Serikali ya Ukomunisti ya China imewakanyagia chini sana raia wake, wanaogopa nini?

Kwa sababu Marekani ya sasa iko chini ya utawala wa kipuuzi wa Trump.
Mkuu kuna vitu uko vizuri, ila kuna vingine maahaba yamezidi,
Ishu ya Tiktok Trump kaikuta, ilianza na Biden.
Kama unakumbuka CEO wa Tiktok chew shou Zi raia wa singepore anaitwa kwenye hearing na congress, analazimishwa akubali kuwa ni mchina japo alienda ku clarify kuwa sio mchina na hana tie na CCP alipokuwa akilazimishwa na Mr Cotton.
 
Kwa nini serikali ya China inazuia mitandao mikubwa ya kijamii ya kidunia ili raia wengi wa China wasione maisha ya Magharibi??
Nani alikwambia China ilizuia mitandao ya Marekani?​
 
Trump ndiye aliyeanza kuiandama TikTok 2018 katika awamu yake ya kwanza na akataka kuipiga ban ila akashauriwa kwamba hilo jambo halitakuwa na faida kisiasa kwake akapoa, Biden aliendeleza tu alipoacha Trump hasa baada ya kelele kuwa nyingi kwamba yeye ni dhaifu mbele ya China kwa hiyo sera kama hizo za TikTok na tariffs akafanya muendelezo kidogo wa alipoishia Trump ila ni kisiasa zaidi.
 
Chawa hawezi kujificha. Wajinga ndio mtaji wa ccm.
 
Saf sana
Huko hivi majuzi CCP kupitia serikali za mitaa wametoa maelekezo hata majengo ya misikiti na makanisa yajengwe kwa mtindo wa ujenzi wa kichina na sio kiarabu au kimagharibi!
 
Huyu hapa Zhao Ziyang akizungumza na protesters Tianmen Square akiwaelezea nini serikali yao inataka kufanya kuhusu demand zao hapa ni kabla kabisa mambo hayaja haribikaView attachment 3309953
Kilichofanyika hapa Tianem ni tukio naya kuwai kutokea aisee usitete.
Kumbuka wazazi wa hawa watoto wanafatiliwa jadi leo hii kila inapofika juni 3 wasiomboleze au kuandamana kutaka haki za watoto wao.
 
Kwani nimesema tukio zuri ? Na wapi nimetetea ?

Hutaki uelezwe kilicho tokea unataka niandike yanayo kufurahisha
 
Maisha yao mengine yapoje?
 
2. Ni taifa ambalo raia kutembelea jimbo lingine inabidi kupewa kibali na serikali, tofauti na hapo utakamatwa au hutapata baadhi ya huduma za kijamii.
Hayo yote uliyoandika Ina maana ni lazima waishi unvyotaka wewe? kama sio hivo, je unataka waishi kwa misingi ya nani?.au ambacho wewe unakifanya kwa taratibu zako basi na mwingine nae ni lazima afanye hivo?
 
bado hujamalizia wafungwa kutumika kufanya kazi viwandani bure mpaka leo. hawa wafungwa ndio wakiachiwa hutupwa africa bila ujuzi huishia kuuza madafu uwanjani. bado wachina kuvamia kazi za makondakta,manesi,kupaa samaki na mama ntilie. nilisema na ntasema ukomunisti sio kitu kizuri cha kuwatawalia wananchi sasa oneni china, corea kaskazini na Cuba. kumbuka sisi hapa tuliwahi kuishi taifa lisilo na television kwa miaka 24! Tulikuwa hatuoni CNN, olyimic, commonwealth games, world cup na ligi kuu za ulaya!
 
Hayo yote uliyoandika Ina maana ni lazima waishi unvyotaka wewe? kama sio hivo, je unataka waishi kwa misingi ya nani?.au ambacho wewe unakifanya kwa taratibu zako basi na mwingine nae ni lazima afanye hivo?
kuna vitu ambavyo ni universal.huu unyama wa china wa china ulikuwa ni kurundika watu waitwao proretaliants.Proretalians ni ni watu wasio na elimu ya secondari, ujuzi, mali na uwezo wa kuendesha maisha na ambao huzuiwa vijijini tuuu kuishi. wewe mkamate mchina yeyote barabarani muulize jiografia question, jamaica inapakana na malawi? ataitikia ndio! Binadamu sio vizuri kupangiwa wapi pa kuishi na avae vipi kila siku ingawa mtu kashaisha oa na ana familia.
 
Maisha yao mengine yapoje?
China ni Middle income country, GDP per capita yake/wastani wa kipato cha raia wake kwa mwaka ni $13,000, nchi zenye kipato cha juu kama US per capita yao ni $83,000 na hapo bado kuna nchi nyingine ziko hata juu zaidi ya hapo.
 
Uko sahihi, watu wengi wakiona baadhi ya miji ya China inayomeremeta na teknolojia zao za hali ya juu wanafikiri China ni kama peponi, ila ukweli ni kwamba bado iko mbali sana hasa katika kipengele cha maendeleo ya watu ukilinganisha na na nchi nyingi za Magharibi japo imepiga hatua kubwa kujikwamua kutoka umasikini.
 
China ni Middle income country, GDP per capita yake/wastani wa kipato cha raia wake kwa mwaka ni $13,000, nchi zenye kipato cha juu kama US per capita yao ni $83,000 na hapo bado kuna nchi nyingine ziko hata juu zaidi ya hapo.
Mi naongezea;
a) Ni nchi yenye kiwango kidogo sana cha uhalifu ukilinganiaha na Marekani ambayo kila baada ya saa moja Kuna tukio la kihalifu lililoliootiwa(kumbuka lililoliootiwa)!
b) Pamoja na kuwa Middle Income Country ndio inayopambana kwa vitendo na Trump tarriffs ambalo sasa hivi imezuia kununua ndege Boeing 124 na hivyo CEO wa Boeing kusema kuwa kampuni hilo linaenda kufirisika muda wowote.
c) Ndio nchi duniani iliyoweza kuwaondia raia wake zaidi ya milioni 250 kila mwaka kutoka kwenye poverty line to middle income. Na wamejinga baada ya miaka mitano hadi kumi ijayo wawaingize raia wake kwenye first income class. Na hawatanii!
 
China ina mambo yake mazuri pia ila ukiniambia nichague pa kuishi kati ya China na Marekani mbovu ya Trump na MAGA wake nitaichagua Marekani mara 1000, nafikiri na wewe pia ni hivyo.
 
Mkamate mmarekani sasa alafu muilize jamaica ipo wapi🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…