Serikali yafuta mapendekezo ya kuzifanyia Marekebisho ya Sheria zinazohusu Umiliki wa Maliasili

Serekale ya mam inamtest Bung taratibu, inapofanikisha kwa lile la DPW serekale inagonga cheers na Mhitaji. Kama Bung kachomoa kaa ukijuwa atapelekewa tena kwa fumo tofaut.
 
Nyani katema bungo
 
Waraka wa TEC Hoyeee
 
Hii taarifa ni nzuri na mpya.

Labda kaka yangu wakili msomi Pascal Mayalla anifafanulie hapa sababu za muswada huo kuwa na vipengele hasi?
Kwa nini vipengele hivyo vinahusiana na ule mkataba tata?

Bado unaamini kuwa Mkataba wa DPW ni sshihi kwa uwekezaji?
 
Hapa unavaa nguo nyeupe unaenda unachafuka,unaludi unabadilika Kwa kuvaa nguo nyeusi unaenda Kwa mfumo tofauti
 
Mambo moto

Sheria hii kaa la moto mikononi mwa wabunge wa chama kongwe dola CCM :

Sheria ya Mamlaka ya Nchi Kuhusiana na Umiliki wa Maliasili. The Natural Wealth and Resources (Permanent Sovereignity) Act, 2017


TOKA MAKTABA
:
Dodoma, Tanzania

3/02/2017 mjini Dodoma
Prof. Palamagamba Kabudi - Mswaada wa The Natural Wealth and Resources (Permanent Sovereignity) Act, 2017 na ibara ya 9 ya katiba


View: https://m.youtube.com/watch?v=31G4xOXY5Dw inatamka kuwa madaraka ya wananchi, serikali kuwajibika kwa wananchi, kulinda maliasilia na mali inayomilikiwa kwa pamoja.

Bunge limeendelea leo tarehe 3/02/2017 mjini dodoma ambapo serikali imewasilisha mapendekezo ya muswada wa sheria ya mikataba ya maliasili za nchi. Muswada huo wa sheria hiyo unalitaka bunge kuweka utaratibu kikanuni utakaotumika wakati wa mapitio ya mikataba na makubaliano yanayoingiwa na serikali kwenye maliasili za nchi.

Waziri wa katiba na sheria, mhe. Prof. Palamagamba Kabudi ameuwasilisha kwa niaba ya serikali sheria hiyo inapendekeza kulipa bunge mamlaka ya kupitia mikataba ya umiliki wa maliasilia, madini, mafuta, pamoja na gesi.
 
Nchi imejaa wajinga kila kona. Bandari huwezi kuiweka kwenye kundi la maliasili, yale maji ndio yanaingia kwenye kundi hilo.

Meli ya mzigo inayoleta magari kutoka Japan utaiweka vipi kwenye kundi la rasilimali za Taifa?.

Meli ya mzigo inayoleta mafriji na vifaa vya majumbani utaiweka vipi katika kundi la raslimali za Taifa?.

Zile mashine za kushusha na kupakia makontena utaziweka vipi kwenye kundi la rasilimali?. Zote hizi ni juhudi za wanaharakati kutaka kusema kuwa bandari yetu ni sehemu ya rasilimali, hizi ni akili za kipuuzi kabisa.
 
Ndo hapo sasa. Uendelezaji wa Bandari na masuala ya maliasilia wapi na wapi?

Hakukuwa na logic yeyote kwenye ule muswada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…