote lazima zifuate maelekezo ya serikali ya CCP na zijiepushe kutukuza mambo au tamaduni zisizoendana na tamaduni za kichina katika dini zao.
5.Kuna mada hata za historia ukizizungumzia katika umma ni kosa la jinai kama vile mauaji ya Tiananmen Square n.k
Kwanini Marekani inazuia Tiktok, na sasa iko busy na tarrif war??Kama ujamaa ni mzuri hivyo kwa nini serikali ya China inazuia raia wake kupata habari za nje ya China na kuwa na mawasiliano huru yasiyo ya censorship na raia wa nchi nyingine za dunia ya ulimwengu wa kwanza??
Law and Order is everything for every society.Hao wanafunzi waliua askari na waliwachoma moto kila pande ilikuwa na makosa yake.
Mind you General Secretary wa CCP wakati huo Zhao Ziyang aliwafuata hapo hapo Tiananmen na akakutana na viongozi wa waandamanaji hata paramount leader Deng Xiaoping alikutana nao hao CCP walisema madai yao yatatuliwa lakini waandamanaji hawakuelewa waliona usanii guess what PLA ikatangaza martial law na wanafunzi wote waondoke baada ya hali kuzidi kuchafuka Beijing kilichofuata unajua mwenyewe.
Namba 3 ni uongo wa mchana! WhatsApp wanatumia na kuna wengi nawasiliana naoControl ya raia iliyoko China ni kiwango cha kambi za mateso.
1. Ni taifa pekee kubwa duniani linalotumia time zone moja.
2. Ni taifa ambalo raia kutembelea jimbo lingine inabidi kupewa kibali na serikali, tofauti na hapo utakamatwa au hutapata baadhi ya huduma za kijamii.
3. Ni mojawapo ya mataifa yaliyozuia kabisa mitandao ya kijamii isiyo ya kichina. China hakuna WhatsApp, Twitter, Facebook, YouTube n.k
4. Dini zote lazima zifuate maelekezo ya serikali ya CCP na zijiepushe kutukuza mambo au tamaduni zisizoendana na tamaduni za kichina katika dini zao.
5.Kuna mada hata za historia ukizizungumzia katika umma ni kosa la jinai kama vile mauaji ya Tiananmen Square n.k
Hapa ndipo ilipo shida.Uzuri wao maendeleo yanaonekana,
Ulichokuwa unabisha ni nini kuhusiana na vikwazo vya raia Wachina kuzunguka kwa uhuru ndani ya nchi yao?Ambayo iko very smart kwasababu kila jimbo linajitegemea. Ashum mtu katoka Shanghai kaenda Hangzhou huko. Kwa ule uchache wao jimbo linawezaje kuwahudumia hao wote. Wapo sahihi sana.
Wanaotumia WhatsApp wanatumia VPNs kama kipinde kile Twitter ilivyozuiliwa bongo.Uongo gan mi hapa nipo shenzhen na nautumia WhatsApp na nimchina kanidowloadia hebu uliza mtu anaetoka dar anaefanya biashara china kama hajakuambia saplaya wake kama anayo WhatsApp. Shida ni kuwa wachina wenyewe hawazipend mitandao za kimgharibi wao wechat ndio zaid. Na hizo sheria unazosema sio kila jimbo . Nimekuambia ukiwa shenzhen Shanghai Beijing na Macau au Hong Kong mitandao yote inapatikana. Ila wachina wenyewe hawshobokei mambo ya western kama sisi kaka. Hutaki unaacha. Kama huna WhatsApp na upo china njoo inbox nikuelekeze namna ya kudowload acha kuish kwa kukariri chief
Ndio Ucommunisti ulivyo..Control ya raia iliyoko China ni kiwango cha kambi za mateso.
1. Ni taifa pekee kubwa duniani linalotumia time zone moja.
2. Ni taifa ambalo raia kutembelea jimbo lingine inabidi kupewa kibali na serikali, tofauti na hapo utakamatwa au hutapata baadhi ya huduma za kijamii.
3. Ni mojawapo ya mataifa yaliyozuia kabisa mitandao ya kijamii isiyo ya kichina. China hakuna WhatsApp, Twitter, Facebook, YouTube n.k
4. Dini zote lazima zifuate maelekezo ya serikali ya CCP na zijiepushe kutukuza mambo au tamaduni zisizoendana na tamaduni za kichina katika dini zao.
5.Kuna mada hata za historia ukizizungumzia katika umma ni kosa la jinai kama vile mauaji ya Tiananmen Square n.k
Haki zipi?Demokrasia ya uhuru na haki za raia.
Huo ni uongo mtupu, China haiko mbele kimaendeleo kuliko Marekani au Ulaya. Hao jokers wa Marekani wanapelekewa kushangaa sehemu nzuri tu ila hawawezi kupelekwa majimbo kama Tibet, Xinjiang n.kHizi ni propaganda na kuna sasa wamarekani na watu kutoka ulaya wameanza kuzunguka china na kuwambia wenzao kuwa wanayoambiwa na serikali na vyombo vyao si kweli. Wanawambia kuwa wamegundua china iko mbele ya muda kuliko kwao na ndicho serikali zao hazitaki raia wajue.
Wengi waliobahatika kufika china walishangaa...akiwepi ispeedshow
Ulaya kuna Law and Order ya kiwango cha juu zaidi duniani na raia bado wapo huru kuliko sehemu nyingine yoyote ile duniani pia.Law and Order is everything for every society.
Kuzuia foreign agents interference lazima kuzima matukio ya uvunjifu amani kama hayo.