Ndo mana Kamati ya Bunge waliihoji Serikali kuna mantiki gani / hoja gani kuhusu hayo mapendekezo na baada ya kujiridhisha kuwa hakuna mantiki yeyote imebidi serikali iuondoe huo muswada
Inshort inafikirisha cos hakukuwa na mjadala zaidi spika kasema tunapinga marekebisho ya sheria yaliyowasilishwa na Serikali, wanaohafiki waseme ndiyo ikajibiwa ndiyo! kilichopo hapa Spika alikuja na hoja hiyo toka huko alikokuwa.

Leo kupitia Email ya Kamati Bunge nimetuma maoni yangu kupinga marekebisho ya sheria ya ulinzi wa rasimali za Taifa. Ndugu wana Jamii Forums, ikumbukwe mabadaliko haya yatapelekea kupoka mamlaka ya Wananchi ambayo yanatolewa na Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ibara 27 (1) (2) ambayo...
www.jamiiforums.com
Tukumbuke sheria hizi mbili zilitungwa 2017 baada ya migogoro mikubwa ya madini katika awamu ya 5.
Pia Kuna Rufaa inasubiliwa kusikilizwa rasmi na kutolewa uamuzi, ukiliangalia maamuzi ya Bunge leo unapata picha kabisa kuwa Mahakama Rufani itawapa ushindi mkubwa wananchi kwa kusema wazi kuwa Dubai haikuwa na hadhi ya kusaini IGA na Tanzania, pia itasisitiza kuwa mkataba ulikiuka sheria zetu na hivo mkataba huu batili na hivo kuipa nguvu Serikali ya kwenda kuvunja rasmi mkataba huu tata.
Hivi bandari toka lini ikawa ni mali asili? Bahari na vilivyomo baharini ndiyo mali asili, siyo bandari. Bandari iwe baharini iwe nchi kavu ni kitu kinachojengwa na watu.
Kujidai ku dramatize kumbe unaongelea vitu viwili tofauti, halafu hapo hapo umeshajifanya Jaji wa mahakama ya rufaa.
TEC wanahusikaje hapo? Hata mimi niliwasilisha maoni yangu bungeni kuwa hakuna haja ya kufanya haya mabadiliko kwa kuwa masuala ya uwekezaji kwenye Bandari hayahusiani na Sheria hizi.
Hivi bandari toka lini ikawa ni mali asili? Bahari na vilivyomo baharini ndiyo mali asili, siyo bandari. Bandari iwe baharini iwe nchi kavu ni kitu kinachojengwa na watu.
Kujidai ku dramatize kumbe unaongelea vitu viwili tofauti, halafu hapo hapo umeshajifanya Jaji wa mahakama ya rufaa.
Basi nakuambia Maamuzi ya mahakama kuu yalisema kweli IGA imekiuka sheria yetu ya ulinzi wa Rasimali za Taifa ila ikakazia ata hivyo haiwezi kutamka kama Mkataba huu ni batili.
Hapo unasemaje bi Faiza? unafikiri Mahakama kuu haikujua kama sheria haihusiki katika kesi hiyo?
Sasa hivi vinatuhenyesha mahakama ya mikata ya Kimataifa, au huelewi hilo? Mikataba ya magu na kabudi kibao ina kesi huko, na mengine tumeshaanza kuilipa. Na mengine ndege zilishashikw, mama kaipigania.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.