uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Is she worth trusting ? Or they are re-naming and bring back kivingine ?
Wanajiongelesha wakati sisi tunawacheki tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Is she worth trusting ? Or they are re-naming and bring back kivingine ?
Bandali ni Nini Kama sio raslimali ya Taifa.Nchi imejaa wajinga kila kona. Bandari huwezi kuiweka kwenye kundi la maliasili, yale maji ndio yanaingia kwenye kundi hilo.
...
TEC wamesaidia Sana. Bila wao hao mafisadi wangefanya ujinga.Bakwata Wana Hekima saaana,,wanetulia nimewapenda buree
Mnashindwa kuwachukulia hatua mafisadi mnawakumbatia halafu mnakuja kupiga kelele kinafiki.Mafisadi wenye maslahi bandarini wanahangaika sana. Hawaamini kuwa siku zao za kuliibia taifa zinaelekea ukingoni.
Daaah ushanikana mkuu 😳Hakuna aliyepokea bahasha!
Mbona havikuenyesha Magufuli alipokua hai?.Sasa hivi vinatuhenyesha mahakama ya mikata ya Kimataifa, au huelewi hilo? Mikataba ya magu na kabudi kibao ina kesi huko, na mengine tumeshaanza kuilipa. Na mengine ndege zilishashikw, mama kaipigania.
Msisifie ujinga.
Bunge hili la CCM ligomee? Halina mamlaka hayo mbele ya mwenyekiti, kama usemavyo ni kwel washasoma upepo wataangushiwa jumba bovu!!Ni hayati JPM alisimama Kidete mpaka sheria hii ikatungwa leo hii wahuni wanataka ibadirishe
👇View attachment 2732802
Sasa wapo kwenye damage control imebidi aombwe nguli wa manguli kuvusha taifa [emoji1787]Watu wanahaha namna ya kurejesha fedha za Waarabu.
Nao wataachana nao tu shida ni kuwa wanaona aibu na pesa za wavaa vilemba wamekulaKumbe huwa wanasikia,bado mkataba wa dpw.
Na ujataka usifiwee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unatengeneza tatizo.. Unasikilizia .. Kelele zikizidi unalitatua kisha unasifiwa na kupongezwa..[emoji23] [emoji1544][emoji1550]
Mkuu hivyo vyote ni visingizio vya wapumbavu, mara meli kuchelewa bandarini, mara mifumo haisomani, ni ujinga mtupu.Naona wame amka. Sio kila kitu ndiyoooo. Hata la bandari tuna taka lifutwe. Hatuwezi kuuza kila kitu kwa wageni ati kisa walioko bandarini ni wezi!!! Hivi hatuna soni?? Nani kaweka wezi bandarini kama sio Ccm na serikali yake??