Serikali yaanza uchunguzi wanafunzi kufundishwa ulawiti

Ndyo maana mm mwanangu anasoma madrasa tu
Mh!
Mkuu, madrasa hizi hizi tunazosikia mara kibao kashifa kama hizo kutendwa na walimu wa madrasa?

Hakuna sehemu iliyo salama hata makanisani tunayasikia.

Jambo la msingi hapa ni serikali na jamii tushirikiane kutumia nguvu kubwa ili kukomesha hili jambo linalokwenda kinyume na maadili.
 
Unatokea gabolite mjini geita huko tocha,? Huko watu Wana kipaji Cha wivu, kisasi, ukatili na Roho MBAYA. Baadg Yao lkn[emoji58][emoji58][emoji55]
 
Unatokea gabolite mjini geita huko tocha,? Huko watu Wana kipaji Cha wivu, kisasi, ukatili na Roho MBAYA. Baadg Yao lkn[emoji58][emoji58][emoji55]
Unaona sasa mlivokuwa na dharau na mambo ya ajabu. Kwa staili hiyo hiv mtu akiwachukia mtasema ni wivu. Unafkikir mtu wa geita akisoma post yako atawapend wachaga kweli?
 
Sio shule zenu za kata na vidumu na kubeba kuni ni hizi wanazosoma watoto wa binadamu

Hivyo msiwe na wasiwasi
 
Hili jambo mkigundua kwamba mmekurupuka, mlete mrejesho bila kificho. Sitetei ushoga ila katika hili Mwandishi kawamislead mmeingia mazima.
 
Hii ndo inatakiwa..!! Unapata taarifa, unazifanyia kazi..!! Siyo unapata taarifa halafu unaanza kudai ushahidi toka kwa mtoa taarifa. Kachunguze, ukiona ni uwongo unamtafuta mtoa taarifa unasema naye.

Polisi nao wafanye haya kwenye jambo zima la TL
 
Umengea point mkuu wachaga ni watu wa hovyo sana, ipo siku watajutia majigambo yao.
😁..umenichekesha sana.
Yaani unasema kuna siku wachaga wote wataweka mikono kichwani na kujutia majigambo yao!!

Hiyo siku haipo, utakufa bila kuiona.
 
The stupidity of some of us!!!

Wew umewahi kufika kule ukayaona? Hao waliotoa hizo taarifa unawajua ? Bado nasisitiza hakuna ukweli wowote. Sehemu kubwa ya taarifa hizo ni mwendelezo wa propaganda chafu Vs maendeleo.
Usiwe mkali unaposhauriwa mambo ambayo ni kwa faida yako. Acheni hiyo michezo ya kubanduana. Mnaharibu jamii yenu. Au kama mnaona hamuwezi kuacha( maana mnakuwa wakali sana mnapoambiwa muache) basi msiwafundishe watoto wenu kubanduana. Mnaharibu jamii yenu.
 
You are not addressing the real issue. Stop making this kama kilimanjar inaonewa. Mambo ya awamu ya 5 sijui kuitwa wezi has nothing to so with this. Stop playing victim. This is not personal. Acheni hii michezo ya kubanduana sio mizuri. Mnatumia nguvu nyingi sana kupinga kurekebishwa. Jambo ambalo ni kwa faida yenu.
 
Yale yale kama ya kipindi kile cha ubakaji.

Kuna shida mahali kwa sababu hizi taarifa zinakuwa zinaripotiwa na chombo kimojo tu cha habari. Kwa nini hizi taarifa haziripotiwi na TBC? TBC huwa hawazipati? Na kama huwa hawazipati, kwa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…