Serikali ya Ukomunisti ya China imewakanyagia chini sana raia wake, wanaogopa nini?

Kiranga Nyani Ngabu vp huko usa hii comment ya yoda yupo sahihi au vp?
Hao hawajafika majimbo yote ya US wanaweza kuwa hawana tofauti kubwa sana na wewe ambaye hujakanyaga US.
Fikiria jimbo lenye uchumi mdogo zaidi US ni Vermont yenye GDP ya $billion 40 na wakazi kama laki saba tu.
 
Huwezi kuongoza watu bilioni 2 kidemokrasia, hizo ni ndoto na kuruhusu huo ujinga nchi inapasuka
Kunaweza kuwa na ukweli katika hili kwani China kama taifa imetoka katika mojawapo ya Empires za kale zaidi duniani lakini tofauti na Empires nyingine zote ambazo zilifuata au kujaribu kufuata njia ya demokrasia yenyewe haijawahi kuingia kabisa katika demokrasia na haijameguka hata kidogo.
 
Hao hawajafika majimbo yote ya US wanaweza kuwa hawana tofauti kubwa sana na wewe ambaye hujakanyaga US.
Fikiria jimbo lenye uchumi mdogo zaidi US ni Vermont yenye GDP ya $billion 40 na wakazi kama laki saba tu.
social medias zimeivua ngua marekani mkuu
 
Tena bora ya China na Tz kuliko US. US kuna miji inafungwa kwa watu kukimbia, majumba yanaoza kunakuwa kama kiama kimeipitia. Hapo ni miji, huko vijijini ndiyo balaa, karibu kila kijiji kinapoteza watu. Mi sidhani kama China inabana raia wake, inafanya maamuzi rational kwa ajili ya nchi yake. Uliberali wa watu kwenda "watakavyo" ni hatari kwa jamii nzima.
 
Mbona wale wameruhusu watu wafumuliwe marinda ila wameachwa na maisha yao,,,,,kila nchi na taratibu zake na tamaduni zake hio ndo sovereignty haya mambo yakutaka kuiga wazungu mwisho wa siku ndo mnaambiwa hampewi hela hadi na nyie mruhusu kufumuliwa marinda kama wao
 
Social media kumejaa miji ya Marekani inayooza na vijiji vilivyoachwa ukiwa
Nitajie mji uliooza Marekani, Kijiji kuachawa ukiwa kunaweza kuwa na sababu nyingi zenye mantiki, huo sio mjadala hapa.
 
Reactions: Lax
Hata China ni ruhusa kufumiliwa marinda.
 
Nitajie mji uliooza Marekani, Kijiji kuachawa ukiwa kunaweza kuwa na sababu nyingi zenye mantiki, huo sio mjadala hapa.
Americans wanathibitisha hilo ila weww mtetezo wao unakataa, 🤣
 
Hapo namba 4 kwenye dini,
Nawapa kongole sana CCP china👍
 
Americans wanathibitisha hilo ila weww mtetezo wao unakataa, 🤣
Kwanza hata haihusiani, watu kukimbia kijijini kwao na kuja Dar au Tibet kwenda Shangai ni tofauti kubwa sana na watu wanaoondoka mahali kulikuwa na machimbo ya madini yakaisha au viwanda vikafa.
 
Kwanza hata haihusiani, watu kukimbia kijijini kwao na kuja Dar au Tibet kwenda Shangai ni tofauti kubwa sana na watu wanaoondoka mahali kulikuwa na machimbo ya madini yakaisha au viwanda vikafa.
Tatizo unadhani hata us watu hawatoki kigoma kwenda dar ya huko mamtoni
 
Hapo namba 4 kwenye dini,
Nawapa kongole sana CCP china👍
Huko hivi majuzi CCP kupitia serikali za mitaa wametoa maelekezo hata majengo ya misikiti na makanisa yajengwe kwa mtindo wa ujenzi wa kichina na sio kiarabu au kimagharibi!
 
Kiranga Nyani Ngabu vp huko usa hii comment ya yoda yupo sahihi au vp?
Marekani unaweza kuzaliwa, kusoma, kukua, kufanya kazi mpaka unazeeka na kufariki, kila kitu unachokitaka kipo katika jimbo lako (mkoa), kama si wilaya yako.

Kika kitu, shule, chuo, kazi, etc. Kila jimbo linajitegemea.

Ukitaka kwenda mjini ni kwenda kuangalia maisha tu. Na miji mikubwa ipo karibu kila jimbo.
 
Ulaya kuna Law and Order ya kiwango cha juu zaidi duniani na raia bado wapo huru kuliko sehemu nyingine yoyote ile duniani pia.
Law gani imetumika ku-freeze na ku-confsicate pesa ya Russia iliyo nchi za Ulaya mfano Ile iliyopo kwenye account za EuroClear?
Lawa gani imetumika pesa hiyo kuwapelekea Ukraine?
Lawa gani imetumika kutomkamata Netanyau kutokana na hati ya mashitaka iliyotolewa na ICJ alipoingia Ulaya?
List ni ndefu.
 
sawa mkuu,
 
Hata Urusi demokrasia ni foreign concept
 
Umemjibu vyema sana​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…